Mkapa Appointed as a New Member of International Crisis Group

nabii hakubaliki kwao hata cku moja, uyu mzee kwa kweli ni kichwa, na jinsi siku zinavyonda tutamkumbuka sana hasa tutapokua tukimlinganisha na uyu mzaramo!
 
Hizi habari za Mama Anna kumharibia Ben si za kweli hata kidogo.Kati ya watu wenye ma argument bongo, watu wenye ushawishi Ben Mkapa ni mmoja wapo.The man has been an Editor of the Daily News for aeons, hata kabla hajaenda foreign kina Kaduma walivyokuwa wanachemsha kwenye mazungumzo na ma Henry Kissinger huko Mkapa ndiye alikuwa anaenda ku save the day, this is way back in the late sixties and early seventies, baadaye Nyerere akamtupa balozini na halafu Foreign.

Mkapa kaenda kwenye mkutano wa Commonwealth wakati wazungu wamempigia kampeni ya kumsuta Mugabe, akawageuzia kibao wazungu na kuwasema kisawasawa, kwa usomi wa hali ya juu, akamtetea Mugabe, na si hivyo tu, baada ya hapo mpaka Tony Blair akamuomba aje kufanya kazi naye.Huyu si mtu wa kuendeshwa endeshwa na mke wake kirahisi.

Matatizo aliyojikuta nayo Mkapa yote aliyataka mwenyewe.Hizi habari za kumtupia Mama Anna lawama zinaturudisha kule kule kwenye mfumodume unaosema mwanamke ndiye chanzo cha matatizo, na Adam alifanya dhambi ya asili kwa sababu ya Eva.

Hogwash.Mkapa alijua kila kitu alichofanya na alitaka kufanya hivyo.Mama Anna, kwa watu wanaoijua familia ya Mkapa on a personal level kama mimi, wanajua kwamba hakuwa na uwezo wa kumu influence Ben Mkapa hivyo.

Majumba aliojibinafsishia huyu mama ni kwa ridhaa ya nani? ANBEN ilianzaje? Mkapa angeendelea kuwa mzuri tu kama taasisi yake ya URAIS isingeondokewa na Mwalimu.
 
Mkapa will reamain a "kapa" to me, no mtter what. Jitu jizi, korofi. jeuri na zaidi ya yote msaliti wa nchi. Intellectual? Wanaomwita na kumpa mivyeo hiyo ni wale waliovuna madini yetu wakati wake. Atakula gereza one day mambo yakikaa sawa
 
Back
Top Bottom