Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,318
- 6,846
- Thread starter
- #941
KILICHOTOKEA WAKATI MHUSIKA ALIPOKUWA BENKI MLIMANI CITY ALHAMIS YA TAREHE 23 DESEMBA 2021; NA KAMA AMBAVYO KINAONEKANA KUWA NA UHUSIANO NA BAADHI YA MATUKIO KADHAA YA KANISANI, UKIJUMUISHA HILI LILILOTOKEA KWENYE PARKING J2 YA WIKI HII
CHRONOLGY OF SOME IMPORTANT EVENTS KUANZIA ALHAMIS YA TAREHE 23 DESEMBA 2021 (MWAKA JANA)
A: TAREHE 23 DESEMBA 2021
Siku hiyo tajwa mhusika alipokuwa yupo ndai ya Benki maeneo ya Mlimani City, alionana ghafla na muumini waliyekuwa naye Kanisa B. Muumini huyu alishusha tuhuma nzito sana kwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A), kwamba ETI ameuziwa kinyemela na uongozi wa juu wa Kanisa (ngazi ya taifa) ghorofa kubwa sana lililopo mahali pale
Baada ya mhusika kusikia upumbavu huu aliamua kuleta maelezo yake ya kina humu jukwaani huku akimshauri muumini huyo akamuombe msamaha KM-A kwa kumsingizia mambo mazito ya namna hiyo
Hapa muumini huyu alikuwa amelenga kumchonganisha mhusika na viongozi wake Kanisani kuanzia kwenye Kanisa hadi ngazi ya juu ya Taifa; HILO LILKAPITA
B: SIKU MBILI BAADAYE: SIKU YA KRISMAS; JUMAMOSI YA TAREJHE 25 DESEMBA 2021
Baada ya Ibada kuisha siku hiyo, gari la mhusika likawa limekuwa grounded kwenye parking lilipokuwa limepark sehemu ile ile ambayo lilipaki tena J2 iliyopita; ambayo ni pembezoni mwa ghorofa lile ambalo KM-A alikuwa anatuhumiwa na muumini wa Kanisa B kumdhulumu mjane
Mengine yaliyojiri siku hiyo hapo kwenye parking, tayari ameshayaeleza kwenye posts za mwanzo za toleo hili la wiki hii, HILO NALO LIKAPITA
C: “WIKI NNE” BAADAYE: TENA; SIKU YA J2; TAREJHE 23 JANUARY 2022 (MWAKA HUU)
Kiongozi wa chama cha wanaume Kanisani hapo, akatangaza kuwa JUMAMOSI YA WIKI HIYO; YAANI TAREHE 29 JANUARY 2022 wanaume wote wanatakiwa kuwepo Kanisani kwa ajili ya Mkutano ambao ni wa ‘KANDA’(jina halisi si KANDA, ametumia neno hili kufanya encryption)
Mbali na hayo, muumini aliyekuwa anaongoza kikao, mzee very senior na mwenye miaka 70+ mada zake zikaanza kushamuliwa KITOTO SANA na watoto wadogo tu wa miaka 40+, hadi kufikia hatua ya kuwa mzee analazimishwa kuomba msamaha akiwa mbele madhabahuni, kisa tu kuna kitu alifanya ambacho kilionekana kumkwanza motto wa miaka 40+
Sijui labda kwa sisi ambao ni wachanga sana kiroho, kwa sababu mtumishi wa Mungu yuko mbele ya madhabahu, bahati mbaya amefanya kitu kimekukwaza, unaomba mike na kuanza kuongea kumwambia aombe msamaha, mbele ya waumini?
