kaona dawa ni ku2jengea barabara...ambazo nyingi ni mbovuMtu aliyeimaliza na kuliangamiza kabisa taifa hili ni Jakaya Mrisho Kikwete. Hakuna mwingine zaidi yake. Historia itamhukumu kwa hili.
Kuuza kwa bei ya kutupa migodi, bandari, mashirika ya uma, viwanda etc ....kuingia mikataba na wachina ni kama ameimalizia nchi . Sasa kamfanya kikwete awe ombaomba
Anyway, many Tanzanians are not able to analyse things critically. The just blabber! They will say this and that but if you ask them the reason behind their saying they will just have a gaze at you! I think we have a long way to go!!!
Kuuza kwa bei ya kutupa migodi, bandari, mashirika ya uma, viwanda etc ....kuingia mikataba na wachina ni kama ameimalizia nchi . Sasa kamfanya kikwete awe ombaomba
Sasa kikwete angefanyaje . Kakuta kila kimeuzwa. Hadi posta na simu. Nyumba za oysterbay. Watu walichukua hela bot EPA . Watu watamuhukumu kikwete bure. Ndio maana kaamua kuwa mzururaji
Hivi huyu omba omba alikuta shilingi ngapi hazina?