Mkandarasi mdogo Mbeya ajinyonga kwa kuzungushwa malipo TANROADS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkandarasi mdogo Mbeya ajinyonga kwa kuzungushwa malipo TANROADS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masopakyindi, Oct 19, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,902
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Mkandarasi mdogo hapo mkoani Mbeya alipewa kazi za "Emergency" ambazo kwa kawaida indaiwa kutolewa kwa kauli, kwa sababu ya unyeti na uharaka.

  Mkandarasi huyo alifanya kazi hiyo na kuimaliza kitambo.
  Katika kuitekeleza kazi hiyo inadaiwa ilibidi akope toka kwa wafadhili wake.

  Kutokana na kudaiwa sana na wafadhili wake na yeye kudai TANROADS MBEYA bila mafanikio ndipo jana Mkandarasi huyo alijinyonga.

  Sina jina kamili la Mkandarsi huyo lakini nimepata jina la Mwakyusa, na anazikwa leo 19/10/2012.

  Habari zaidi nita update.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuuuh inasikitisha sana hali kama ndiyo hiyo aiseeeeee. Pamoja na hayo hakutakiwa kujinyonga.
   
 3. k

  katalina JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli hiyo ndo sababu imemfanya ajinyonge huyo ni MKANDARASI MJINGA, alisoma lakini hakuelimika.
   
 4. S

  SN.BARRY JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Roho ya mauti ikikufuatilia hata kama umeelimika kiasi gani itakupata tu, cha msingi ni kusimama imara na bwana(yesu)
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Duh! Ama kweli inasikitisha!

  Serikali inadaiwa na walioko hawajinyongi!
  MUNGU msamehe maana hakujua atendalo!
   
 6. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sio kila mkandarasi ni msomi, wakandarasi ni wafanyabiashara km walivo wafanya biashara wengine ambao wapo waliosoma na ambao hawajsoma.
   
 7. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hii tasisi haiaminiki siku hizi....ni matapeli sana.
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Dah!
  Stress ni jambo baya sana.
   
 9. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jaman wafiwa polen.ila hakutakiwa kujinyonga
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,902
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Neno linasema lia na wanaolia, omboleza na wanoomboleza.

  Ndugu yangu wewe sikia tu msiba kwa jirani, omba Mungu yasikukute.
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,902
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa toka alivyoikoroga Mrema na lzoesha rushes kiubwa kubwa za wachins sasa hivi TANROADS hakipiti kitu bila rushwa.
  Lakini hii ya Mbeya ni funga kazi.

  TANROADS WAMEUA!

  Meneja wa hapo Mbeya TANROADS ni mgeni nasikia anaitwa Nyabakari, sijui naye ameshiriki au ameingizwa mkenge wa haya mauaji.

  Hata hivyo marrhemu Mwakyusa amezikwa jioni hii huko Uyole, nje ya Jiji la Mbeya.
   
 12. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sad news,pole kwa familia
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ukandarasi ni biashara kama nyingine.usomi katika fani hiyo ya ujenzi insaidia lakini hapa TANROADS Mbeya wamefanya kitu mbaya.
  Dhula kama hizi ni kujitakia laana za wananchi sababu ya rushwa tu.
   
Loading...