Elections 2010 Mkapa, Mwinyi wako Zanzibar -- UCHAKACHUAJI HUOOOOO!!!

Status
Not open for further replies.

werawera

Senior Member
Oct 5, 2010
138
40
wanaenda zanzibar kufanya nini kama si kuleta vurumai. jamani amani inataka kutoweka. Uwiiiii Uwiiiii. Tupige mayowe mpaka mafisadi tuwatoe.
 
Tupatie source ya hizo information km kweli wameenda huko. lakini si waliyataka wenyewe sasa nini tena?
 
Mzalendo . net wameripoti kuwa hawa jamaa wameingia jana usiku sijui wameenda kufanya nini huko?
 
Hivi wanafuata nini??????????????????? maana hata jk yupo Mwanza kaingia kisirisiri usiku!!!!!!! Hawaoni hata hayaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mfa maji haishi kutapatapa.... naona wanahangaika kutaka kuiokoa ccm ambayo wameichimbia kaburi wenyewe
 
Wao waheshimu sauti za wananchi, na si mslahi yao!!!

Chupi hazitoshi eeh!!!
 
kwa nini matokeo yanacheleweshwa kutolewa wanataka leta vurugu jamani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom