Mkapa signed bad mining deals, Magufuli wants to bury them, but legally he can’t

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
Mkapa signed bad mining deals, Magufuli wants to bury them, but legally he can’t

Jenerali+Ulimwengu.jpg


By Jenerali Ulimwengu
THE EAST AFRICAN
In Summary
    • When the case goes to international arbitration, Tanzania may find itself made to meet its part of the bargain entered into back during Mr Mkapa’s rule, and that could mean hefty payments out of the country

President John Pombe Magufuli has just got himself a brand-new Chief Inspector of Police. The new top cop goes by the name of Simon Sirro, and he takes over from a Jakaya Kikwete appointee, Ernest Mangu, who, we are told, “will be assigned new duties.”

It is normal in our kind of dispensation for every incoming president to pick his own police chief, as if each president has a personal agenda and needs persons he agrees with on a personal level to assist him in delivering that agenda.

That, however, is only one of the reasons that probably made Magufuli pick a new chief. There has developed, over the past year or so, a disquieting security situation in a couple of districts to the south of Dar es Salaam, where unidentified gunmen have been killing local officials, including policemen and ruling party officials. Police posts and motor vehicles have been targeted, as well as CCM officials’ houses.

Hardly 200 kilometres from Dar es Salaam, these areas simply do not answer to the remoteness one usually associates with a low-level insurgency in any country, but the government has looked clueless so far. The Home Affairs minister, after a long silence, appeared on television and mumbled something about there being “some kind of game” being played out in the area.

In the absence of solid information, rumour has filled the vacuum. Some say the attacks are fuelled by injustices committed by officials engaged in cut-throat competition (with locals) for natural resources in a badly governed boondocks. Some attribute them to political tensions, though this seems farfetched.

Whatever the cause of this spate of killings, the new IGP’s work is cut out for him and he will be under pressure to show results.

Taken for a ride

At the same time, President Magufuli has sacked the minister responsible for mining amid a brouhaha concerning the alleged under-declaration of gold exports as well as the copper and other concentrates in the gold sands sent out of the country for smelting.

Magufuli’s take is that Tanzania has been taken for a ride for far too long.

A prominent lawyer, Tundu Lissu, has been arguing that the government should not be crying foul over matters that it was warned against right from the late 1990s, when Lissu was an environmental lawyer campaigning against the mining regimes in place at the time and the contracts that the government, then under president Benjamin Mkapa, was entering into with international mining conglomerates.

Lissu insists that Magufuli was an integral part of the government and he cannot therefore pretend to know nothing of what was signed onto.

He counsels that a proper way of getting out of the hole the government has dug itself into, would be to take legal steps to end the obligations incurred back then and enter into fresh contractual arrangements more fair to the government and the people of Tanzania.

It is hard to see Magufuli listening to this advice, so gung-ho is he about ending what he sees as blatant theft. But when the case goes to international arbitration, Tanzania may find itself made to meet its part of the bargain entered into back during Mr Mkapa’s rule, and that could mean hefty payments out of the country.

Play by the rules

Already, Tanzania is facing demands of over $550 million from Symbion, an American power company, for breach of contract by national power utility Tanesco.
Such demands could come thick and fast unless the government learns to play by the rules and to accept as its own obligations commitments made by its predecessors.


How beautiful it would be if Tanzania could throw caution to the wind, thump its chest and tell the donor states to go play with themselves. Alas, we are not there yet, and it does not look like we are headed that way any time soon.

Though in my soul of souls I know that we do not need to behave like beggars, with all the resources at our disposal, yet that is what our rulers have made us – beggars.

Every time some donor goes to Ikulu to tell the president that that other tranche of funds that was momentarily withheld is now available, I note the glee on the president’s face. Then I know he is desperately eager to lay his hands on that money.
 
Jenerali Ulimwengu hilo sisi wala Rais Magufuli halitutishi kabisa.Serikali inajua kabisa Kuna mikataba mibovu kuhusu madini.

Lakini Pamoja na mikataba mibovu Rais Magufuli hakubali watu na wawekezi kutumia mwanya huo kutuibia Sasa hata pale ambako walitakiwa kutenda haki.

Wawekezaji wache waende tu ktk mahakama za kimataifa kwa Rais Magufuli sio issues kwake kabisa.
 
Jenerali Ulimwengu hilo sisi wala Rais Magufuli halitutishi kabisa.Serikali unajua kabisa Kuna mikataba mibovu kuhusu madini.

Lakini Pamoja na mikataba mibovu Rais Magufuli hakubali watu na wawekezi kutumia mwanya huo kutuibia Sasa hata pale ambako walitakiwa kutenda haki.

Wawekazi wache waende tu ktk mahakama za kimataifa kwa Rais Magufuli sio issues kwake kabisa.
Symbion inawahenyesha hapo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nchi hii mtu akiwa honest na kuelezea uhalisia wanatokea wapuuzi watamwita sio mzalendo!!! Hawa wanadhani uzalendo ni kuunga mkono kila kinachotoka serikalini hata kama ni cha kijinga!!!

Mbaya zaidi ni kama hawafahamu uzalendo ni nini hasa!!! Hawa wanadhani uzalendo ni kuwa loyal kwa serikali kumbe uzalendo ni kuwa loyal kwa nchi.

Kama mtu anaamini serikali iliyopo itaiingiza nchi shimoni basi mzalendo wa kweli ni yule atakayepambana na serikali for the sake of the country!

Mzalendo ni yule ambae, kama ni mwanasiasa, basi yupo tayari hata kufukuzwa uanachama wa chama chake for the sake of the country!!!!

Kinyume cha hapo, hawa wanaojifanya wazalendo wakati kimsingi ni watetezi wa chama na serikali majority ni waganga njaa tu!!

Mbaya zaidi, wengine ndo maju'ha zaidi manake hawa utakuta si loyal kwa chama tawala wala kwa serikali bali ni loyal kwa mtu au watu simply because top leaders ni watu wa kwao... tena kwao yenyewe ni kwavile tu wanatoka mkoa mmoja!!!
 
Jenerali Ulimwengu hilo sisi wala Rais Magufuli halitutishi kabisa.Serikali unajua kabisa Kuna mikataba mibovu kuhusu madini.

Lakini Pamoja na mikataba mibovu Rais Magufuli hakubali watu na wawekezi kutumia mwanya huo kutuibia Sasa hata pale ambako walitakiwa kutenda haki.

Wawekazi wache waende tu ktk mahakama za kimataifa kwa Rais Magufuli sio issues kwake kabisa.
Umemuelewa?! The problem nyie watu ama huwa hamuelewi watu wanaongea nini au mnajifanya hamuelewi!! Rudia kusoma hapa:
Hoja ya wale mnaowaona wanatetea wezi ipo hapa!!!

Kwa mfano, mkataba wa Acacia unawapa haki ya kusafirisha makinikia.

Taasisi za serikali ndizo zilibariki viwango vya madini mbalimbali yaliyomo kwenye makinikia!

Aidha, ni taasisi hizo hizo za serikali ndizo hukagua na kusema "everything is fine."

Hapo ndipo ina-cover Ulimwengu aliposema "....to accept as its own obligations commitments made by its predecessors."

Kama ndivyo, ili kuwabana hawa jamaa JPM alitakiwa ku-play by the rules ili wasiwe na pa kutokea!!!

Kwa mfano, Acacia wanadai hawakushirikishwa kwenye kupima zile mineral compositions. Sasa kama ni kweli hawakushirikishwa, unafikiri ni mahakama gani inaweza kukubali utafiti uliofanywa na upande mmoja?!

Hivi kulikuwa na taabu gani kuwashirikisha Acacia kwenye kila hatua hususani zile za kuchukua samples na kuzipima?! Hivi unadhani kama Acacia wangeshirikishwa kwenye uchukuaji wa samples na kwenda kuzipima hadi kutoka kwa results leo hii wangekuwa na pa kutokea?!

Kama ingefanyika hivyo ingeonekana ni Acacia ndio waliovunja makubaliano kwa kudai makanikia yana kiwango X cha madini wakati kumbe kuna X+n!!! Kinyume chake, leo hii Acacia ana kila sababu na haki ya kuikataa ripoti kama kweli hawwakushirikishwa!

PLAYING BY THE RULES!!!!
 
Hili swala la madinj ni very complex na nampongeza Magufuli regardless ya contracts anajitahidi kutafuta njia ku work against them. So far mtu anaweza sema kavunka contract lakini si kweli, contract hairihusu mtu akuibie akupe data mbaya, na report ya pili ikija sawa na ya kwanza jamaa wataumia sana maana assumption itakua si mara ya kwanza bali walikua wanafanya hivyo kila siku.

Kila kampuni ina machafu yake, kama umebanwa na mikataba unatafuta machafu yao unaanza kuwapigia hapo. Magu namuelewa kwa mambo mengi, shida yangu na yeye ni Bashite tu.
 
Kwa nn maeneo yenye madini kuna uwanja wa ndege, hiyo ni ishu, kwa nn mwarabu wa longindo naye ana uwanja wa ndege? Hiyo ni Ishu
 
Marekebisho.;
Hatuibiwi..Bali tunapunjwaa...
tusipotoshane hapaa...
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Back
Top Bottom