Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,849
- Thread starter
- #961
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA SENIOR MSTAAFU WA KIKE NA NAMNA ANAVYOONEKANA AIDHA KUKWEPANA AU KUUMANA VIZURI ZAIDI NA BAADHI YA MATUKIO YALIYOTOKEA IJUMAA WIKI JANA YAKIMHUSISHA FUNDI WA AC
Kwa wiki yote nzima ya kazi iliyoishia Ijumaa ya tarehe 08/04/2022; huyu mama alihudhuria ofisini siku moja tu yaani hiyo ya Ijumaa na ambayo ndiyo siku maandalizi ya fundi wa AC yalikamilika na hatimaye fundi huyo kufanikiwa kufika ofisini kwa mhusika. Kwa siku zingine zote nne za mwanzo wa wiki kabla ya Ijumaa, mama huyu hakuwepo kabisa ofisini. Mhusika hakumbuki vizuri lakini possibly hata wiki iliyokuwa imepita nyuma yake, mama huyu hakuwepo pia ofisini kwa angalau siku moja au mbili zile za mwisho wa wiki ya kazi (possibly siku ya Alhamis au Ijumaa au zote mbili)