The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Iyo ilikuwa police drill
Ugali, dagaa na nyama choma na maziwa mgando, sasa wasukuma mkitaniwa mnanuna sasa ndio nn hiko??
Ulitaka wafanyeje?Walikua wanamtafuta mtu fulani kwenye basi ila wameambia aina ya begi begi alio beba, hawamjui jina au sura yake, police wetu ni fake kwa asilimia kubwa hawana ujuzi wa kutosha kusaka wahalifu, wanapata taarifa nusu isiojitoshereza kukamata mtu ndo wanatesa watu wengine.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐Ndio maana msukuma akijamba mahali..utadhani limzoga limekufa.
nazani walipewa jina na mhusika, ndio maana walianza kwa kila mtu ajitambulushe kwa kutoaMkuuu kumbuka kwamba kwenye Stendi zetu kuna mizigo/mabegi yanapakiwa kutoka Mkoa hadi Mkoa pasipo mmiliki kusafiri bali kituo cha mwisho pia mpokeaji anakuwa keshapangwa. Mara nyingi njia uliyotaja Tatime Mwanza mabegi hayo hubeba Bangi, Mirungi na Bidhaa za Magendo. Vyombo vya Usalama kupitia Intelejensia yao mara nyingi husaidia kuvuruga mipango hiyo. Hivyo hicho kilichotokea si jambo la ajabu ndio maana umeona kimia lkn kama walilenga kupata suluhu walitakiwa kufanya escott ya ule mzigo ili mpokeaji atiwe nguvuni. Kwa walichofanya wamekosea kazi, over!
Wangeingia kiraia na kuunga safari, huku wakiangalia kila mtu anayeshuka amebeba begi lipi..atakayeshuka na begi wanalolishuku, anageuzwa kisusio.Walikua wanamtafuta mtu fulani kwenye basi ila wameambia aina ya begi begi alio beba, hawamjui jina au sura yake, police wetu ni fake kwa asilimia kubwa hawana ujuzi wa kutosha kusaka wahalifu, wanapata taarifa nusu isiojitoshereza kukamata mtu ndo wanatesa watu wengine.