Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio "Inside Job"!, bali ni "Smear Campaign?!.

Nikacheck hali kwenye Hospital ipi hali yakuwa kuna watu wamepoteza maisha kwa kukosa mtu wa kumtundikia dripu tu Je ni akina mama wangapi wajawazito waliopoteza uhai kwa kukosa wakuwasaidia kujifungua?Au wewe na hao wenzenu kitu cha Appolo India nn? Ndio maana huna uchungu kwa haya wanayoyafanya akina Dk Ulimboka na wenzake?Hivi Mama yako kaumwa ghafla umempeleka pale Mwanayamala Hosp a kakosa hata mtu wa kumpa huduma ya kwanza then kapoteza Maisha hivi ungejisikiaje? Au wewe umekalia kupiga siasa na kuacha uhalisia
ndugu, ni hospitali ngapi zinakosa hata ilo dripu??? hao ma daktari na tabaka letu tu , hawa endi huko India, hao waliotaka kumuu Dr. Ulimboka ndo wanajua hata akifa wao haiwahusu kwani huwa hawatibiwi hapa nchini, ndugu Ally Kanah , lazima ujiulize kwa nini madaktari wanagoma mara ya tatu sasa, serikali , mara zote mbili za kwanza imefanya kitu gani kuboresha mazingira ya kazi ?? je vitendekea kazi vinatosheleza??? kwa nini maslai ya mapiga porojo bungeni na wachapa usingizi toka gombe yawe makubwa kuliko ya hawa wanarinda afya zetu ????
 
Last edited by a moderator:
Du! Nimeamini watu wana roho ngumu! Sasa sijui tuwaombee waliompiga? Get serious people. If Dr did anything wrong, they'd have taken him to court. What would you feel if you found your family member in a dying case then one says we should not pray for his recovery? So sad! Hata sijui ni imani gani hiyo isiyohubiri upendo.

Ndugu katika Bwana fikiri mara mbili kabla ya
Kushangilia huu udhalimu wa ma dktr
Zidi ya wasionacho

Kuwa na huruma ya kimungu hawo ma dk
Ni wanyama wanaroho ngumu sana kwa pa
moja tuiombee nchi yetu
 
wewe sikimeo tuu subiri ije zamu yako uende moi ndio utajua umuhim wa ulimboka, usicheze na mungu atakuadhibu
ukome kiherehere chakujifanya hujali.
 
You r using the front part of Cockroach mind to think. AND unfortunately out of it your utilizing only 0.001 ppm of it!! Suppose one million patients dies ... In which ways that is equivalent to extracts someones teeth and nails ???
 
Serikali imesema hii ishu iko mahakamni.
Lakini Serkali iyo hiyo imashaafukuza madaktari mbeya, bugando, KCMC,
MOI barua zinaandikwa deadline jumatatu saa tatu.
Sasa iyo mahakama inasimama wapi.
Mbona BUNGE linazuiwa na m-bibi MAKINDA kuwa ishu iko kwa court?
 
Jamani members wa JF naomba tupunguze Jaziba, Kuumizwa kwa Dr. Uli imeonekana ni issue ambayo inatawala katika Media nyingi. Naomba kuuliza mtu mweye takwimu ya kamili ya watu waliokufa kutokana na Mgomo ule wa awamu ya kwanza na huu unaondelea kwa sasa ndipo tuanze kujadili issue ya mtu ambaye hajafa bado Dr. Uli. Naomba kuwasilisha tujadili bila jaziba

Mimi nafikiri ipo haja ya kupanua wigo wa majadiliano ili kucapture kikamilifu madaia ya madakatari hivyo tuipate takwimu kamili wa watanzania wangapi hupoteza maisha kwa kukosekana kwa vifaa vya tiba hata vile vya gharama nafu kama vile vacuum pump za kuvita maji machafu yanayonywewa na vichanga wakati wa kujifungua, bei ya kifaa hiki haizidi shs 5,000/= lakini maelfu ya akina mama hupoteza vichanga vyaoa kwa hospitali zetu kukosa kifaa hili wakati wa akina mama kujifungua. Shangingi moja la Shs Milioni lingeweza kununua vifaa 40000/= na hivyo kukoa maisha ya vichanga 40000.

Vile vuile hali ndio kama hiyo katika vifaa vingi vya tiba ndio maana madakatari wamedai kuwa wamechoka kuona watanzania wenzao wakipoteza maisha kwa sababu ya kupuuzwa kwa sekta ya afya.
 
Ndugu katika Bwana fikiri mara mbili kabla ya
Kushangilia huu udhalimu wa ma dktr
Zidi ya wasionacho

Kuwa na huruma ya kimungu hawo ma dk
Ni wanyama wanaroho ngumu sana kwa pa
moja tuiombee nchi yetu

Mkuu unajua ni madaktari wangapi wamepata matatizo ya kiafya sababu ya mazingira hatarishi ya kufanyia kazi?
Unajua ni mara ngapi madaktari wanashindwa kufanya kazi simply because syringes hamna?

Ni wagonjwa wangapi hufa sababu hospitali hazina vifaa? Wewe kama daktari utajisikiaje ukiambiwa nchi haina hela wakati wabunge wanajiongezea allowance by 100%?, ahadi walizopewa zimepuuzwa?

I'M NOT HAPPY WITH THE STRIKE. But let's get in the doctor's shoes and feel the pinch! Unaposema tusimuombee Dr Uli unamaanisha kuwa unafurahishwa na mateso aliyopata. Hapo ndo nahisi concussion. Kwa hiyo tuwapongeze waliomtenda hayo?
 
Masikini Pasco! Naona malimbukeni mnazidi kuongezeka tu...je unakumbuka theory yako kuhusu ugonjwa wa Mwakyembe? Nashangaa hadi leo hujawaomba radhi maGT wa JF. Sasa leo unaibuka na mengine na kama kawaida wako vilaza wanakupongeza, pole sana!
Mkuu Mag3, hizi theories ni my own formulations. Issue ya Dr. M niliyoyasema was facts.
Nilisema
1. Medical Report hutolewa moja, kinachofuatia ni follow-up tuu, nilieleza nami nimetibiwa huko, hospitali ile ile, siku unapewa discharge, kama unajilipia, unapewa original medical report yako, kama umedhaminiwa, wewe unapewa original na sponsor wako anapewa copy!, ile ripoti iliyotolewa na yule afendi, ndio report yenyewe na hakuna nyingine!, report ile haionyeshi kuwa Dr. M A alipewa sumu!. Sasa niombe radhi kwa lipi?. Facts ni zile zile na bado zinasimama mpaka kesho!.

2. Nyinyi si mliaminishwa uchunguzi unaendelea, yaani medical examination na repoti nyingine ya uchunguzi mpya ingetolewa, ikiwemo report ya forensic, mimi nilisisitiza, uchunguzi yaani medical examination ulikamilika, ila mgonjwa hutakiwa kuripoti tena after sometimes for obsevation only na kwa wagonjwa wengine hutakiwa kurejea for pure money making schemes huku wanajua wazi, there is nothing more they can do more than what they have already done!. Maadam alirudi, endeleeni kusubiria hiyo final report!.

3. Kwenye ubishi ule, kuna vitu viwili, 1. facts na 2. sensenationalism. Nilichokisema mimi ni facts, mlichoamini nyinyi ni sensention tuu, uzuri wa facts, huwa zinasimama daima!, sensetion huvuma tuu na huishia ku fade away na facts kubaki!, sasa jiulize, jee kilichobaki na kinachosimama mpaka leo na kesho ni kipi?!. Kama kuna chochote nilichokisema mimi kimethibitishwa sicho, then ningeomba radhi. Vyote nilivyosema mimi ndizo facts na simesimama!. Prove me wrong na nitaomba radhi!.

Hili la Ulimboka, hizo ni theories too zenye postulates only, zikishakuwa proved with facts, ndipo zitakuwa applicable kati ya "inside job", "smear campaign" na "kufa kufaana"!.
 
