Mkasa nilioshuhudia nikiwa ndani ya basi ambao ulihusisha Wana Usalama nikiwa njiani kuelekea Jijini Mwanza

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,226
2,000
Walikua wanamtafuta mtu fulani kwenye basi ila wameambia aina ya begi begi alio beba, hawamjui jina au sura yake, police wetu ni fake kwa asilimia kubwa hawana ujuzi wa kutosha kusaka wahalifu, wanapata taarifa nusu isiojitoshereza kukamata mtu ndo wanatesa watu wengine.
Ulitaka wafanyeje?
 

Bzimana

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
499
250
Mkuuu kumbuka kwamba kwenye Stendi zetu kuna mizigo/mabegi yanapakiwa kutoka Mkoa hadi Mkoa pasipo mmiliki kusafiri bali kituo cha mwisho pia mpokeaji anakuwa keshapangwa. Mara nyingi njia uliyotaja Tatime Mwanza mabegi hayo hubeba Bangi, Mirungi na Bidhaa za Magendo. Vyombo vya Usalama kupitia Intelejensia yao mara nyingi husaidia kuvuruga mipango hiyo. Hivyo hicho kilichotokea si jambo la ajabu ndio maana umeona kimia lkn kama walilenga kupata suluhu walitakiwa kufanya escott ya ule mzigo ili mpokeaji atiwe nguvuni. Kwa walichofanya wamekosea kazi, over!
nazani walipewa jina na mhusika, ndio maana walianza kwa kila mtu ajitambulushe kwa kutoa
kitambulisho chake
 

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,465
2,000
Walikua wanamtafuta mtu fulani kwenye basi ila wameambia aina ya begi begi alio beba, hawamjui jina au sura yake, police wetu ni fake kwa asilimia kubwa hawana ujuzi wa kutosha kusaka wahalifu, wanapata taarifa nusu isiojitoshereza kukamata mtu ndo wanatesa watu wengine.
Wangeingia kiraia na kuunga safari, huku wakiangalia kila mtu anayeshuka amebeba begi lipi..atakayeshuka na begi wanalolishuku, anageuzwa kisusio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom