Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,850
- Thread starter
- #901
MAELEZO YA USHAHIDI KUHUSIANA NA KUSHAHIBIANA KWA MASHAMBULIO MAWILI YA MWISHO, YAANI LILE LA MWAKA 2020 NA HILI LA MWISHO SIKU YA KRISMAS 2021
NAMNA MASHAMBULIO HAYA YALIVYOTOKEA
MAELEZO KUHUSIANA NA SHAMBULIO LA TAREHE 26/04/2020:
Inadhaniwa kuwa ilikuwa Ijumaa tarehe 17/04/2020 au au Jumamosi ya tarehe 18/04/2020 ambapo kwa mara ya kwanza Serikali iliwatangazia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuwa baadhi ya makundi ya watu watalazimika kuanza kuvaa Barakoa. Still, hadi kufikia kipindi hicho tayari kulikuwa na watu ambao walikuwa wanavaa barakoa lakini ilikuwa ni optional kwao, tangazo la lazima lilikuwa bado halijatoka na ndiyo lilitoka siku hiyo kwa mara ya kwanza
Kwa hiyo tangazo hilo lilitolewa kwa mara ya kwanza kabisa liliyahusu makundi ya watu wanaoelekea kwenye mikusanyiko ya watu wengi kama vile Sokoni na kwenye daladala. Tangazo la watu kama wale wafanyakazi wa maofisini lilikuwa bado halijatoka. Kwa kuanzia tu, tangazo lilitoka linahusu makundi hayo mawili kwanza, watu wanaoenda Sokoni na wasafiri kwenye daladala
Kwa hiyo hadi J2 ya tarehe 19/04/2020, mhusika alihudhuria Ibada Kanisani akiwa hajavaa barakoa kwa sababu mpka tarahe hiyo, tangazo la watu wote kuvaa barakoa lilikuwa bado halijatolewa
ASUBUHI YA J3 YA TAREHE 20/04/2020 MHUSIKA BAADA YA KUWA AMEFIKA OFISINI, AKIWA BADO YUPO KWENYE PARKING YA GARI
Akiwa bado hajashuka kwenye gari, mtu mmoja mpita njia ambaye hata hawafahamiani na mhusika, alipokuwa akipita karibu na pale mhusika alipokuwa amepaki gari lake; mtu huyo alimwambia mhusika kuwa “KIOO CHAKO KIKO WAZI”. Mtu huyu alikuwa anamwambia maneno haya mhusika akimaanisha kioo cha garii la mhusika upande wa dereva ambacho hata yeye mhusika pia alikuwa amekiona kikiwa wazi. Kilifunguka chenyewe muda huo mara tu baada ya kuwa amefika kwenye parking
KUHUSIANA NA KIOO CHA GARI AMBACHO KILIPELEKEA MHUSIKA APELIKE GARI GARAGE
Kioo hiki kilikuwa na zaidi ya miaka kadhaa (zaidi ya mitatu) kikiwa kimegoma kufunguka na mhusika alikuwa hajapata nafasi ya kukishughulika kwa sababu mara zote alikuwa anatumia AC. Hata hivyo, J3 hiyo alipofika kwenye parking, kioo hicho kilifunguka chenyewe halafu na safari hii kikagoma kufunga, na hivyo ikambidi sasa aende garage muda huo huo asubuhi hiyo, vinginevyo gari ingekaa wazi ikiwa kwenye parking
HUKO KANISANI NAKOI SIKU YA IBADA YA J2 YA TAREHE 19/04/2020; KABLA YA J3 YA KIOO CHA GARI
Tangazo lilikuwa limetolewa kuwa J2 inayofuata ya tarehe 26/04/2020 kutakuwa na Ibada moja tu na si mbili kama ilivyo kawaida kwa J2 zingine
Siku hiyo aliporudi ofisini akiwa tayari ameshanunua barakoa, mtu wa kwanza kuongea na mhusika kuhusiana na swala la Barakoa hizo, alikwa ni “MR X”
“MR X” ALIKUWA ANATAFUTA USHAHIDI WA KUJUA MHUSIKA ALINUNUA WAPI BARAKOA HIZO ILI SIKU YATAKAPOKUJA KUMTOKEA MATATIZO, WASINGIZIWE WALIOMUUZIA BARAKOA HIZO PALE PHARAMACY YA MLIMANI CITY, NA HIVYO “JENGO JIPYA” LISIJULIKANE KAMA NDIYO CHANZO CHA MATATIZO YA MHUSIKA
Kwa hiyo hapa “MR X” alikuwa anatafuta mbinu ya kuhakikisha kuwa watakaohusika, just in case of anything, ni wale waliomuuzia barakoa na huku wale wa kwenye ‘JENGO JIPYA” wakiendelea kubaki salama
Ni kwa sabau “MR X” alikuwa anajua nini kitampta mhusika kwenye J2 inayofuata kwa sababu lazima ataenda Kanisani akiwa amevaa Barakoa
Baada ya MR X kuhakikisha kuwa mhusika ameshanunua Barakoa na amezinuna wapi, chances ni kwamba aliwasiliana na wenzake kule Kanisani ili J2 mhusika apate nafasi ya kukaa kwenye “JENGO JIPYA” na si mahali pengine, ambapo mpango huo ulifanikiwa
SIKU YA J2 YA IBADA MOJA YAWADIA, MHUSIKA ATINGA KANISANI KWA MARA YA KWANZA AKIWA AMEVAA BARAKOA
……………………..inaendelea

- Baada ya mtu huyu kusema maneno hayo, aliendelea na safari yake na wala hakumsubiri mhusika aseme chochote kuhusiana na kioo hicho
