Mkasa gani ambao hautousahau katika maisha yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkasa gani ambao hautousahau katika maisha yako?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Nov 6, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bila shaka sote tuna mambo ambayo ni kumbukumbu katika maisha yetu iwe ni mkasa wa kufurahisha u kuhuzunisha au ubaya au wema uliotendewa na mtu. je wewe ni mjkasa gani, kisa kilichokupata ambacho licha ya kupita miaka mingi hujakisahu mpaka leo? au wema na ubaya gani uliotendewa ambao ungali unagonga kichwani kila unapoukumbuka? mchango wenu waungwana wa JF
   
Loading...