Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 70,724
- 103,612
Hujanieleza kwa nini unafikiri nina matatizo ya uelewa au ni mbishi tu bila sababu.Asante kwa PDF nitapata kitu cha kusoma.
Mkuu naona kama unamatatizo ya uelewa au umeamua kuwa mbishi tu bila sababu. Maneno mawaili hapa ni muhimu na yanaweza kutuongoza.- UAFRIKA na UMAGHARIBI.
Kwa maoni yangu Uafrika ni kabla ya muingiliano wetu na WAMAGHARIBI. Kama unakubaliana nami basi toka mwarabu aje hapa tukaanza kupoteza uafrika wetu.
Kabla ya kunieleza hilo, ukarukia mambo ya Uafrika na Umagharibi, ambayo mimi sijayataja.
Magharibi ya wapi? Kigoma ni Magharibi ya Dar. Morocco ni Magharibi ya Masr.
Sasa, hapa ni mimi nina matatizo ya kuelea au wewe ndiye unayerukaruka all over the place kwa namna ambayo hata mtu kukuelewa inakuwa kazi?
Umekubali kwamba tangu mkoloni aondoke Tanganyika hatujawahi kuwa na inclusion wala tolerance, bila kujali magharibi wala mashariki?