Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio "Inside Job"!, bali ni "Smear Campaign?!.

Hii nilitaka kuiposti kule Jamii Inteligence nikidhani ni theories za kiinteligensia, nikagundua kumbe kule huwezi kuposti mpaka kwa kibali cha mode, hivyo nimeileta huku jukwaa huru ambalo halihitaji ruhusa ya yeyote kuposti humu!.

Wanabodi,

Wakati tukiendelea kugumia kilichomkuta Dr. Ulimboka, kama kawaida lazima "conspiracy theories' ziwepo ili kujifariji kuwa kuwa aliyefanya hivyo ni nani na kwa malengo gani?.

'Conspiracy theory' Number 1: " It is "inside job"!.
theory hii ambayo ndiyo ya walio wanaamini kabisa ile ni kazi ya serikali, kwa msingi kuwa yeye ndio chanzo cha mgomo toka mwanzo, kwa hiyo, akishughulikiwa, mgomo ndio utamalizika rasmi, hivyo serikali ikawatumia vijana wake waitwao "the oparatives" wamshughulikie vile wataona inafaa, na kweli vijana wakaingia kazini na kilichotokea ni motokeo ya kazi "nzuri" ya vijana wale ambao wameitekeleza vibaya (incomplete), hivyo sasa kui embarass serikali!.

Wanabodi, hakuna ubishi, "the oparatives wapo", na hizo ndizo kazi zao, lakini naomba kutofautiana na simple thinkers wanaoamini its an 'inside job', kwa sababu ili "oparatives" waingie kwenye any 'covert' oparation, lazima kwanza waweke malengo, "what do they want to achieve", ili kujaustify "the motive behind", na kabla ya utekelezaji, lazima wapime, "impact" na "consequences" ndipo huamua "the best way" ya utekelezaji, na kwa vile "they are proffessionals", siku zote hutekeleza with very high degree za 'precise' na leaving no trace behind!.

Kilichomtokea Dr. Ulimboka ni kazi ya "amateures" kwa kuacha loop holes kibao ambapo ukiwa "deep thinker", uta doubt kama ile ni kazi ya "professionals", hivyo inawezekana kabisa sio "inside job", unless kilichofanyika kiwe ni tactics za vijana wa "inside job" to carry out kihovyo hovyo ili ionekana ni amateures na huko kumuacha aishi pia ndio lengo na sio aliachwa kuishi kwa bahati mbaya!.

Normal comon sense inanishawishi nijiulize, kama Dr. Ulimboka ndie adui wa serikali, kama serikali hiyo hiyo imeamua kumshughulikia kwa njia hiyo ili iachieve nini?. Ule msemo wa mchawi, mpe mwanao akulelee kwa imani kuwa hawezi kumdhuru!, hivi inawezekana kweli serikali yetu ndio iliyomshughulikia Dr. Ulimboka na kwa nanma ile?!. Kama ni kweli, hii ni kazi ya "inside job", then for sure, "hii itakuwa ni serikali ya vichaa!".

Conspiracy Theory No. 2. Could it be just a "Smear Caipaign"?!.
Adui wa adui yako ni rafiki yako, kwa vile Dr. Ulimboka ndiye kiongozi wa hii migomo, na hii migomo imeishaipasua sana kichwa serikali, hadi rais Jakaya Kikwete, akautangazia umma kuwa mgomo ule ni wa mwisho, na kwa vile sasa mgomo umeibuka tena na kuwafanya wote waliojifanya kuuepusha tangu mwanzo kuonekana wajinga, akiwemo rais JK, its obvious Dr. Ulimboka ndie alishaonekana ni adui wa serikali na kila mtu anajua, hivyo jambo lolote litakalomtokea Dr. Ulimboka, automatically, fingers zitakuwa pointed kwa serikali kuwa sio mshukiwa bali ni mhusika mkuu!.

Kwa msingi kuwa, Dr. Ulimboka ni adui wa serikali, automatically atakuwa ni rafiki wa maadui wa serikali, hivyo sasa amegeuka target nzuri kwa maadui wa serikali waliomo within, ambao hawaitakii mema serikali yao, wakaamua kumshughulikia Dr. Ulimboka ili kuiembarass serikali kunyooshewa vidole vya lawama kwa utaratibu unaojulikana kama "smear Campagn"!.

Could it be?.

Pole Dr. Ulimboka.

Get well soon!.

Pasco.
​
you are great thinker and it seems mambo ya kiintelejensia unayajua vzur hasa nkkumbuka issue ya dr.mwakyembe..najfunza mambo meng thru ur posts
 
Sidhani kama kuna mkono wa mtu ama chama ama serikali katika sakata la Dr. Ulimboka. Kilichompata nadhani ni hatua ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa 'kumgawia maumivu' kiongozi anayeogoza watu waliopewa dhamana ya kuangalia afya na uhai wa watu kwa niaba ya aliyewaumba na serikali. Na hapo naona somo pande zote mbili, serikali na madaktari. Madaktari watambue umuhimu wao, na km wamegoma kweli, Dr. Uli km mtanzania mwingine na mlipa kodi angeachwa km walivyoachwa wagonjwa wengine MOI.

Sikubaliane na kitendo walichonfanyia Dr. Uli, ila kitendo cha yeye kupewa huduma nzuri na sasa anaendelea vizuri kinaonesha kuwa madaktari wetu wanatuchezea pamoja na serikali kwa kuchagua watu wakuwahudumia kulingana na vyeo/nafasi/nk. Madaktari acheni ubabaishaji, hamuezi kutumia roho za watu kuichapa serikali! Watu wamechochwa na tabia zenu za kibabe na ukaidi.

Wavaa magwanda nanyi msiwe opportunists, kutumia tukio hili kujipatia umaarufu kwa 'kulaani'. How can you prove that you are innocent on this issue?

Among the group of rare professionals...sio kila mtu anaweza kuwa daktari wa matibabu. Ndo maana wanapeana preferance. Wenzangu na mimi mwendo mdundo
 
Its kinda difficult kuangalia upande mwingine kutokana na facts japo tunajaribu ili kujiridhisha kwa ku "think outside the box, kila nikijaribu narudi palepale...............
Sidhani kama lengo lilikuwa ku inflict pain tu indicators zote zilikuwa zinaelekeza kuwa jamaa auwawe na judging from yule mwanausalama aliyekong'otwa pale muhimbili ni vigumu kukubali kirahisi kuwa hakuna mkono wa Serikali

Unajua hata holywood movie ili ichukue chat lazima mpango mzima uwe umekamilika vizuri...hii movie imeharibika mwishoni mwishoni...kwahiyo naamini kwa muda muafaka tutajua nini kilichotokea.
 
1:kuna idadi kubwa ya madoctor wa kutegemewa na wenye elimu ya kati wanamiliki zahanati(nyengine za nguvu)au maabara zao binafsi,na asilimia kubwa ya vyombo vinavyotumika humo sawa dawa zinazotolewa au vyombo vya kupimia na kuainishwa gonjwa,ni mali ya hospitali za serikali,zimefikaje humo,wakati kama wanavyodai kuna upungufu mkubwa wa dawa na vyombo mbali mbali(majina mengi sana yameorodheshwa mikoa na wilaya na ....)mbali mbali!
2:madoctor hao hao unapokwenda hospitali za serikali hukwambia ili kuepuka foleni na kupata dawa za bei poa,nakuandikia vipimo nenda kwenye zahanati yangu upate huduma nafuu na ya fasta!!tupo pamoja hapo??!!
3:madoctor wengi sana ni walevi na wazinzi wa kupindukia hata wakiwa kazini,na asilimia si mbaya ya madoctor hao ni waathirika wa h.i.v
4:kuna idadi si ya kupuuzia ya madoctor wanaotumia madawa ya kulevya,na kuna wengine yameshawaathiri vibaya,hapo tunategemea nini??!!(data wahusika wanazo)
5:madoctor wengi wananyumba za malaya wao za kutunza tu si chini ya tatu mpaka tano,wakati mjarisiamali mwenye kipato cha kati kutunza familia moja tu ni kazi!!!,hapa naona wanahaki ya kugoma!
6:ni lazima madoctor wawe na jeuri kwa masikini wa hali ya chini kwani wenye fedha wakiwahonga hata usiku wa saa nane hukurupuka,na kusikiliza nini kimejiri,kwa kuwa wamezoeshwa hulka hii,asiekuwa na hela,kutibiwa hospitali za serikali ni ndoto,au atapasuliwa kwa makusudi kichwa badala ya goti.
kuna mengi sana ya kuongeza hapo,tatizo mda!
nimewasilisha hoja wana jf!!

