mkapa aliwezaje?

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
wana jf wenzangu ningependa tuchangie kipindi cha mkapa aliweza kudhibiti mfumuko wa bei ,shilingi ilikuwa strong dhidi ya dola na nchi haikuwa na misukosuko mengi kama kugoma goma ovyo kwa wtumishi wa sekta za uma na binafsi na maandamano isiyo na mikomo mbona hali sasa siyo shwari kulikoni kwa nini asisaidie hata kwa ushauri tu je waliyounda serikali yake si wapo na wanauzoefu tu au wanapenda kuona kikwete kufeli kwenye uongozi
 
Jamaa sio creative, ni rigid,
anachagua watu na kuwafanya mapazia tu (wazuri anawaweka kimitego zaidi)
yuko so weak,
anachagua watu kwa kujihami (anaangalia maslahi ya familia zaidi)
 
wana jf wenzangu ningependa tuchangie kipindi cha mkapa aliweza kudhibiti mfumuko wa bei ,shilingi ilikuwa strong dhidi ya dola na nchi haikuwa na misukosuko mengi kama kugoma goma ovyo kwa wtumishi wa sekta za uma na binafsi na maandamano isiyo na mikomo mbona hali sasa siyo shwari kulikoni kwa nini asisaidie hata kwa ushauri tu je waliyounda serikali yake si wapo na wanauzoefu tu au wanapenda kuona kikwete kufeli kwenye uongozi
Mkapa knew what he was doing esp. during the 1st term, though he was also a fisadi just like any other fisadi. This JK guy doesn't have a clue on anything. As long as he can fly to the foreign countries every week, he's satisfied!
 
wana jf wenzangu ningependa tuchangie kipindi cha mkapa aliweza kudhibiti mfumuko wa bei ,shilingi ilikuwa strong dhidi ya dola na nchi haikuwa na misukosuko mengi kama kugoma goma ovyo kwa wtumishi wa sekta za uma na binafsi na maandamano isiyo na mikomo mbona hali sasa siyo shwari kulikoni kwa nini asisaidie hata kwa ushauri tu je waliyounda serikali yake si wapo na wanauzoefu tu au wanapenda kuona kikwete kufeli kwenye uongozi
JK hakuwa na mikakati yoyote zaidi ya kujenga mtandao wa kumwingiza Ikulu! Only that!
 
Mkapa na Ukapa.
Mkapa ni kichwa: Just imagine:
1. Daraja la Mkapa,
2. Uwanja wa Taifa,
3. Barabara mbalimbali,
4. Mpango wa MMES/MMEM/TASAF,
5. Kuundwa kwa TRA, makusanyo ya kodi yalipaa,
6. Kushusha mfumko wa bei toka 14% hadi 4%,
7. Kujengwa kwa UDOM,
8. nk.
 
Anayataka mwenyewe, wakati anaingia madarakani si alisema "Urais wangu si waubia" maana yake kuwapiga vidongo marais wastaafu ili wasimwingilie katika maamuzi. Sasa asaidiwe nini?
Sijui huyu jamaa akiondoka ataacha sifa gani?
 
Back
Top Bottom