Mkapa angewafaa zaidi Waislam Kuliko Kikwete

Status
Not open for further replies.
Siku zote nasikia swala la Wakristo na Waaslam katika nafasi serikalini. Hapa kinachoangaliwa ni viongozi wenye majina ya Kiislamu au majina ya Kikristo lakini sio Waislam wala Wakristo. Wengi wangekuwa wana hizo dini basi maovu yote ya ufisadi n.k yasingelitokea. Tuwaulize Masheikh, Waislam ni watu wa namna gani??? Wenye majina ya Kiislamu ni wengi kuliko Waislam.!!!!!!!!!
 
Ni kweli waislam tuko nyuma lakini tafuta sababu za kweli za Waislamu kuwa nyuma na wala si propaganda zilizoandikwa. Historia ya nchi imepotoshwa makusudi, sisi ndio wavaa viatu na ndio tuaoyajua maumivu yake. Usiamshe yaliyolala! Rejea kitabu " Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom