Mkakati wa Lema kumchonganisha Gambo na Mh. Rais wabainika

KAKADO

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
230
336
Hali katika jiji la Arusha ususani katika siasa yachafuka,ni ukweli usio pingika Halmashauri ya jiji inayoongozwa na CHADEMA chini ya Mbunge God bless Lema wameapa Kwa udi na uvumba kuhakikisha wanamchonganisha mkuu wa wilaya mhe gambo na mhe Rais Magufuli.

Tangu mh Gambo ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha,amegeuka kuwa mwiba wenye maumivu makali Kwa madiwani na Mbunge wa Arusha bwana God bless lema,hii ni kutokana na weledi wake katika kusimamia sheria na kuibua ufisadi mzito unaofanywa na Halmashauri inayoongozwa na meya CALISTI LAZARO.

Madiwani wa chadema wamekuwa wakijilipa posho maratatu zaidi ya wanayostaili,mh mkuu wa wilaya amesimama kidete kupinga ufisadi huu,halii hii imepelekea madiwani wa chadema kukutana kwa siri nyumbani Kwa Mheshima Mbunge Kupanga na kuibua Kashfa zitakazomshawishi Mh Rais KUMTUMBUA mkuu huyu wa wilaya.
Mpaka sasa Mikakati yakumuondoa mkuuu wa wilaya inasukwa chini ya mkandarasi GODBLESS LEMA,tutegemee kuanzia sasa kuona na kusikia mashambulizi makali sana kuelekea Kwa mkuu wa wilaya.

Agenda za awali zilizopitishwa ni kuibua tuuma za kupokea Rushwa,hii itakuja ikiwa na ustadii mkubwa kuweza kuaminisha umma, mkuu wa wilaya sio kiongozi anayestahili kuongoza wilaya yenye utajiri mkubwa wa vivutio vya utalii na wilaya yenye vyanzo vingi vya Mapato vinavyotokana na utalii,hili wameapa kulipigia kelele sana Kwani wanaamini hoja hiii ni raisi kueleweka na Mh Rais Kwakuwa anachukia RUSHWA..nadhani niwakati sasa mh mkuu wa mkoa wa Arusha kuwa makini na tuhuma zinazomlenga mtendaji wako (mkuu wa wilaya)

Lema amekuwa akisikika mara kadhaa akisema"mh mkuu wa wilaya anamcopy MAKONDA hii ni ARUSHA lazima aondoke"

Kwa ushauri ndugu yangu Lema najua unajua ni jinsi gani uipata wakati mgumu kurudi bungeni mwaka janaa. Wako waliopa hata kutoa uhai wao ili tu usirudi bungeni lakini Kwa rehma za MJA umerudi,sasa ni bora mkapanga Mikakati yakimaendeleo Kwa wanannchi wako kuliko kupambana na mtu mmojaa.

Nawasilishaa
 
Dah! Nimeamini uana siasa ni kipaji cha unabii na sio vinginevyo! Mleta mada ningekushauri ufanye mambo mengine hususani ndani ya familia yako achana na mambo ya fitina!
 
Back
Top Bottom