Elections 2010 Mkapa kapaniki hadi kaimba jangwani

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Ili kuonyesha kuwa maji yamewafikia shingoni Mkapa jana ameingia kwenye fani ya wanabongofleva na kuanza kushuka mashairi,Mkapa aliyeonekana kuwa na hasira na kuongea pumba nyingi na uongo mwingi,huku akitoa data zisizo za kweli kuhusu maisha ya watanzania na kudai kuwa Kikwete ameweza kutekeleza ahadi zake zaidi ya mara tatu au nne ,akiwa anaonekana kuwa na pressure alikuwa anashangiliwa na watu waliovalisha mitshirt ya chama chao.Anafikiri kabisa kuwa watanzani ni majuha wasiojua level ya maisha yao wenyewe
ila jibu atalipata leo kwenye masanduku
 
Na alivyokuwa anaporomosha hiyo sauti nadhani wazanzibari watwaadhibu sana hawa CCM hawana aibu kweli bora huku kwetu tumeamua kumtandika viboko kwelikweli kikwete
 
anafikiri wazanzibar wameshamsahau ,pamoja na kuwa amekuja siku ya mwisho ili kuepusha maovu aliyoyafanya lakini jana ameshalibua tena ,anadhani watu hawajui maovi aliyoyafanya yeye na familia yake ikulu,sasa leo tunawaadhibu kwa sababu zamu yetu imefika
 
Mkapa ameijenga upinzani kwa hotuba yake hiyo.
Mungu anawadhalilisha
 
Ili kuonyesha kuwa maji yamewafikia shingoni Mkapa jana ameingia kwenye fani ya wanabongofleva na kuanza kushuka mashairi,Mkapa aliyeonekana kuwa na hasira na kuongea pumba nyingi na uongo mwingi,huku akitoa data zisizo za kweli kuhusu maisha ya watanzania na kudai kuwa Kikwete ameweza kutekeleza ahadi zake zaidi ya mara tatu au nne ,akiwa anaonekana kuwa na pressure alikuwa anashangiliwa na watu waliovalisha mitshirt ya chama chao.Anafikiri kabisa kuwa watanzani ni majuha wasiojua level ya maisha yao wenyewe
ila jibu atalipata leo kwenye masanduku

Achana naye huyo kokoto
 
Back
Top Bottom