#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
Joseverest
Kasomi
Kijukuu cha ngoyayi
Mwizukulu mgikuru
Mirlz B Matthew
Misunderstood
Nyaubikra
mjingamimi
johnman
Chuku chuku
Dumas the terrible
Kasomi
Mwanga Lutila
TAFADHALI SANA MNAOMBWA MSOME PASIPO KUCHANGIA CHOCHOTE. MNAFICHA POSTS ZA MUHIMU WANAZOTAKIWA KUSOMA WASOMAJ WALENGWA. VINGINEVYO MTAELEWEKA KAMA MNACHANGIA KAMA MBINU YA KUHUJUMU TAARIFA ZILIZO KWENYE UZI HUU ILI ZISIWAFIKIE WALENGWA WALIOKUSUDIWA. WEWE KAMA UNAONA HUELEWI KITU KWENYE UZI, KWA NINI UCHANGIE?
TAFADHALI SANA N AOMBA USHIRIKIANO WENU KATIKA SWALA HILI LA MUHIMU.

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Random
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
KWA WAUMINI WA KANISA A
POSTS ZOTE ZA MUHIMU NA AMBAZO NI ZA HIVI KARIBUNI, ZIKO UKURASA WA 43 NA ZINAANZIA POST NAMBA #842
POSTS HIZI ZIMEFICHIKA BAADA YA KUJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA, WACHANGIAJI KADHAA NA KUJAZA UKURASA MZIMA WA 44

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
KWA WAUMINI WA KANISA A: SAHIHISHO MUHIMU KUHUSIANA NA JOKA LENYE NYOTA SABA

MAELEZO YALIYOTOLEWA KUHUSIANA NA JOKA HILO NI KWAMBA MWENYE KUMILIKI JOKA HILO ANAKUWA NA CHEO KIKUBWA SANA NA SI NGUVU KUBWA SANA KAMA ILIVYOKUWA IMEELEZWA HAPO AWALI.

BY THE WAY; ULE MTINDO WA WATU WAGENI KUALIKWA ILI BAADAYE WAKARIBISHWE NA KUPITA MBELE YA MADHABAHU UMERUDI TENA. KUNA BAADHI YA WATU WACHACHE AMBAO WANAFIKA HAPO KWA AJILI YA KAZI HIYO TUNA SI VINGINEVYO. MAELEO ZAIFI YATAFUATA BAADAYE

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE: MONDAY 20TH DECEMBER 2021-12-20 NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA OFISA MWINGINE MAALUM ALIYEKUWA ANAYAJUA KWA UNDANI NA KWA KINA SANA MAMBO HAYA YANAYOENDELEA KWENYE TAASISI YA MHUSIKA AMBAYE TAARIFA ZAKE ZIMEONGELEWA KWENYE POST HII HAPA #831

Kwa kifupi tu ni kwamba ilikuwa ni mwezi Mei 2014 muda ambao kwa mara ya kwanza, mhusika aliandikiwa barua ya kujulishwa kuwa ana tuhuma ambazo zinamkababili na inabidi azijibu kwanza kwa maandishi na baada ya hapo, muda wowote ule anaweza kuitwa kwenye kamati ya nidhamu ili ajitetee.
 • Barua hiyo ilimshauri pia kama anaweza kuwaona viongozi wa chama cha wafanyakazi, ili wamsaidie kujibu barua hiyo na hivyo kuwapa viongozi hao uawezekano wa kumsaidia siku atakapokuwa anahojiwa na kamati ya nidhamu.
 • Majibu ya mhusika yalihitajika ndani ya wiki mbili kuanzia siku ya tarehe ambayo ilikuwa imeonyeshwa kwenye barua hiyo
Mhusika aliijibu barua ndani ya muda isipokuwa tu hakuwahusisha viongozi wa chama cha wafanyakazi kama barua hiyo ilivyokuwa imeshauri

Wakati huo ofisa huyu ambaye taarifa zake zimetajwa kwenye post hii #831 , hakuwa mwajiriwa tena wa taasisi hii ambayo anafanyia kazi mhusika, alikuwa tayari ameshastaafu na alikuwa nje akifanya kazi possibly kwa mkataba, kwenye taasisi nyingine

