Mkali wa Aircondion za magari ya kisasa Arusha

maringeni

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,198
3,888
Salam kwa wadau wote.
Niko Arusha kwa muda na kari yangu ya kisasa kidogo, Landcruiser Prado 2016. Ni kama km elfu 40 ila a/c naona haina nguvu na ningependa kuifanyia check up na service.
Nahitaji msaada wa mafundi wakali wa aircondion ili wanipe huduma kabla sijaondoka Arusha.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mcheki huyu jamaa atakusaidia yupo mtaa wa Metro Po jirani na gorofa la Manjis..0757476957

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom