Mkapa, Kikwete, Salim, Warioba, Spika na Naibu wala kiongozi wa kimataifa hakuwepo!

Nchi huwa zinatumia sherehe hizi kimkakati kwa maana ya kutumia fursa 1.Kiuchumi, 2.Kipropaganda 3.Kidiplomasia ....
 
Hii imekaaje? wastaafu wa ndani hawapo!

wa nje hawajaja
Tumetengwa au tumejitenga kisa uchoyo tu eti wakija kwetu watakunywa soda kwenye dhifa
Hata wakikaa majumbani watashuhudia..kama wangetaka kuja wangekuja kwa gharama zao..maana kumbuja kuna gharama za mafuta, madereva na ulinzi..kwa kutofika hapo tumesha save a lot of money
 
Back
Top Bottom