Ilipofika Julai 2014, Mkuu wa Tasisi anayofanyia kazi mhusika, alitoa tangazo lenye “taarifa kwa umma” (Press Release) kwamba ofisa huyu #831 ameajiriwa tena kwa mkataba ndani ya taasisi kuanzia Julai mosi 2014. Nafasi aliyoajiriwa nayo ofisa huyu ilikuwa inahusika moja kwa moja na maswala ya mhusika na hivyo barua zake alizokuwa anaandikiwa na alizokuwa anajibu pia, zote zilikuwa zinananakiliwa kwake

Baada ya kimya cha miezi kadhaa kupita tangu mhsuka alipokuwa amejibu barua ya kwanza kuhusiana na tuhuma zilizokuwa zinamkabili; ilipofika Septemba 2014, aliandikiwa barua nyingine ya pili safari hii ikiwa imesainiwa na Afisa Rasilimali watu (yule aambaye aliwahi kukata mshahara wa mhusika kuanzia Juni 2014 ikiwa ni pamoja na kumshusha cheo kwa mara ya kwanza) kwa niaba ya Afisa tawala.

Baada ya kuipokea barua hiyo, mhusika alianza maandalizi ya kuhudhuria kikao hicho lakini asubuhi ya sikuya kikao akiwa anaelekea kwenye kikao hicho, walikutana kwenye ngazi na Katibu Mhutasi (wa kipindi hicho) wa Mkuu wa Idara na mhusika alijulishwa na ofisa huyo kwamba kikao hicho kilikuwa kimeahirishwa, hakikuwepo tena
 • Mhusika hakuamini taarifa hizo ikabidi achukue jukumu la kupandsha juu kuelekea jengo la utawala, na alipofika huko (kwenye ofisi husika) alijulishwa kuwa kikao hicho kilikuwepo sipokuwa swala lake ndiyo lililokuwa limeahirishwa, litapangiwa tarehe nyingine nay eye asubirie atajulishwa
 • Wakati swala hili linaahirishwa, ofisa #831 alikuwa tayari sasa yupo ofisini kwa takribani miezi miwili na ndiye hasa aliyekuwa na mamlaka ya kulishughulikia
Hata hivyo, ilipofika Februari 2016, tuhuma hizo zilifutwa na Afisa Tawala na kwa barua ambayo ofisa huyu pamoja na Mkuu wa Taassi wa kipindi hicho, hawakuwa wamepewa nakala yake. Barua zingine zote za awali walikuwa wanapewa nakala zake

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
34,145
2,000
Joseverest
Kasomi
Kijukuu cha ngoyayi
Mwizukulu mgikuru
Mirlz B Matthew
Misunderstood
Nyaubikra
mjingamimi
johnman
Chuku chuku
Dumas the terrible
Kasomi
Mwanga Lutila
TAFADHALI SANA MNAOMBWA MSOME PASIPO KUCHANGIA CHOCHOTE. MNAFICHA POSTS ZA MUHIMU WANAZOTAKIWA KUSOMA WASOMAJ WALENGWA. VINGINEVYO MTAELEWEKA KAMA MNACHANGIA KAMA MBINU YA KUHUJUMU TAARIFA ZILIZO KWENYE UZI HUU ILI ZISIWAFIKIE WALENGWA WALIOKUSUDIWA. WEWE KAMA UNAONA HUELEWI KITU KWENYE UZI, KWA NINI UCHANGIE?
TAFADHALI SANA N AOMBA USHIRIKIANO WENU KATIKA SWALA HILI LA MUHIMU.

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Random
Acha kuvuta BANGI kanisani utawehuka.
Wewe unaona unaandika vya maana?
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
Acha kuvuta BANGI kanisani utawehuka.
Wewe unaona unaandika vya maana?
Uko sahihi kabisa. Hapa mtu lazima aonekane mvuta bangi kwa sababu yanayofanyika, walioko nje hawawezi hata siku moja kuwa convinced kwamba kweli yanafanyika kanisani. Halipo Kanisa jingine mahali pengine popote pale duniani, linaloweza kufanya haya.
However, a silent fool is considered wise.
Tafadhali sana unaombwa usiendelee kuchangia
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
34,145
2,000
Uko sahihi kabisa. Hapa mtu lazima aonekane mvuta bangi kwa sababu yanayofanyika, walioko nje hawawezi hata siku moja kuwa convinced kwamba kweli yanafanyika kanisani. A silent fool is considered wise. Tafadhali sana unaombwa usiendelee kuchangia
Ungeanza kunyamaza wewe kuandika huu upuuzi wako ungeonekana una busara.
wahi DOZI MIREMBE
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE: TUESDAY 20TH DECEMBER

