MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Kuuza kwa bei ya kutupa migodi, bandari, mashirika ya uma, viwanda etc ....kuingia mikataba na wachina ni kama ameimalizia nchi . Sasa kamfanya kikwete awe ombaomba
 
Mtu aliyeimaliza na kuliangamiza kabisa taifa hili ni Jakaya Mrisho Kikwete. Hakuna mwingine zaidi yake. Historia itamhukumu kwa hili.
 
Benjamin William Mkapa na uongozi wake wote aliokuwa nao + Mrisho Jakaya Kikwete na uongozi wake wote alionao mpaka saa hakika nawaambia ya kwamba labda uongozi usibadike maana kuna mengi ya kujibu kwa Watanzania!

Siku zenu zinahesabika!
 
Kuuza kwa bei ya kutupa migodi, bandari, mashirika ya uma, viwanda etc ....kuingia mikataba na wachina ni kama ameimalizia nchi . Sasa kamfanya kikwete awe ombaomba

Bahati mbaya sana ni kwamba Mkapa aliimaliza Tz na akajimaliza mwenyewe. Anaishi kama bundi kutokana na ufisadi wake na mkewe wa Kiwila, EPA na NBC ukiachia mbali Net Group Solution iliyoletwa na shemeji zake. Hajawahi kutokea rais mjinga na kipofu kama Mkapa. Ni bahati mbaya kuwa tangu alipoondoka Kambarage waliofuatia wote hawakuwa na lolote la kulifanyia taifa bali kulichuuza kwa faida zao binafsi.
 
wa asisi wa mataifa ya africa waliwafukuza wazungu kwamba ni wakoloni kizazi chetu kinasema warudi hawakuwa wakoloni ni wawekezaji wakati sasa hivi wanapola ile mbaya afadhari wakti wa ukoloni walitujengea reli shule etc sasa hivi wanabeba mpaka udongo twiga etc
 
Anyway, many Tanzanians are not able to analyse things critically. The just blabber! They will say this and that but if you ask them the reason behind their saying they will just have a gaze at you! I think we have a long way to go!!!
 
Sasa kikwete angefanyaje . Kakuta kila kimeuzwa. Hadi posta na simu. Nyumba za oysterbay. Watu walichukua hela bot EPA . Watu watamuhukumu kikwete bure. Ndio maana kaamua kuwa mzururaji
 
Issue hapo sasa kwakua yameshatokea tujadili tunafanyaje tujenge jamii mpya?kwangu naona ndo suala la msingi tusiangalie tulipoangukia tuangalie tulipojikwaa
 
Anyway, many Tanzanians are not able to analyse things critically. The just blabber! They will say this and that but if you ask them the reason behind their saying they will just have a gaze at you! I think we have a long way to go!!!

Kwani ungeandika kisw ucngeeleweka?
 
Eti ni kweli Ali Hassan Mwinyi na Family waliuza madawa ya kulevya? nini alikikamata Mrema juu yao?
 
Sasa kikwete angefanyaje . Kakuta kila kimeuzwa. Hadi posta na simu. Nyumba za oysterbay. Watu walichukua hela bot EPA . Watu watamuhukumu kikwete bure. Ndio maana kaamua kuwa mzururaji

Uchumi wa nchi ni zaidi ya nyumba za NHC na posta na simu. Hii inazidi kuthibitisha kuwa jamaa ni dhaifu sana. Wewe unauliza angefanyeje mtu aliyekabidhiwa mamlaka ya kuipigania nchi? Kweli Tanzania hakuna rais wala raia!
 
Hivi huyu omba omba alikuta shilingi ngapi hazina?

Alikuta za kutosha

Akaanzisha mamilioni ya kikwete, kawagawia nyumba ndogo mpaka leo hatujui vema zimetokomeza vipi umasikini

akaanzisha na mkakati wa benki ya wanawake nk

Isitoshe kwa sabab mambo yalikuwa yamedhibitiwa, mfumko wa bei ulikuwa umedhitiwa kisawasawa lakini mweee alipomaliza miaka miwili tu wee

Hazina nyeuupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngoja wakishuka kutoka ikulu fedha na nafasi za kuwagawia akina mamdogo vick kamata tutawahoji tu.
 
Hivi huyu omba omba alikuta shilingi ngapi hazina?

Ni kweli kabisa yeye ndiye alieimaliza Tanzania, Alifanikiwa kukusanya kodi kwa wingi na akazihamishia kwake na rafiki zake. Wanaomlaumu Kikwete hawaangalii mambo kwa mapana yake!!!
 
Sasa kikwete angefanyaje . Kakuta kila kimeuzwa. Hadi posta na simu. Nyumba za oysterbay. Watu walichukua hela bot EPA . Watu watamuhukumu kikwete bure. Ndio maana kaamua kuwa mzururaji

Angefanya alivofanya Baba wa taifa Mwl Julius kambalage nyerere kwa waingereza, Yeye si ndo alif na omega au sio mkuu

angepora kila mali ya watanzania iloibwa na mafisadi na kuwasukumiza ndani au kunyonga kabisa, wengi wamekufa kwa kukosa

huduma bora kwa ufisadi. Anawajuwa tena na mengine isijekuwa ni part and parcel, Rada, Richmond, IPTL, EPA, Huko Uswis,

Kiwira, akina mramba, Yona na Mgonja nk, nk, nk.......

Ndo maamuzi magumu, sio kupiga suti na kupaa angani kila siku kana kwamba anamkataba na NASA au mawingu.
 
mi katika marais wa pili kumkubali tz ni mkapa hasa ubabe wake,ila huyu mzururaj matatzo meng had keroooooo
 
kuna mengi sana yamejificha nyuma ya Jina kada wa chama cha mapinduzi na Uccm wao wameifilisi sana nchi hii sasa

wanalazimisha kubakia madarakani kujistiri haijalishi, upo mwaka watadondoka, ndipo hata familia zao italazimu kafilisiwa.
 
Back
Top Bottom