Mkuu, utuletee vielelezo kuisaidia hii story yako.
 
Binafsi nina mtazamo tofauti sana juu ya hili tukio la kutekwa na kupigwa kwa Dr. Ulimboka, najua pengine wengi itakuwa ngumu sana kuelewa ninachosema.

Mtazamo wangu unakuwa tofauti sana juu ya kuamini kama serikali wameweza kufanya hili hasa kwa mambo yafuatayo ambayo najiuliza;-
1. Inawezekana Serikali wakafanya poor operation kiasi hicho!! Kama walidhamilia kufanya hilo walikosa njie nyingine!!! Naamini kabisa kuwa serikali yoyote duniani wakiamua kumpoteza yeyote katika mazingira yasiyoeleweka wanaweza, lakini siyo kwa style hii. Kama ni serikali wamefanya hivyo naamini wangeweza kuwa na njia zingine bora kwao.

2. Kama serikali wamehusika kufanya hivyo, dhamira yao ilikuwa nini.... kukomesha mgomo!!?? Naamini hata kama Dr. Ulimboka ungepoteza uhai wake au kutoweka (kutoonekana) siamini kama mgomo ungegomea hapo, hii ina maana kuwa kumpoteza uhai ingesababisha mgomo ukome.

3. Kama serikali wamefanya hivyo, basi tuseme timing imekosewa??? Maana naona haikuwa time stahili kufanya hilo tukio kwa kipindi hicho kwani kwa vyovyote vile ingeonekana ni serikali wamehusika.

Kwahiyo, kwa sababu hizo tatu kwangu nashindwa kushawishika kuamini kama serikali (Govt official operation) wamehusika na hili, kunaweza kukawa na hisia nyingi kuhusiana na trend nzima ya matukio husika, ila ningependa tu kusema hakika ukweli utapatikana tu hata kama iweje.

Tunakuombea Dr. Ulimboka kupona haraka sana, kwa uwezo wake Muumba hilo litawezekana.
 
Kuna vitu vingi soon tutavisikia kuhusu issue ya Dr Ulimboka...Pasco kajitaidi kueleza vizuri sana suala ili.
 
Hii nilitaka kuiposti kule Jamii Inteligence nikidhani ni theories za kiinteligensia, nikagundua kumbe kule huwezi kuposti mpaka kwa kibali cha mode, hivyo nimeileta huku jukwaa huru ambalo halihitaji ruhusa ya yeyote kuposti humu!.

Wanabodi,

Wakati tukiendelea kugumia kilichomkuta Dr. Ulimboka, kama kawaida lazima "conspiracy theories' ziwepo ili kujifariji kuwa kuwa aliyefanya hivyo ni nani na kwa malengo gani?.

'Conspiracy theory' Number 1: " It is "inside job"!.
theory hii ambayo ndiyo ya walio wanaamini kabisa ile ni kazi ya serikali, kwa msingi kuwa yeye ndio chanzo cha mgomo toka mwanzo, kwa hiyo, akishughulikiwa, mgomo ndio utamalizika rasmi, hivyo serikali ikawatumia vijana wake waitwao "the oparatives" wamshughulikie vile wataona inafaa, na kweli vijana wakaingia kazini na kilichotokea ni motokeo ya kazi "nzuri" ya vijana wale ambao wameitekeleza vibaya (incomplete), hivyo sasa kui embarass serikali!.

Wanabodi, hakuna ubishi, "the oparatives wapo", na hizo ndizo kazi zao, lakini naomba kutofautiana na simple thinkers wanaoamini its an 'inside job', kwa sababu ili "oparatives" waingie kwenye any 'covert' oparation, lazima kwanza waweke malengo, "what do they want to achieve", ili kujaustify "the motive behind", na kabla ya utekelezaji, lazima wapime, "impact" na "consequences" ndipo huamua "the best way" ya utekelezaji, na kwa vile "they are proffessionals", siku zote hutekeleza with very high degree za 'precise' na leaving no trace behind!.

Kilichomtokea Dr. Ulimboka ni kazi ya "amateures" kwa kuacha loop holes kibao ambapo ukiwa "deep thinker", uta doubt kama ile ni kazi ya "professionals", hivyo inawezekana kabisa sio "inside job", unless kilichofanyika kiwe ni tactics za vijana wa "inside job" to carry out kihovyo hovyo ili ionekana ni amateures na huko kumuacha aishi pia ndio lengo na sio aliachwa kuishi kwa bahati mbaya!.

Normal comon sense inanishawishi nijiulize, kama Dr. Ulimboka ndie adui wa serikali, kama serikali hiyo hiyo imeamua kumshughulikia kwa njia hiyo ili iachieve nini?. Ule msemo wa mchawi, mpe mwanao akulelee kwa imani kuwa hawezi kumdhuru!, hivi inawezekana kweli serikali yetu ndio iliyomshughulikia Dr. Ulimboka na kwa nanma ile?!. Kama ni kweli, hii ni kazi ya "inside job", then for sure, "hii itakuwa ni serikali ya vichaa!".

Conspiracy Theory No. 2. Could it be just a "Smear Caipaign"?!.
Adui wa adui yako ni rafiki yako, kwa vile Dr. Ulimboka ndiye kiongozi wa hii migomo, na hii migomo imeishaipasua sana kichwa serikali, hadi rais Jakaya Kikwete, akautangazia umma kuwa mgomo ule ni wa mwisho, na kwa vile sasa mgomo umeibuka tena na kuwafanya wote waliojifanya kuuepusha tangu mwanzo kuonekana wajinga, akiwemo rais JK, its obvious Dr. Ulimboka ndie alishaonekana ni adui wa serikali na kila mtu anajua, hivyo jambo lolote litakalomtokea Dr. Ulimboka, automatically, fingers zitakuwa pointed kwa serikali kuwa sio mshukiwa bali ni mhusika mkuu!.

Kwa msingi kuwa, Dr. Ulimboka ni adui wa serikali, automatically atakuwa ni rafiki wa maadui wa serikali, hivyo sasa amegeuka target nzuri kwa maadui wa serikali waliomo within, ambao hawaitakii mema serikali yao, wakaamua kumshughulikia Dr. Ulimboka ili kuiembarass serikali kunyooshewa vidole vya lawama kwa utaratibu unaojulikana kama "smear Campagn"!.

Could it be?.

Pole Dr. Ulimboka.

Get well soon!.

Pasco.
​

Dr. Ulimboka is alive and repeatedly quoted speaking on general issues of the happening. I beg nomore speculations the traces are more than enough to causatives and know their motives behind. If you had time to talk to MAT leaders probably you would deduce the above conspiracy theories to either of the two! Can you do further follows up and engange our minds?
 
Kuna vitu vingi soon tutavisikia kuhusu issue ya Dr Ulimboka...Pasco kajitaidi kueleza vizuri sana suala ili.
Kama ameweza kujiita Idi hebu wewe Nkuu tuelezee vizuri kabisa maana maneno yako unaelekea wewe ni mtu wa Inside anaowazungumzia Pasco...
 
Binafsi nina mtazamo tofauti sana juu ya hili tukio la kutekwa na kupigwa kwa Dr. Ulimboka, najua pengine wengi itakuwa ngumu sana kuelewa ninachosema.

Mtazamo wangu unakuwa tofauti sana juu ya kuamini kama serikali wameweza kufanya hili hasa kwa mambo yafuatayo ambayo najiuliza;-
1. Inawezekana Serikali wakafanya poor operation kiasi hicho!! Kama walidhamilia kufanya hilo walikosa njie nyingine!!! Naamini kabisa kuwa serikali yoyote duniani wakiamua kumpoteza yeyote katika mazingira yasiyoeleweka wanaweza, lakini siyo kwa style hii. Kama ni serikali wamefanya hivyo naamini wangeweza kuwa na njia zingine bora kwao.

2. Kama serikali wamehusika kufanya hivyo, dhamira yao ilikuwa nini.... kukomesha mgomo!!?? Naamini hata kama Dr. Ulimboka ungepoteza uhai wake au kutoweka (kutoonekana) siamini kama mgomo ungegomea hapo, hii ina maana kuwa kumpoteza uhai ingesababisha mgomo ukome.

3. Kama serikali wamefanya hivyo, basi tuseme timing imekosewa??? Maana naona haikuwa time stahili kufanya hilo tukio kwa kipindi hicho kwani kwa vyovyote vile ingeonekana ni serikali wamehusika.

Kwahiyo, kwa sababu hizo tatu kwangu nashindwa kushawishika kuamini kama serikali (Govt official operation) wamehusika na hili, kunaweza kukawa na hisia nyingi kuhusiana na trend nzima ya matukio husika, ila ningependa tu kusema hakika ukweli utapatikana tu hata kama iweje.

Tunakuombea Dr. Ulimboka kupona haraka sana, kwa uwezo wake Muumba hilo litawezekana.
Well said hata mimi siamini kama serikali imehusika. Jamani tuwe critical thinkers ku argue in support and agaist
 
"hii itakuwa ni serikali ya vichaa!".

Kwa msingi kuwa, Dr. Ulimboka ni adui wa serikali, automatically atakuwa ni rafiki wa maadui wa serikali, hivyo sasa amegeuka target nzuri kwa maadui wa serikali waliomo within, ambao hawaitakii mema serikali yao, wakaamua kumshughulikia Dr. Ulimboka ili kuiembarass serikali kunyooshewa vidole vya lawama kwa utaratibu unaojulikana kama "smear Campagn"!.

Could it be?.

Pole Dr. Ulimboka.

Get well soon!.

Pasco.
​
Hapo Mkuu Nimekuelewa Vipi kuhusu Mamvi ambaye Unamfagilia Sana awe Raisi 2015 Rich Monduri inawezekana akahusika kiaina flani? nasubiri utetezi wako kama kawaida yako
 
Conspiracy Theory No. 3 ni "Isolated event" as an "Oportunity to Gain"

For every problem, there is an "opportunity to gain", wakati watu wanalia kwa msiba wa mpendwa wao, kwa mjenga majeneza, its an opportunity to gain!. Zamani mtu akifiwa tulikwenda kulala kumfariji, na majirani ndugu jamaa na marafiki kuchangia chochote, huku kina mama wakijitanda kanga na tulikwenda kulala misibani kwa upendo!. Siku hizi misiba ni dili, watu wanashona sare, kutengeneza T-shitrs, mpampaji, caterer, Kwanya, PA, video, picha, MC hadi waliaji wakukodishwa wapo!, hizi zote ni opportunities, kama ilivyo kwa wenzetu wa traffic, gari lako likikuharibikia, kwao ni opportunity na ikitokea ajali, zile breakdown zinashindana mpaka wanapiganaga!.

