Ndio wanatamba kwamba lazima watawang'oa.sasa ni juu yetu sisi wananchi je tutakaa tukiumia na kuchuruzika machozi kwa dhuluma inayofanywa na CCM,serikali yake na Usalama wa Taifa chini ya kiongozi mzandiki Raisi aliyepo,yeye anauhakika gani kwamba wananchi watakubaliana na hali hiyo hivi wameona hasira za wananchi wa Arusha au ndio ule msemo wao wanaosema watakasirika halafu yataisha,hatutakubali kamwe kuacha nchi yetu nzuri na amani ikavurugwa na hawa viwavi waroho wa madaraka kama CCM na Usalama wa Taifa
Nadhani wana mifano hai pale dhuluma inapokithiri wanajua nini kinatokea embu ona huyo Jaji aliyehukumu kesi ya Lema amejitia doa mpka siku ya kufa kwake anaonekana Jaji Mhuni,mzurumaji,asiye na akili anayepelekeshwa kama boya ni aibu tupu ametapakaza usoni ,akipita Arusha atazomewa , akirudi Sumbawanga hakuna atakayemuheshimu sijui ataficha wapi uso wake