KWA WAUMINI WA KANISA A: USHAURI KWA WALE AMABO BADO HATUJARUDISHA SADAKA ZA BWANA KWA NJIA YA BAHASHA


J2 iliyopita, viongozi wetu walisisitiza turudishe bahasha hizo kabla ya mwisho wa mwaka; na kwa hili hatuna option nyingine tunatakiwa tufanye hivyo, hatukuwaahidi viongozi wetu, tulimwahidi Bwana

Zaidi ni kuwa kurudisha bahasha hizo kwa wakati, kutatusaidia pia kuweza kujua ni nini kingine kinachoweza kutusababishia maluweluwe majumbani mwetu, just in case kuna maluweluwe yanaweza kujitokeza, hata baada ya kuwa tumerudisha bahasha hizo.

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,774
2,000
Sijui ni kuzeeka au?

Huu Uzi sijawahi elewa chochote licha ya kusoma kurasa ya kwanza mpaka ya mwisho.

Naona tu maparachichi yaliyochanganywa na maharage mixer njegere.
Mimi nilisoma nikaolewa kidogo nilivozidi kusoma nikapotea, ingawa huu Uzi una ujumbe nadhani walengwa ndio wanaouelewa peke Yao aisee
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE: SUNDAY 26TH DECEMBER 2021: TAARIFA MAALUMU ZIMAZOMHUSU MSHIRIKI WA KANISA B WALIYEKUTANA NA MHUSIKA BENKI ALHAMIS TAREHE 23 DESEMBA 2021, NA HATIMAYE MSHIRIKI HUYU KUMPA MHUSIKA TAARIFA ZA UONGO MKUBWA KUHUSIANA NA KIONGOZI MKUU WA KANISA A (KM-A)

MSHIRIKI HUYU WA KANISA B ANATAKIWA SASA AENDE KANISA A AKAMUOMBE MSAMAHA KIONGOZI MKUU WA KANISA A (KM-A)

Mhusika alihama kutoka Kanisa B kurudi Kanisa A, mwezi April 2017

Siku ya Alhamis wiki hii, mhusika akiwa ameneo ya Mlimani City, baada ya kuwa amekamilisha miamala ndani ya mojawapo ya tawi la Benki lilopo hapo, akiwa ndiyo anajiandaa kutoka nje ya benki; alipoukaribia mlango ili atoke nje, aligongana na sura ya mtu ambaye aliitambua na kuikumbuka pasipo shaka.
 • Mtu huyu alikuwa ni mshiriki mwenzake mwenye kuheshimika sana na watu wote, waliyefahamiana kipindi mhusika alipokuwa uhamishoni KANISA B
 • Kipindi chote mhusika alipokuwa ndani ya benki, hakuwa amemuona mshiriki huyu achilia mbali idadi ndogo sana ya watu waliokuwemo ndani ya benki muda huo
 • Hii ni ishara tosha kabisa kuwa katika kipindi chote mhusika alipokuwa bado anashughulika na miamala yake ndani ya benki hiyo, mtu huyu alikuwa bado hajafika mahali pale au alikuwa nje maeneo ya karibu na pale
Baada ya mhusika kusalimiana na mshiriki huyu, walibadilishana mawili matatu na baada ya kuwa amemweleza (mshiriki) kuwa yeye (mhusika) kwa sasa yuko KANISA A, mshiriki huyu aliongea maneno kadhaa kuhusiana na KM-A na ambayo mhusika alikiri kutokuyafahamu wala kusikia yakiwa yametolewa kwa tangazo Kanisani hapo (KANISA A).
 • Maneno haya yalihusiana na muamala mkubwa kiasi ambao KM-A anasemekana ameufanya Kanisani hapo, kama yeye binafsi na siyo kwa niaba ya Kanisa, na ambao una utata mkubwa
 • Muamala huu ulisemekana ameufanya kwa kushirikina na Uongozi wa juu wa Kanisa ambao KANISA-A liko chini yake
 • Baada ya mhusika kutumia vyanzo vyake ili aweze kupata taarifa za uhakika kwa sababu muamala huo alikuwa hajawaki kuusikia ukitangazwa Kanisani, alibaini kuwa mshiriki kutoka KANISA B, alimdanganya mhusika na hivyo alimsingizia pia KM-A
Na ukizingatia mazingira ya namna mhusika walivyokutana na mshiriki huyu hapo Benki, inaonyesha kabisa kuwa mtu huyu alikuwa ame-calculate wakutane na mhusika maeneo yale ili (mshiriki) aanzishe maongezi yale aliyoongea na mhusika siku hiyo
 • Walikutana ndani ya benki mhusika akiwa anataka kutoka, na huyu mwingine naye ndiyo alikuwa anaonekana kuingia mahali pale; kwa sababu kama mshiriki huyo angekuwepo maeneo yale kabla ya hapo mhusika lazima angekuwa amemuona
 • Baada ya kuwa wamesalimiana na hatimaye kuongea mawili matatu, mshiriki huyu alishauri watoke nje, wakaongelee nje
Walitoka nje na kuongea mawili matatu na hatimaye kuachana. Wakati wanatoka nje, mshiriki tayari alikuwa ameshaongea kuhusiana na KM-A, na walipotoka nje, hakumwongelea tena

