Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Status
Not open for further replies.
unaparta div. 1 kwa alama
za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani
tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii
siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa
MUNGU.

Cha ajabu zaidi ni kwamba, islamic knowledge linafundishwa ktk shule ngapi nchi hii? Na ni kweli kwamba wanafunzi wote waisilam walifanya mtihani huu nchini!?

Hawa jamaa wangechomewa misikiti je kamayalivyochomwa makanisa?
 
cha ajabu zaidi ni kwamba, islamic knowledge linafundishwa ktk shule ngapi nchi hii? Na ni kweli kwamba wanafunzi wote waisilam walifanya mtihani huu nchini!? Hawa jamaa wangechomewa misikiti je kamayalivyochomwa makanisa?
pasingetosha, kila baada ya dakika tano, tungepata maazimio mapya. Halafu hawa wa kina invisible, wameboresha au wameharibu? Mie naona wameharibu. Mtu akiquote post yako, kuitoa notification ni utata mtupu. Hata like nazo kuzisoma na kuziondoa eti mpaka uje kwenye profile, shida tupu. Nahisi wameharibu baadhi ya mambo
 
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.

Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-

1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?

NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.

reply yangu kwenye red, assumption hapa ni kwamba unaposema chuo/vyuo unaamanisha chuo/vyuo vikuu na si vinginevyo.

1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
>>islamic knowledge haiwezi kuwaongezea sifa ya kupata nafasi ya chuo, islamic na bible knowledge inawasaidia tu kujua vizuri dini yao, wakati mwingine wajitahidi kufaulu 'core subjects'

2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
hapana si dhuluma, kama nilivosema hapo juu islamic knowledge isn't key subject eti likamuongea mtu possibility ya kupata nafasi chuo, labda kama anataka kwenda kufanya degree ya islamic knowledge.

3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?
ni kashfa kubwa kwa system yetu nzima, narudi kwenye mfano wako, mdogo wako kapata div 3, eti kwa kubadilishiwa matokeo yake sasa yuko na div 1, sasa kwangu hii ndio kashfa, hapo mdogo wako kapata div 3 hiyo div 1 ni kiini macho tu.
 
Kutoka div III mpaka I maajabu nchi hii haiishi vituko
blaki Womani unaamini??? hebu fikiria nini kimetokea, matokeo ya somo moja yanaweza kubadilisha point za mtahiniwa kwa kiasi hicho? to me doens't make much sense
 
islamic knowledge inakupeleka chuo? Kozi gani?

Na unataka kusema kama mtu alikuwa na S tupu akipewa A ya islamic credit zitakubali kwenda chuo?
 
Fafanua vizuri mkuu, mwanzoni huyo mdogo wako alikua na div III ya point ngapi? na sasa ana div I ya point ngapi? I smell something fishy in your post
 
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.

Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-

1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?

NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
Wewe kwa upande wako unakubaliana na hilo?
 
Fafanua vizuri mkuu, mwanzoni huyo mdogo wako alikua na div III ya point ngapi? na sasa ana div I ya point ngapi? I smell something fishy in your post

harudi alidhani hapa fb hahahaaaa! check quick stats za mtoa mada

Join Date : 23rd September 2007
Posts : 30
Rep Power : 551
Likes Received: 0
Likes Given: 0
 
harudi alidhani hapa fb hahahaaaa! check quick stats za mtoja mada

Join Date : 23rd September 2007
Posts : 30
Rep Power : 551
Likes Received: 0
Likes Given: 0

duh! It suits him
 
sioni ukweli wa hii post....div3 to div1....hata kama huyo mdogo wako alipata A ya islamic religion.....
haiwezi turn to div1
ingekuwa ni mathematics au kiswahili its true tungejua alipata penalty...
UNA LENGO GANI?
 
