kimbweta cha udsm
Member
- Nov 9, 2014
- 35
- 2
Habari wana Jf.. kuna matangazo mawili yanasambaa mtandaoni Kuhusiana na ajira za ualimu liposuction linatoa ruhusa kwa mwalimu mwenye bachelor kuomba nafasi shule ya msingi na lingine limeondoa hicho kipengele kitu ambacho kinaleta wasi wasi kwa waombaji kuhofia kuomba sehemu isiyokua yao hususani wa masomo ya Sanaa... msaada kwa anae fahamu ahsanteni kwa kuchukua muda wako na kusoma nawasilisha