Mkanda wa sauti kuhusiana na mauaji ya Mwandishi wa Habari, Jamal Kashoggi wavujishwa hadharani

Mina cute

Mina cute

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
779
Points
1,000
Mina cute

Mina cute

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
779 1,000
inasikitisha, ivi walimpa dawa Ya usingizi then ndo wakamuua
 
T

Tissaphernes

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2018
Messages
2,017
Points
2,000
T

Tissaphernes

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2018
2,017 2,000
Kwa hiyo Turkey ilikuwa inafatilia mambo ya Saudi
 
M

mikeimani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
2,666
Points
2,000
M

mikeimani

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
2,666 2,000
Serikali nyingi huua. Mashirika mengi ya kijasusi huua. Tofauti itakuwa ni kwa kiasi gani na sababu zinazopelekea kuua.

Unaweza kukuta mambo ya kijinga jinga tu yanafanya mtu awekwe kwenye list ya kufa. Upuuzi ndo uko hapo.

Kuua na kutesa hutumika sana kutisha raia na wapinzani kwenye dunia ya tatu na huko Arabuni
 
Sexer

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Messages
4,576
Points
2,000
Sexer

Sexer

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2014
4,576 2,000
Alafu USA ana mlaumu na kumwekea vikwazo Venezuela,eti wanakiuka haki za binadamu huku amemkumbatia Saudi Arabia.Sijui lini USA ataacha UNAFIKI.
Nasikia china naye siku hizi ni super power, si amuwekee vikwazo saudia ili ajifunze?! Na pia amkumbatie venezula ili apate unafuu wa uchumi ulioparaganyika. Kwan mpaka marekani tu?
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
3,452
Points
2,000
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
3,452 2,000
Nasikia china naye siku hizi ni super power, si amuwekee vikwazo saudia ili ajifunze?! Na pia amkumbatie venezula ili apate unafuu wa uchumi ulioparaganyika. Kwan mpaka marekani tu?
Kwani nani anayeongoza kuhubiri haki za binadam kama sio US?

Analamika Rais wa Venezuela anakiuka haki za binadam,wakati kamkumbatia Israel anayempiga na kumwonea Palestina?

Analamika China wanakiuka haki za kibinadam,wakati anamkubatia Saudi Arabia aliye muua Kashoggi?

Analamika Syria kuwaua raia wake,wakati yy ktk operesheni zake za kijeshi kaua raia 24 kwa mujibu wa uchunguzi za BBC na mpaka wakamwekea vikwazo mmoja wa majaji wa mahakama ya kimataifa ya haki za kibinadamu,baada yakutaka uchunguzi ufanyike.

Hasa kama sio UNAFIKI ni nini? Unahubiri HAKI na sheria wakati ww,ukikosea hutaki kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria.

Hata kama una mapenzi yako binafsi kwa USA,lkn USA ni MNAFIKI na ndio taifa linaloongoza kuleta machafuko katika nchi nyingine,kwa kigezo cha kutetea maslahi yao hawajali kwamba watamwaga damu kiasi gani.
 

Forum statistics

Threads 1,335,176
Members 512,245
Posts 32,498,030
Top