Wakati haya yakiwa yanaendelea, viongozi karibia wote wa Kanisa A walikuwepo
Ikumbukwe kuwa kiongozi aliyetangaza uwepo wa kikao hicho alikuwa ndiyo yule yule alyewahi kuitisha vikao viwili vya muda mfupi vya wanaume kimojawapo kikiwa ni kile ambacho aliwaomba wanaume washuhudie namna walivyobarikiwa na somo la nabii aliyewahi kusimama madhabahuni na kuwatukana waumini akiwaambia “mnawageuza wake zenu nyuma”
Zaidi ni kuwa vyombo kadhaa vya MEDIA, tena zile zinazoeleweka; nao pia walikuwepo siku hiyo
……………………..inaendelea

- Muumini huyu alidai kuwa kitu hicho si sahihi kwa sababu kiwanja hicho si cha Kanisa hawakuwahi kukinunua bali mwenye nacho alikuwa amejitolea tu akawapa Kanisa wakajenga pale. Kwa hiyo muumini huyu alidai kuwa kiuhalisia kiwanja hicho bado ni cha mjane ambaye marehemu mume wake alikuwa ni Kiongozi wa Kanisa A, kabla ya kiongozi huyu aliyepo hivi sasa
- Kwa mantiki hiyo muumini huyu alidai kuwa uongozi ya Taifa, umeshirikiana na KM-A kumdhulumu mjane jengo hilo; kwa sababu katika hali ya kawaida alitakiwa amilikishwe mjane kwa sababu kiwanja bado ni chake yeye (mjane)
Baada ya mhusika kusikia upumbavu huu aliamua kuleta maelezo yake ya kina humu jukwaani huku akimshauri muumini huyo akamuombe msamaha KM-A kwa kumsingizia mambo mazito ya namna hiyo
Hapa muumini huyu alikuwa amelenga kumchonganisha mhusika na viongozi wake Kanisani kuanzia kwenye Kanisa hadi ngazi ya juu ya Taifa; HILO LILKAPITA
B: SIKU MBILI BAADAYE: SIKU YA KRISMAS; JUMAMOSI YA TAREJHE 25 DESEMBA 2021
Baada ya Ibada kuisha siku hiyo, gari la mhusika likawa limekuwa grounded kwenye parking lilipokuwa limepark sehemu ile ile ambayo lilipaki tena J2 iliyopita; ambayo ni pembezoni mwa ghorofa lile ambalo KM-A alikuwa anatuhumiwa na muumini wa Kanisa B kumdhulumu mjane
- Gari iliyokuwa imem-block mhusika, ilikuwa ni ya DEREVA WA KM-A, ambaye hata alikuwa hajulikani alikuwa wapi
- Siku hiyo, mahali pale karibu na gari la mhusika, alipaki pia binti huyu ambaye taarifa zake zinaendelea kuwajia
- Haikuwa mara ya kwanza kwa binti huyu kupaki karibu na mhusika; isipokuwa ilikuwa ni mara ya kwanza kwa wawili hawa kuonana kwa karibu na at least kuongea. Hapo awali, hawakuwa wamepata nafasi ya kuongea; sana sana labda salaamu tu wakiwa wanapisha
- Mtu mwingine aliyekuwepo mahali pale siku hiyo ni KIONGOZI ambaye ni mdogo wake na kiongozi aliyehama hivi karibuni kanisani hapo na kwenda kanisa jingine
- Huyu kiongozi alikuwa yuko kwenye pilika pilika akiwa anajaribu kumsaidia binti ili aweze kutoka na gari lake kwa sababu yeye hakuwa amezibwa as such, isipokuwa tu kulikuwa na gari ambayo ilikuwa imekaa karibu sana na yake kiasi kwamba alihitaji msaada ili aweze kutoka salama bila kukwaruzana na gari nyingine
Mengine yaliyojiri siku hiyo hapo kwenye parking, tayari ameshayaeleza kwenye posts za mwanzo za toleo hili la wiki hii, HILO NALO LIKAPITA
C: “WIKI NNE” BAADAYE: TENA; SIKU YA J2; TAREJHE 23 JANUARY 2022 (MWAKA HUU)
Kiongozi wa chama cha wanaume Kanisani hapo, akatangaza kuwa JUMAMOSI YA WIKI HIYO; YAANI TAREHE 29 JANUARY 2022 wanaume wote wanatakiwa kuwepo Kanisani kwa ajili ya Mkutano ambao ni wa ‘KANDA’(jina halisi si KANDA, ametumia neno hili kufanya encryption)
- Mktano wa KANDA aana yake ni kwamba ulikuwa unajumuisha waumini si kutoka nje ya kanisa tu bali pia kutoka nje kwenye mikoa mingine nje ya mkoa wa Dar es Salaam
- Kwa makisio yake mhusika; alitarajia kuwa idadi ndogo sana ya mkutano huu wangeweza kuhudhuria wanaume angalau 700
- Yaani hao 700 ni kwamba asilimia 90 ya wanaume hawakuhudhuria
Mbali na hayo, muumini aliyekuwa anaongoza kikao, mzee very senior na mwenye miaka 70+ mada zake zikaanza kushamuliwa KITOTO SANA na watoto wadogo tu wa miaka 40+, hadi kufikia hatua ya kuwa mzee analazimishwa kuomba msamaha akiwa mbele madhabahuni, kisa tu kuna kitu alifanya ambacho kilionekana kumkwanza motto wa miaka 40+
Sijui labda kwa sisi ambao ni wachanga sana kiroho, kwa sababu mtumishi wa Mungu yuko mbele ya madhabahu, bahati mbaya amefanya kitu kimekukwaza, unaomba mike na kuanza kuongea kumwambia aombe msamaha, mbele ya waumini?
Wakati haya yakiwa yanaendelea, viongozi karibia wote wa Kanisa A walikuwepo
- Kiongozi Mkuu wa Kanisa A alikuwepo
- Kiongozi aliyetoa tangazo la kuzuia uchuuzi getini J2 iliyopita naye pia alikuwepo
- Kiongozi huyu aliyehusika na taa za gari la mhusika naye pia alikuwepo; na hata yeye pia naye aliongea ila kwa si kwa kumshambulia mzee, alijaribu tu kuzi-challenge kidogo hoja alizokuwa ame-present mzee na katika manner ambayo ilikuwa ni acceptable iliyokuwa haimvunjii heshima mzee