Vivyo hivyo, huu mgomo wa madaktari, kwa wengine ni shida na vilio, lakini kwa wengine its an opportunity to geai more and more!. Hivyo ndiyo ilivyo hii posibility ya conspiracy theory ya 3, kuwa Waliomteka Dr. Ulimboka, could be paid up thughs, waliokuwa contaracted na mtu au kikundi cha watu, ambao kwao mgomo ni dili kubwa na kadri utakavyo endelea, ndivyo wao wanavyo stand to gain!, kwa vile Dr. Ulimboka ndie kiongozi wa madaktari, ukimpotezea kwa kipigo kile, utafanikiwa ku fuel madaktari wapandishe hasira na kugoma jumla if possible, ili wao wazidi kuneemeka. Hawa pia walifanya hivi ili ionekane wazi, aliyemshughuliki Dr. Ulimboka sii mwingine, bali ni yule yule adui yake ambaye ni "one and only" anayefahamika!. Kama theory hii ni kweli, then walidhamiria kumpotezea jumla, na survival yake ni kwa kudra ya Mungu tuu!. And if this is the case, then aliyemlipa mpiga zumari, ama atakuwa tayari, kulipa fungu kubwa zaidi ili kuikamilisha kazi hiyo, kabla Dr. Ulimboka asije kuwatambua!, au atakodi timu nyingine, kuhakikisha, anawanyamazisha wote waliomshughulikia Dr. Ulimboka kwa kuwapotezea!.

Salama ya hao waliolipwa ni ku confess the sooner the better ili wabaki salama, vinginevyo, they'll vanish into thin air within no time!.
 
Masikini Pasco! Naona malimbukeni mnazidi kuongezeka tu...je unakumbuka theory yako kuhusu ugonjwa wa Mwakyembe? Nashangaa hadi leo hujawaomba radhi maGT wa JF. Sasa leo unaibuka na mengine na kama kawaida wako vilaza wanakupongeza, pole sana!
 
Pasco good post, najua wewe ni mmoja wa "wale watu" ila sina hakika kama wameshakuingiza kwenye kundi la operatives, kazi zako nazijua. Ila kuwa makini wanaweza kukupoteza anytime kwa jinsi unavyowavua nguo. Serikali yetu kwa sasa imeshindwa kutekeleza mambo ya msingi ya maendeleo badala yakeinahamia kwenye uuaji, ubabe, wizi wa rasilimali kwa kutumia hao jamaa na operatives wao. Ipo siku yao watajuta. Ila kumbuka kuwa makini, watakutafuta tu japo na wewe ni sehemu ya wao
 
Speculations................
Msaidieni jamaa wa Magogoni, "washauri" wake wanamshauri vibaya.
:spy:
 
Jamani members wa JF naomba tupunguze Jaziba, Kuumizwa kwa Dr. Uli imeonekana ni issue ambayo inatawala katika Media nyingi. Naomba kuuliza mtu mweye takwimu ya kamili ya watu waliokufa kutokana na Mgomo ule wa awamu ya kwanza na huu unaondelea kwa sasa ndipo tuanze kujadili issue ya mtu ambaye hajafa bado Dr. Uli. Naomba kuwasilisha tujadili bila jaziba
 
Serikali DHAIFU ilishasema bungeni kuwa mgomo uliopita haukuwa na madhara kabisa....may be tutaambiwa tena a similar story....Tusubiri tuone...."LIWALO NA LIWE"..
 
Inatupasa kumuombea mabaya zaidi Dk Ulimboka kwani hata tukimuombea apone hana msaada wowote na maisha ya wagonjwa maskini katika nchi hii
 
Hakuna umuhimu wowote wakumuombea
Mtu asiyemuogopa mungu anacha maskini na
Wanyonge wakifa kwa sababu za siasa ifike
Wakati tufanye kazi ya mungu
 
Back
Top Bottom