figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa amesema kuna umuhimu wa kuimarisha uhusiano kati ya Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Afrika ili kutatua migogoro iliyopo.
Rais mstaafu Mkapa ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati wa majumuisho ya kongamano la kikanda la viongozi wastaafu wa Afrika kuhusu nafasi ya Afrika katika mfumo wa amani na usalama ulimwenguni.