Mkandarasi anayejenga barabara pale Mwenge mwambieni ajenge Usiku na Mchana

Eneo korofi kama pale mwenge mataa!
Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku?

Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku?

Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads!
Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa magari yanayokwenda njia ya ubungo ili kupunguza Msongamano wakati wa ujenzi!

Yote kwa yote Mkandarasi aongeze nguvu afanye kazi usiku na mchana with no Excuse!

Tunaomia ni sisi, Nafahamu nyie viongozi mnapita na Ving'ora!

Mungu anawaona!

Tanzania kuna mambo mengi ya kipuuzi sana!! Kutoka Kawe kwenda Ubungo lazima upite mwenge ni ujinga ilitakiwa kuwe na barabara inayotoboa kambini MLALAKUWA hadi Mlimani City sio wote wajazane MAKONGO ROAD.
 
Foleni ya Mwenge ni too much, bahati nzuri imekuja kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa mwaka na hizi sikukuu tutapumzika kidogo, hope by early January hao wachina watakuwa wamemaliza kazi yao.
 
Tanzania kuna mambo mengi ya kipuuzi sana!! Kutoka Kawe kwenda Ubungo lazima upite mwenge ni ujinga ilitakiwa kuwe na barabara inayotoboa kambini MLALAKUWA hadi Mlimani City sio wote wajazane MAKONGO ROAD.
Ipo but Jeshi limeifunga kwasababu za kiusalama wao
 
Eneo korofi kama pale mwenge mataa!
Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku?

Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku?

Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads!
Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa magari yanayokwenda njia ya ubungo ili kupunguza Msongamano wakati wa ujenzi!

Yote kwa yote Mkandarasi aongeze nguvu afanye kazi usiku na mchana with no Excuse!

Tunaomia ni sisi, Nafahamu nyie viongozi mnapita na Ving'ora!

Mungu anawaona!
Dawa yao ni kuvuruga msafara wao siku moja ili waone karaha mnazokutana nazo nyinyi wananchi wa kawaida.
Mnasubiri PM akiwa anapita , mnaandaa gari lisilo na rubani liingie road kwa speed ya light.
 
Ipo but Jeshi limeifunga kwasababu za kiusalama wao

Tz bwana usalama sijui usalama gani wanaoogopa,watu wanapita white house ukutani kwa trump na hawazuiwi ndio itakuwa kupita kwenye barabara inayokatiza jeshini? Mbona kuna barabara inakatiza kutoka Mbweni inapitia MALINDI TISS na hawajazuia?
 
Back
Top Bottom