Mkanganyiko ujazaji fomu za mkopo

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
kumekuwepo na mkanganyiko juu ya wino gani(kalamu gani/bluu au nyeusi) inayotumika katika kujaza fomu ya mkopo baada ya kuprint. Msaada jamani kwa anayefahamu kwani wengine wanasema black pen ndo official ktk ujazaji fomu yeyote!
 
Kawaida 'angu huwa natumia red pen, ukiizoea haina madhara.

kawaida katika nyaraka za serikali huwezi tumia kalamu nyekundu - sijui huenda utaratibu umebadilika maana TZ chochote kinawezekana. Nijuavyo Red ni ya Rais, Green ya Auditors na nyeusi na blue matumizi mengine.
 
inawezekana!
 
Tumia nyeus au hata bluu kwa hzi za online kuanzia 2010 kushuka ndo nyeus tu kama walivyoelekeza mm niljazia bluu na mambo yakaenda kama dawa hz hazna mashart
 
kuna jamaa kanambia nyeusi inatumika sehemu ya hakimu/wakili, je kuna ukwel wowote?
 
vile vile kumbukeni mnaposaini kuweka sahihi za kawaida na siyo michorongo, au siyo wadau?
 
Kuhusu kalamu unaweza kutumia blue au Nyeusi na pia kwenye kuweka saini hakuna masharti yeyote unaweza kuandika kawaida au kwa kuchoraa..
 
Kuhusu kalamu unaweza kutumia blue au Nyeusi na pia kwenye kuweka saini hakuna masharti yeyote unaweza kuandika kawaida au kwa kuchoraa..

ngoja tujaribu kuchoronga misahihi labda tutapata 100%
 
Wewe tumia kalamu nyeusi.Hata kwenye maelekezo wameandika fomu hii ijazwe kwa kalamu ya wino mweusi.

Hiyo ni miaka ya nyuma, sas hivi haina masharti ya wino mweusi, black na blue zote sawa tu kwa maana most info wanakuwa washazijaza kwenye computer isipokuwa sehem chache za kusign na kuandika tarehe!
Pia fomu za siku hizi hakuna maelezo yanayosema ijazwe kwa wino mweusi!
 
kawaida katika nyaraka za serikali huwezi tumia kalamu nyekundu - sijui huenda utaratibu umebadilika maana TZ chochote kinawezekana. Nijuavyo Red ni ya Rais, Green ya Auditors na nyeusi na blue matumizi mengine.

hee kwa hiyo cku hz walimu nao n marais??
 
Back
Top Bottom