Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,702
- 31,121
Chuki Na Roho Mbaya Zitawaua wakuuIran is number one state sponsoring terror, hadi kashogi pia Iran wamemuua dah huruma Cana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki Na Roho Mbaya Zitawaua wakuuIran is number one state sponsoring terror, hadi kashogi pia Iran wamemuua dah huruma Cana....
Siyo Iran waliyomuua ni Serikali yake ya SaudiaIran is number one state sponsoring terror, hadi kashogi pia Iran wamemuua dah huruma Cana....
Hiyo transcript imeandaliwa kuficha ukweli iliyonao Turkey kuwa Kashogi aliuawa kwa kukatwa na msumeno huku anajiona.Saudi regime ni makatili sana.
Nasikia china naye siku hizi ni super power, si amuwekee vikwazo saudia ili ajifunze?! Na pia amkumbatie venezula ili apate unafuu wa uchumi ulioparaganyika. Kwan mpaka marekani tu?Alafu USA ana mlaumu na kumwekea vikwazo Venezuela,eti wanakiuka haki za binadamu huku amemkumbatia Saudi Arabia.Sijui lini USA ataacha UNAFIKI.
Kwani nani anayeongoza kuhubiri haki za binadam kama sio US?Nasikia china naye siku hizi ni super power, si amuwekee vikwazo saudia ili ajifunze?! Na pia amkumbatie venezula ili apate unafuu wa uchumi ulioparaganyika. Kwan mpaka marekani tu?
Basi US ni mnafiki Kama unavyotaka, basi China afanye hayo naye si super power siku hizi! Kwan lazima mnafiki US afanye wakati kuna taifa lingine linalopenda haki na ni super power taifa la China!. China wamuadhibu saudia kwa vikwazo ili ajutie kosa lake.Kwani nani anayeongoza kuhubiri haki za binadam kama sio US?
Analamika Rais wa Venezuela anakiuka haki za binadam,wakati kamkumbatia Israel anayempiga na kumwonea Palestina?
Analamika China wanakiuka haki za kibinadam,wakati anamkubatia Saudi Arabia aliye muua Kashoggi?
Analamika Syria kuwaua raia wake,wakati yy ktk operesheni zake za kijeshi kaua raia 24 kwa mujibu wa uchunguzi za BBC na mpaka wakamwekea vikwazo mmoja wa majaji wa mahakama ya kimataifa ya haki za kibinadamu,baada yakutaka uchunguzi ufanyike.
Hasa kama sio UNAFIKI ni nini? Unahubiri HAKI na sheria wakati ww,ukikosea hutaki kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria.
Hata kama una mapenzi yako binafsi kwa USA,lkn USA ni MNAFIKI na ndio taifa linaloongoza kuleta machafuko katika nchi nyingine,kwa kigezo cha kutetea maslahi yao hawajali kwamba watamwaga damu kiasi gani.
China kafuata nini,Sijawahi kumsikia China akizungumzia swala la Kashoggi,zaidi ya baadhi ya nchi za Ulaya na baraza la Seneti la US ,wakiilaumu Saudi Arabia.Basi US ni mnafiki Kama unavyotaka, basi China afanye hayo naye si super power siku hizi! Kwan lazima mnafiki US afanye wakati kuna taifa lingine linalopenda haki na ni super power taifa la China!. China wamuadhibu saudia kwa vikwazo ili ajutie kosa lake.
China kafuata nini,Sijawahi kumsikia China akizungumzia swala la Kashoggi,zaidi ya baadhi ya nchi za Ulaya na baraza la Seneti la US ,wakiilaumu Saudi Arabia.
Ili dunia iwe salama lazima ukweli usemwe haijalishi amekosea mkubwa au mdogo.
Au ww umekasirika mimi kuikosoa US kwa evidence ambazo zipo wazi,tena nyingine zimefanyiwa tafiti na vyombo vyao vya habari.
Unazungumza alafu huchukui hatua za kiheria si bora ukae kimya.Si bora hao waliozungumzia kuliko huyo aliyekaa kimya Kama kwa hakikutokea kitu!
Kwan yeye ndo UN?! Kukaa kimya huku Maovu yakitendeka ni utahiraUnazungumza alafu huchukui hatua za kiheria si bora ukae kimya.
Mbona la Kashoggi ka kaa kimya?Kwan yeye ndo UN?! Kukaa kimya huku Maovu yakitendeka ni utahira
Iran is number one state sponsoring terror, hadi kashogi pia Iran wamemuua dah huruma Cana....
Labda Kama hujui maana ya kukaa kimyaMbona la Kashoggi ka kaa kimya?
Ina maana naye tahira?