HITIMISHO:

Mshiriki huyu anatakiwa sasa aende KANISA-A akamuombe msamaha KM-A kwa maneno ya uongo na mazito aliyomsingizia siku walipokutana na mhusika. Asipofanya hivyo, mhusika atazitoa humu jukwaani taarifa za alichomsingizia KM-A.


Mhusika atalazimika kufanya hivyo kwa sababu kuu zifuatazo:

Taarifa alizopewa mhusika, assuming mhusika angekuwa ni dodoki linaloweza kufyonza tu kila kitu, zilikuwa ni bomu la kumlipukia mhusika na kupelekea kuwa na mgogoro mkubwa wa kesi kubwa mahakamani na Uongozi wa juu wa Kanisa zima ambalo makanisa haya A na B, yako chini yake

Kwa hiyo siku hiyo mshiriki huyu alikuwa amemletea mhusika taarifa ambazo zilikuwa ni bomu ambalo lingeweza kuja kumlipukia mhusika, just in case “not handled with care”

Lakini kwa wakati huo huo, zilikuwa zinamchafua KM-A na kumuweka katika hali ambayo angeweza hata kufungua kesi kubwa sana mahakamani

Unless kama kulikuwa na colluding kati ya KM-A na mshiriki huyu
, ila vinginevyo mshiriki huyu anatakiwa aende ofisini kwa KM-A akamweleze yote kama alivyomweleza mhusika na baada ya hapo amuombe msamaha KM-A

Vile vile anatakiwa atafute namna nzuri ambayo atahakikisha kuwa mhusika anapata taarifa za kuomba kwake msamaha kwa KM-A, na asipopata taarifa za mshiriki huyu kuomba msamaha kwa KM-A, basi atajua kuwa kulikuwa na colluding kati ya mshiriki huyu na KM-A na atajua nini cha kuandika humu jukwaani baada ya hapo

Asipofanya hivyo, mhusika atazitoa taarifa humu jukwaani, na atapeleka maelezo ya maandishi ofisini kwa KIONGOZI MKUU WA KANISA B, japo hana uhakika kama mshiriki huyu bado anaendelea kuabudu KANISA-B kwa sababu alisahau kumuuliza

Tangu mhusika aondoke KANISA B, ilikuwa ni mara ya kwanza kukutana na mshiriki wa KANISA B ndani ya benki hiyo, na mara ya tatu kukutana na mshiriki wa kanisa hilo hilo ndani ya maeneo hayo ya mlimani city

Mhusika anazidi kusisitiza kuwa wale wote wanaojua kuwa wana taarifa za kipumbavu wanaombwa sana wasiwe wanazipeleka kwake kwa sababu huwa hana muda na upumbavu

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA BAADHI YA WATU WALIOKO KANISA B