Mkuu unajua ni madaktari wangapi wamepata matatizo ya kiafya sababu ya mazingira hatarishi ya kufanyia kazi?
Unajua ni mara ngapi madaktari wanashindwa kufanya kazi simply because syringes hamna?

Ni wagonjwa wangapi hufa sababu hospitali hazina vifaa? Wewe kama daktari utajisikiaje ukiambiwa nchi haina hela wakati wabunge wanajiongezea allowance by 100%?, ahadi walizopewa zimepuuzwa?

I'M NOT HAPPY WITH THE STRIKE. But let's get in the doctor's shoes and feel the pinch! Unaposema tusimuombee Dr Uli unamaanisha kuwa unafurahishwa na mateso aliyopata. Hapo ndo nahisi concussion. Kwa hiyo tuwapongeze waliomtenda hayo?


ImageUploadedByJamiiForums1340985608.492514.jpg

Haya mkuu embu ona nani kaathirika hapo na nani anapaswa kuombewa mungu
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1340985567.531347.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1340985567.531347.jpg
    29.8 KB · Views: 36
Nimeamini nyie hapo juu wawili ni mashetani halisi! Mmhh unaweza sema unakaa na binadamu kumbe ni ma ibilisi! Lord have mercy!
na hawa madoctor wanaokubali wagonjwa wafe kisa mgomo kwa mtazamo wako ni mafiraauni au ni vibaraka!!!
 
View attachment 57744

Haya mkuu embu ona nani kaathirika hapo na nani anapaswa kuombewa mungu
hukuona wagonjwa wote mpaka mkawakusanye wajawazito kwenye wodi moja muwapige picha,kwani wagonjwa wanaopata tabu ni wale wanaosubiri kujifungua kwa njia salama tu!!!!
mbona kujifungua kwa njia salama halitaki hata uwepo wa doctor,wapigeni picha wananchi waliopata ajali wakiwa mahututi na wanakosa tiba na................................
 
Inatupasa kumuombea mabaya zaidi Dk Ulimboka kwani hata tukimuombea apone hana msaada wowote na maisha ya wagonjwa maskini katika nchi hii

Halafu itakusaidia nini? Hivyondivyo maadili ya dini yako yanavyokufundisha?Hata kama alikuwa na makosa ya kudai haki yake aliyokuwa anadai huwezi kumuombea mabaya ndugu,Hata siku moja usifanye kitu kama hicho,kumbuka ww ni binadamu una kaka,dada,baba,mama,mjomba shangazi na wengineo,kama wakifanyiwa jambo ambalo siyo na mtu akawaombea mabaya utafurahia kiasi gani? kama Ulimboka anakosa acha vyombo vya seria vinavyo fuata tarajibu za nchi zimchukulia hatua ndiyo ufurahiye na si kufurahiya kitendo cha kigaidi alichofanyiwa.Ubarikiwe na uwe na moyo wa huruma siku zote za maisha yako.Amina
 
Halafu itakusaidia nini? Hivyondivyo maadili ya dini yako yanavyokufundisha?Hata kama alikuwa na makosa ya kudai haki yake aliyokuwa anadai huwezi kumuombea mabaya ndugu,Hata siku moja usifanye kitu kama hicho,kumbuka ww ni binadamu una kaka,dada,baba,mama,mjomba shangazi na wengineo,kama wakifanyiwa jambo ambalo siyo na mtu akawaombea mabaya utafurahia kiasi gani? kama Ulimboka anakosa acha vyombo vya seria vinavyo fuata tarajibu za nchi zimchukulia hatua ndiyo ufurahiye na si kufurahiya kitendo cha kigaidi alichofanyiwa.Ubarikiwe na uwe na moyo wa huruma siku zote za maisha yako.Amina

Mwanandungu unamuombeaje adui yako Mazuri? Adui yako muombee njaa huyu Ulimboka na wenzie ni maadui wa Maskini wa kitanzania labda kama wewe sio maskini wa kitanzania muombee heri

Ila sie tulioathiriwa na huo mgomo tuliopoteza ndugu jamaa zetu kwa ajili ya ukatili wao hao Madaktari inatupasa kumuombea mabaya
 
Back
Top Bottom