- Mtu huyu aliongea maneno hayo tu na mhusika naye hakupata nafasi ya kumjibu chochote na wala hawakuppata nafasi ya kuongea zaidi. Hata salaam hawakusalimiana
- Aliamua kwenda kununua barakoa hizo baada ya kukutana na watu kadhaa hapo garage (wateja wa kwenye gararge na siyo mafundi) wakiwa wamevaa barakoa na ambao walimsisitiza kuwa hata yeye pia nanatkiwa kuvaa
- Pamoja na kwamba tangazo la wote kuvaa barakoa likuwa bado halijatolewa, mhusika aliona ni busara kufanya hivyo na hivyo aliamua kuanza kuvaa barakoa tokea siku hiyo
KUHUSIANA NA KIOO CHA GARI AMBACHO KILIPELEKEA MHUSIKA APELIKE GARI GARAGE
Kioo hiki kilikuwa na zaidi ya miaka kadhaa (zaidi ya mitatu) kikiwa kimegoma kufunguka na mhusika alikuwa hajapata nafasi ya kukishughulika kwa sababu mara zote alikuwa anatumia AC. Hata hivyo, J3 hiyo alipofika kwenye parking, kioo hicho kilifunguka chenyewe halafu na safari hii kikagoma kufunga, na hivyo ikambidi sasa aende garage muda huo huo asubuhi hiyo, vinginevyo gari ingekaa wazi ikiwa kwenye parking
HUKO KANISANI NAKOI SIKU YA IBADA YA J2 YA TAREHE 19/04/2020; KABLA YA J3 YA KIOO CHA GARI
Tangazo lilikuwa limetolewa kuwa J2 inayofuata ya tarehe 26/04/2020 kutakuwa na Ibada moja tu na si mbili kama ilivyo kawaida kwa J2 zingine
- Kesho yake J3 ya tarehe 20/04/2022 baada ya tangazo la J2 Kanisani, mhusika ndipo alipopata dharura iliyopelekea aende garage kurekebisha kioo
- Huko alikutana na wateja, baadhi wakiwa ni staff wenzake, ambao walimhamasisha aanze kuvaa barakoa, na katika muda ambao kulingana na tangzo lililokuwa limetolewa, kwake yeye kuvaa barakoa ilikuwa bado ni optional
- Mhusika alikubaliana na uamuzi huo na alianza kuvaa barakoa tangu siku hiyo ambazo alizinuna baada ya kuwa ametoka hapo garage
Siku hiyo aliporudi ofisini akiwa tayari ameshanunua barakoa, mtu wa kwanza kuongea na mhusika kuhusiana na swala la Barakoa hizo, alikwa ni “MR X”
- Ni baada ya kuwa wamekutana kwenye chumba cha chai
- “MR X” yeye tayari alikuwa ameshaanza kuvaa barakoa siku kadhaa nyuma, na mhusika naye ilikuwa ndiyo siku yake ya kwanza
- “MR X” alimuuliza mhusika kuwa amenunua wapi barakoa na alimjibu kuwa ni Mlimani City
- Zaidi “MR X” aliuliza bei na mhusika naye alimtajia, kitu ambacho kilipelekea “MR X” kumpongeza mhusika kuwa alinunua kwa bei nzuri nusu ya ile ambayo yeye “MR X” alinunulia za kwake
- “MR X” alsema pia kuwa zilikuwa zimeshaanza kupanda kutokana na demand kwamba watu tayari walikuwa wameshaanza kutakiwa kuzivaa
“MR X” ALIKUWA ANATAFUTA USHAHIDI WA KUJUA MHUSIKA ALINUNUA WAPI BARAKOA HIZO ILI SIKU YATAKAPOKUJA KUMTOKEA MATATIZO, WASINGIZIWE WALIOMUUZIA BARAKOA HIZO PALE PHARAMACY YA MLIMANI CITY, NA HIVYO “JENGO JIPYA” LISIJULIKANE KAMA NDIYO CHANZO CHA MATATIZO YA MHUSIKA
Kwa hiyo hapa “MR X” alikuwa anatafuta mbinu ya kuhakikisha kuwa watakaohusika, just in case of anything, ni wale waliomuuzia barakoa na huku wale wa kwenye ‘JENGO JIPYA” wakiendelea kubaki salama
Ni kwa sabau “MR X” alikuwa anajua nini kitampta mhusika kwenye J2 inayofuata kwa sababu lazima ataenda Kanisani akiwa amevaa Barakoa
Baada ya MR X kuhakikisha kuwa mhusika ameshanunua Barakoa na amezinuna wapi, chances ni kwamba aliwasiliana na wenzake kule Kanisani ili J2 mhusika apate nafasi ya kukaa kwenye “JENGO JIPYA” na si mahali pengine, ambapo mpango huo ulifanikiwa
SIKU YA J2 YA IBADA MOJA YAWADIA, MHUSIKA ATINGA KANISANI KWA MARA YA KWANZA AKIWA AMEVAA BARAKOA
- Ilikuwa ni ile J2 ya tarehe 26/04/2020
- Mhusika alipata nafasi ya kukaa kwenye ‘JENGO JIPYA”na siku hiyo ilikuwa imeshapita miaka kadhaa nyuma tangu mara ya mwisho mhusika alipokanyaga kwenye jengo hilo
- J2 hiyo, hakuwa na namna bali alilazimika kukaa kwenye jengo hilo kutokana na uwingi wa waumini kwenye Ibada ya siku hiyo
- Hata kabla Ibada haijaanza, mhusika akawa tayari ameshatandikwa koo, alianza kukohoa kohoa na ikampelekea ahakikishe kuwa muda wote amevaa barakoa
……………………..inaendelea