Juzi nlianzisha thread kwenye jukwaa la hoja nkielezea juu ya uchakachuzi huu nikashambuliwa sana pamoja na kuonekana mzushi.
Hata Uzi wenyewe sijui umekimbiziwa wapi.
Mods naomba mnielekezi ulipo ule Uzi, na ikiwezekana unganisha na huu
 
Kwa upande wangu naona hiyo siyo issue kubwaa kiasi hicho! Inawezekana wame standardize! dont rush be analytical mwaka 1988 walirudia masomo yoote ya sayansi sio somo moja kama unavyo tetea hoja yako, na si kwamba wameonewa inawezekana somo hilo wameferi saana hivyo wakistandardise obvous matokeo yatabadirika kwa baadhi ya wanafunzi based on their perfomance, acheni mambo ya udini please nyie watu!

Masomo mengi tuu huwa inatokea, jaribu kufuatilia, especially baada ya rufani, kama kuna mtu kakata rufani huwa wanacountercheck nadhani ndicho kilichotokea!
 
Ni wastani wa wanafunzi wangapi waislam wamefanya uwo mtiani kwa sababu unaposema wanafunz wakiislam mi ninamdogo wangu yeye akufanya hilo somo.vipi kwenye masomo mengne wameakiki upya.

wamehakiki Islamic Knowledge tu mdau,na si kua wooote wamebadilishiwa,wale walofeli zaid hayajabadilishwa,,,,,wapo ambao yamebadilishwa.....ila inatia mashaka kidogo,,,NECTA inaaminika isije ikawa kuna watanzania wengi wanafanyiwa huu uhuni halafu tumawalaumu watoto wetu(exclude malalamiko ya waislam)nani anaona script????afta marking????
 
Kwa upande wangu naona hiyo siyo issue kubwaa kiasi hicho! Inawezekana wame standardize! dont rush be analytical mwaka 1988 walirudia masomo yoote ya sayansi sio somo moja kama unavyo tetea hoja yako, na si kwamba wameonewa inawezekana somo hilo wameferi saana hivyo wakistandardise obvous matokeo yatabadirika kwa baadhi ya wanafunzi based on their perfomance, acheni mambo ya udini please nyie watu!

Masomo mengi tuu huwa inatokea, jaribu kufuatilia, especially baada ya rufani, kama kuna mtu kakata rufani huwa wanacountercheck nadhani ndicho kilichotokea!

kwanini udhani mdau,wakati wenyewe wamekiri kuwa IT alikosea??????tuwe realistic,NECTA si malaika, ni binadamu,wanaotunga mtihan ni binadam na wanaosahihisha ni binadam,wapanga matokeo binadam,sasa suala la kukosea lipo,,,,,,tena unaweza ukakuta wanakosea sana tu,ila hatujui,frm now wanaweza wakawa makini zaidi
 
Tusilipeleke hili kwenye udini ila ni uzembe wa balaza la mitihani ambalo litatakiwa kuwajibishwa. Kama hili ni kos lililoonekana je ni mangapia ambayo yamekosewa lakini hayakuonekana toka kuandaa mtihani mpaka matokeo yanapotoka? Kwa hili la kugawanya kwa 4 badala ya 2 naona ni ukosefu wa Internal procedure ndania ya balaza, kwa maana computer system yaweza kuwa inafanya kazi in the background kwa hiyo 4 au 2 hainonekani kwa mtumiaji. Kwa hiyo kurekebisha hili wanatakiwa kuwa na internal procedure ambayo itacover task ya kila mtu mmoja kwenye chain ya madiliko yoyote katika system.
 
Tatizo liko wapi? Kwamba wamekiri makosa au wamefelisha? Wangekaa kimya ingekuwaje? Mbona matokeo ya wengi tu hukata rufaa na kusahihishiwa upya?
Tatizo letu watanzania kila jambo tunaliangalia kwa mtazamo wa kidini kwanza, akili za wengi zimemwagiwa sumu na matokeo yake ndio tunayaona Zanzibar, watu wanaupinga Muungano lakini wanachoma Makanisa.
 
Kama Baraza walikosea matokea kwa sababu ya average tu basi hilo jopo ni wakufukuza kazi tu hao!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom