Mkanganyiko wa maneno ktk matumizi ya lugha ya Kiswahili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkanganyiko wa maneno ktk matumizi ya lugha ya Kiswahili.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Juma Bundala, Mar 12, 2012.

 1. J

  Juma Bundala Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ninataka kujua juu ya matumizi ya maneno haya WANGU,WAKE na ZAKE,ktk matumizi yafuatayo Mke,watoto, mme,changanyiko ni kama mke ni mmoja huwa ni mke WANGU lakini mtu akiwa na wake wawili huita WAKE ZANGU au WAKE ZAKE kama anasemewa,swali ni mtu akiwa na wanawake zaidi ya mmoja waitwe wanawake WAKE ama wanawake ZAKE? Mke mmoja sina shida
   
 2. rfjt

  rfjt Senior Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huyu ni mke wangu, yule ni mke wake.
  Hawa ni wake wangu, wale ni wake wake.
  Pengine hapo ndipo waswahili waliona utata na kuamua kubadili neno 'wake' kuwa 'zake'.
   
 3. J

  Juma Bundala Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nashukru kwa mchango wako,lakini ili maneno haya yatumike kwa usahihi tufanyeje?
   
Loading...