Mkapa na Kikwete wangeweza badili katiba na kujiongezea muda kutawala lakini waliheshimu katika. Wabunge wa CCM acheni kutuchefua

Mzinza wa town

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
347
368
Kumekuwa na baadhi ya wabunge wamekuwa wakitoa hoja ya Raisi kuongezewa muda. This is crazy! For what special Magufuli regime can do that wouldn't be done in next regimes? Kwani hakukuwa na watu waliotaka Mkapa au Kikwete aongezewe muda?
Jamani wabunge wa CCM msiendelee kutuudhi.
PAYE 19+%,
Loan board 15%,
Vikokotoo,
Etc.
Jamani oneni aibu basi
 
Yaani yule mzee na litumbo lake kama simtank anaropoka tu mle ndani kanitibua yule kipipa mpuuzi mmoja yule ......eti jiwe aongoze mpaka 2030 !!! Bure kabisa wazee wengine kwa kipi hasa anachokifanya jiwe mpaka aongezewe muda!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlichogundua baadhi ya wabunge wa ccm n empty mind na ushawish kwa wananchi wao hawana tena xo wana mplease rais kwa sifa ambazo nyingie nmeona n za kumkufuru Mungu,kwel mtu ukikosa kitu kichwan huwa unaupa unafik nafac kubwa kukutawala kuliko akili
 
Kuna RC mmoja huko bara anamtaka Mungu wake ashuke amshukuru Magu kwa kuwa anafanya kazi nzuri sana.

Hivyo anahisi Magu yupo juu ya Mungu kwa sasa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom