Na mimi naomba Phd yangu maana nimelipa ada na huyu Fisadi Kikwete amelipa wapi ada? au ndio ufisadi umeshaanza Udom? Phd ya nini sasa amepewa huyo Kikwete? amefanya kitu gani cha maana katika hili Taifa la Tanzania? au kuchakachua? Na mbona Fisadi Mkapa anazidi kunenepa kama pipa? Kama ingekuwa binaadamu anachinjwa kwenye X-mass basi Mkapa asingebaki maana amenona
kuna wanasiasa wengi au viongozi wengi wanaitwa dr. Eti wamepata shahada za ma dr.
Hawa watu utawakuta mawaziri na kupewa vyeo vikubwakubwa lakini huu udokta wau hawawezi hata kufanyia uperesheni ya panya.
1. Sasa mie nataka kujua kikwete alisomea nini hata apewe shahada?
2. Ni shule gani ambao mkapa alimsomesha sababu najua anayesoma ndio akimaliza kuhitimu ndio anapewa shahada, sasa hapa vipi?
3. Na haya maguo yapo ikulu au kwenye nyumba ya mkapa?
4.serikalini kuna ma dr. Tele
dr.shein na wengine lakini huu udr. Wao mbona hawajui hata kutengeneza dawa za mtu au malaria?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.