KAMA AMBAVYO MHUSIKA ALISHAWAHI KUDOKEZA KIPINDI CHA NYUMA, NI KWAMBA KANISA A KUNA WATU WENGI WANAOENDELEA KUFANYA HAYA MAMBO YA KIJINGA KIJINGA, UKILINGANISHA NA WENZAO WA AINA HII HII WALIOKO KANISA B. PAMOJA NA UCHACHE WAO WALE WALIOKO KANISA B, KANISA HILO LINA WATU WAKOROFI SANA NA KWENYE ORODHA YA WAKOROFI HAO, YUPO PIA MTU MMOJA AMBAYE YUKO NEGATIVE SANA KIASI KWMBA ANAWEZA HATA AKAONGOZA KWA REKODI HIYO TANZANIA. SOMEONE MORE LIKE A "LIVING DEAD" PERSON.
YAANI YUKO NEGATIVE KIASI AMBACHO HADI ANATIA HURUMA. NA KIBAYA ZAIDI, WATU WA AINA HII HUWA WANA TENDENCY YA KULAZIMISHA NA WENGINE NAO WAWE NA TABIA YA KUJISKIA KAMA AMBAVYO WAO WENYEWE HUWA WANAJISIKIA, KITU AMBACHO NI UPUMBAVU WA KIWANGO CHA HALI YA JUU SANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE:FRIDAY 31ST DECEMBER 2021: UJUMBE MUHIMU KWA WAUMINI WA KANISA A

Inaonyesha kuwa madhabahu iliyo ndani ya Kanisa jipya, itaongea mengi zaidi kuliko ile ya zamani, na itafanya makubwa zaidi ambayo hayajawahi kufanyika

Ushauri muhimu sana kwa viongozi wetu ni kuwa MAHARUSI wanaotoa salaam baada ya harusi yao kuwa imepita, wasipandishwe juu madhabahuni, wasimame chini mbele ya madhabahu kama ambavyo imekuwa ikifanyika siku zote na kama ilivyo kawaida siku zote

Siku zote maharusi wa aina hii wamekuwa wakisimama chini mbele ya madhabahu, na siyo juu madhabahuni. Hata maharusi ambao ni wachungaji, nao tumewaona pia wakisimama mbele chini ya madhabahu na si juu madhabahuni, pamoja na kuwa ni wachungaji

Yapo mengine mengi yanayohusiana na Ibada ya siku ya Jumamosi ya tarehe 25/12/2021 ila yatafuata baadaye

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE: THURSDAY 13th JANUARY 2022

BAADHI YA VIFAA VIDOGOVIDOGO VYA KWENYE GARI LA MHUSIKA, NAVYO VIMEBADILISHWA PIA

MABADILIKO YA VIFAA HIVYO YAMEFANYIKA HIVI KARIBUNI, MWEZI WA DECEMBER 2021


Ukiondoa kifuniko cha tank la mafuta ambacho chenyewe kilibadildilishwa possibly wakati injini inabadilishwa, kuna vifaa vingine vidogo vidogo ambavyo navyo pia vimebadilishwa.

Uzuri ni kwamba vilivyobadilishwa vina rangi inayoshahibiana na vile vilivyokuwepo awali ila si kwamba rangi yake inafanana kabisa na vilivyokuwepo.

Zaidi ni kuwa vilivyobadilishwa ni feki na vikukuu, na vilivyokuwepo awali vilikuwa ni ORIGINAL na vipya
 • Baadhi ya vifaa vilivyobadilishwa ni kava za plastiki za upande wa juu wa mikono ile ya kufungua na kufunga milango mtu akiwa yuko ndani ya gari. Hivi vimebadilishwa kwenye milango yote mitatu ya abiria, pamoja na ule wa dereva
 • Mbali na vifaa hivyo, usukani pia umebadilishwa ila wenyewe ulibadilishwa mchana na katika mazingira ambayo mhusika mwenyewe alikuwepo kwenye mazingira lilipokuwepo gari lake
 • Hivyo vingine vitakuwa vimebadilishwa usiku gari ikiwa iko kwenye parking.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba nyumba iliyopo ghorofa analoishi mhusika na ambayo haikaliwi na mtu yeyote hadi leo, ndiyo inayohusika kutengeneza utaratibu wa hujuma hizi

Usukani wenyewe ana uhakika ulibadilishwa katika mazingira ambayo hata yeye mwenyewe alikuwepo mazingira ambayo gari lilikuwepo na ilikuwa ni mchana, isipokuwa tu hakuwepo karibu na gari wakati kitendo hicho kinafanyika. Tatizo lililotokea ni kwamba alikuja kugunudua mabadiliko siku mbili tatu mbele na hayo akiwa tayari alishatoka eneo la tukio ambapo usuknai huo ulibadilishwa

Kwa wanaoifahamu gari, wanaweza kuviangalia vifaa hivi vilivyobadilishwa kwa nje kwa sababu gari lake halina TINT

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE: THURSDAY 20TH JANUARY 2022

TUKIO LA MR X NA YULE MSTAAFU AMBAYE BADO ANA MAMLAKA YA KUSHUGHULIKA MASLAHI YA WALE AMBAO BADO HAWAJASTAAFU:
WAWILI HAWA WAFANIKIWA KUKUTANIA OFISINI KWA MHUSIKA JANA PASIPO MHUISKA KUWA AMETARAJIA


Kwa kifupi tu ni kwamba, kwenye wiki hii MR X amekuwa na pilika pilika, na katika kiwango kilicho tofauti sana. Mhusika hata haelewi nini kinaendelea kwa upande wa MR X

Zaidi ni kuwa jana hadi alifanikiwa kumleta mstaafu. Msattafu huyu ni yule ambaye aliwahi kumleta kipindi cha nyuma ambapo (mstaafu) alikuja akiwa ana mpango wa kushughulikia swala la maslahi ya mhusika. Siku hiyo MR X alienda ofisini kwa mhusika kumwita mhusika kwa ajili ya kikao ambacho kiliendeshwa na mstaafu huyu

KWA KIFUPI SANA KUHUSIANA NA UHUSIANO WA MHUSIKA NA MSTAAFU HUYU

Hapo kabla mhusika na mstaafu huyu waliwahi kuwa na uhusiano ule wa kawaida tu kama vile kukutana njiani na kuongea maongezi ya kawaida kama wafanyakazi wa mahali pamoja. Hii ilikuwa ni kabla ofisa huyu hajastaafu, na baada ya hapo hawakuwa na ukaribu wowote ule na hawakuwahi kuonana tena EXCEPT BAADA ya siku ile ambayo mhusika aliitwa na MR X kuhudhuria kikao cha maswala ya fedha

Baada ya mhusika kuwa amehudhuria kikao hicho siku hiyo na hatimaye kubaini kuwa hakikuwa na mlengo sahihi; kuanzia siku hiyo mhusika akawa sasa ana tabia ya kumkwepa mstaafu huyu pindi anapokuwa ameonekana mazingira ya ofisini.

Baada ya kikao hicho cha awali kuwa kimepita, kuna safari nyingine kama tatu hivi ambazo mstaafu huyu aliwahi kufika mazingira ya ofisini na kumkuta mhusika akiwa sehemu fulani kwenye korido (mbili), na nyingine ya tatu alimshitukiza akiwa ndani ofisini kwake. Kwa safari hizo mbili za mwanzo, mhusika amekuwa akimkimbia mstaafu huyu (kwenye korido) na kurudi ofisini kwake na bahati nzuri inapokuwa imetokea hivyo, mstaafu huyu amekuwa hamfuati ofisini

Still, kuna siku moja (ya tatu) ambayo mstaafu huyu alifika ghafla ofisini kwa mhusika na baada ya kufungua mlango, alichungulia na kumsalimia mhusika huku akimwambia “NILIPITA TU KUKUSALIMIA”

Jana kwa bahati nzuri mhusika alikuwa ameacha mlango wazi, ambapo mstaafu huyu alifika tena (mara ya nne sasa) na kumsalimia mhusika huku akimwambia maneno yale yale kama ya awali akisema “NILIPITA TU KUKUSALIMIA”

Mhusika pasipo kujua, kumbe hata jana pia walikuwa na APPOINTMENT na MR X ambaye yeye alikuwa darasa jirani na ofisi ya mhusika

Baada ya dakika kama kumi hivi, MR X alitoka darasani na kuja kumchukua mstaafu huyu wakaondoka

OMBI LA MHUSIKA KWA MSATAAFU HUYU

Mhusika alishakosa amani kabisa na mstaafu huyu na hivyo anaomba kama inawezekana, asiwe anafika ofisni kwa mhusika kwa ajili ya kumsalimia

Mhusika hana nia ya kumfukuza mtu huyu ofisini kwake kwa sababu ni mtu ambaye alikuwa ni SENIIOR muno kwake na anamheshimu muno. Mbali na mhusika kumheshimu mtu huyu, hata wafanyakazi wengine ndani ya taasisi, wakiwemo hata viongozi wakubwa kabisa wa taasisi, wanamheshimu muno mtu huyu kwa sababu alikuwa ni kati ya watu ambao wanakuwa na zile qualities ambazo watu tulio wengi huwa hatuna

Mhusika anamuomba sana mstaafu huyu asifike tena ofisini kwake (mhusika). Ombi hili amelitoa pia kwa MR X kwa kumweleza kuwa akamweleze ugeni wao wawe wanaumaliza wao wawili pasipo kumshirikisha mhusika. Japo MR X hajakubali kwa madai kuwa ataonekana na yeye kama anamzuia kufika ofisini kwake (MR X), lakini nina imani ujumbe huu utamfikia mstaafu huyu

Ni mstaafu lakini ni mmoja wa wale watu ambao wanaheshimika muno na kila mtu ndani ya taasisi ikiwa ni pamoja na uongozi wa juu wa taasisi

JAPO kweli ni ngumu kwa MR X kumweleza hoja ya mhusika, lakini kuna haja akajitahidi akamweleza hilo ili ugeni wao wawe wanaumaliza wao wawili pasipo kumhusisha mhusika

Ni bahati nzuri kwamba mhusika aliongea na MR X akiwepo na mtu mwingine wa tatu ambaye naye alishriki kuyasikiliza maongezi yao

NB: Mhusika alitamani sana kuiweka post hii jana hiyo hiyo lakini kwa bahati mbaya alikuwa hawezi ku-access mtandao huu wa jamiiforums

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,687
2,000
UPDATE:FRIDAY 21ST JANUARY 2022:

SIKU YA IBADA YA KRISMAS YA TAREHE 25-12-2021 MHUSIKA ALIONDOKA KANISANI AKIWA AMESHAMBULIWA KOO

NI SIKU YA KWANZA KABISA AMBAYO KWA MARA YA KWANZA NDANI YA KIPINDI KIREFU IBADA ILIFANYIKIA TENA KWENYE “JENGO JIPYA”

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSIANA NA “JENGO JIPYA” KABLA YA KUWA LIMEANZA KUTUMIKA


Huko nyuma, mhusika aliwahi kutoa details humu kuhusiana na “JENGO JIPYA” na namna lilivyoonekana kuwa na uhusiaNo na baadhi ya mashambulio ya koo aliyokuwa akiyapata kutokea kanisani, kwamba ilikuwa kila akipita ndani ya jengo hilo, alikuwa anapata shambulio la koo.

Baada ya kugundua hivyo, aliamua kuacha kuwa anapita humo kwa sababu kipindi hicho MADHABAHU yake ilikuwa bado haijaanza kutumika na wala ilikuwa haijawahi kutumika hata mara moja. Kwa mara ya kwanza, madhabahu hiyo ilitumika kwa J2 mbili mfululizo na ilikuwa ni aidha March au April 2020

UHUSIANO WA MASHAMBULIO YA KOO LA MHUSIKA NA JENGO JIPYA KATIKA KIPINDI AMBACHO MHUSIKA ALIKUWA BADO HAJAHAMIA KANISA B (KIPINDI CHA KATI YA MWAKA 2011 NA 2014)

Kama alivyodokeza hapo juu, kwa mara ya kwanza kabisa pattern ya mashabulio ya aina hii mhusika aliibaini katika kipindi cha miaka kati ya 2011 na 2014 kabla hajahamia Kanisa B; kwamba Ilikuwa kila akipita ndani ya jengo hilo ambalo kwa kipindi hicho MADHABAHU yake ilikuwa bado haijawahi kutumika hata mara moja, alikuwa anapata shambulio la koo
 • Baada ya kuona hivyo, aliamua kuacha kuwa anapita ndani ya jingo hilo
 • Msimamo huu aliendelea kuutunza hadi ilipofika May 2014 alipolazimika kuhamia Kanisa B
Hata hivyo ilipofika April 2017, mhusika alilazimika kutoka tena uhamishoni Kanisa B na kurudi tena Kanisa A

 • Baada ya kurudi kutoka Kanisa B, akawa tayari allishasahu kuwa ilikuwa kila lipokuwa akipita ndani ya ‘JENGO JIPYA’ alikuwa anapata mashambulio ya koo
 • Kwa hiyo baada ya kuwa amerudi kutoka Kanisa B April 2017, aliendelea tena kupita ndani ya ‘JENGO JIPYA’ na hapo hapo alipigwa tena koo la jipya la kumkaribisha kutoka uhamishoni
 • Baada ya shambulio hilo, kumbukumbu zilimrudia tena kuwa kabla hajahamia Kanisa B, alikuwa anapata shambulio la aina hiyo kila ilipokuwa inatokea amepita ndani ya ‘JENGO JIPYA’
 • Baada ya kuona hivyo, mhusika aliamua tena kwa mara KWA AWAMU NIYINGINE YA PILI, kutokuwa anapita tena ndani ya ‘JENGO JIPYA’ hadi ilipofika siku ya J2 ya tarehe 26/04/2020 (mwaka juzi) ambapo siku hiyo alilazimika kwa mara ya kwanza kukaa humo wakati wa Ibada kutokana na uwingi wa watu siku hiyo kwa sababu Ibada ilikuwa ni moja.
 • Kawaida Ibada huwa zinakuwa mbili isipokuwa kuna baadhi ya J2 maalumu ambazo huwa zinakuwa ni moja tu
Kwa hiyo, kwenye J2 hiyo tajwa, Ibada ilikuwa ni moja na mhusika alilazimika kukaa ndani ya ‘JENGO JIPYA’ wakati wa Ibada, baada ya kukosa nafasi kwenye Kanisa lililokuwa likitumika kwa wakati huo. Mhubiri wa Ibada ya J2 hiyo alikuwa ni huyu wa juzi ambaye akiwa amesimama madhabahuni, aliwatangazia waumini kuwa kwenye BIBLIA KUNA BAADHI YA MAFUNGU YA KISHETANI

 • Hadi siku hiyo ya Ibada, ilikuwa ni takribani zaidi ya miaka miwili na ushee imepita tangu mhusika akanyage mara ya mwisho kwenye ‘JENGO JIPYA’
 • SIKU YA IBADA HIYO PIA MHUSIKA ALIPATA SHAMBULIO LA KOO.
Kwa hiyo BAADA YA KURUDI KUTOKA UHAMISHONI KANISA A,
 • Mara ya mwisho mhusika alipokanyanyaga kwenye ‘JENGO JIPYA’ alipata shambulio la koo, na baada ya pale, aliacha kabisa kukanyaga ndani ya jingo hilo
 • Mara ya kwanza tena, (baada ya kuwa ameacha kukanyaga ndani ya ‘JENGO JIPYA,) alipokanyaga ndani ya jengo hilo ambapo ilikkuwa ni siku ya J2 ya tarehe 19/04/2020,mhusika alipata tena shambulio la koo
 • Mbali na mashambulio hayo, JUMAMOSI YA KRISMAS TAREHE 25/12/2021 AMBAPO IBADA ILIFANYIKIA NDANI YA KANISA JIPA KWA MARA YA KWANZA (au mara ya tatu ukiunganisha na ibada zile mbili za mwaka 2020) AMBALO HAPO AWALI LILIKUWA LIKIJULIKANA KAMA “JENGO JIPYA”, MHUSIKA ALIPATA TENA SHAMBULIO LA KOO
Shambulio hilo ndiyo lililopelekea mhusika akaosa Ibada ya J2 ya kwanza ya ya mwaka 2022. J2 ya tarehe 02/01/2022 mhusika hakuwepo kwenye Ibada, na sababu iliyopelekea asiwepo siku hiyo ilikuwa ni shambulio la KOO

Hata hivyo, ushahidi huu bado hautoshi ku-prove kwamba kuna uhusiano kati ya mashambulizi ya koo la mhusika na ‘JENGO JIPYA’ Ushahidi zaidi unakuja na MR X anaonekana kuwa na mchango hata katika hili pia

………inaendelea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom