Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Shark, May 31, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE ambao matokeo yao yametoka hivi karibuni lakin mkakati huo UMEKWAMA.

  Kukwama huko kwa mkakati huo kunakuja huku matokeo yakiwa yashatoka, na kuna habari kua kwa mara ya kwanza katika historia ya Board, wanafunzi hao wa kiislam watapewa upya matokeo yao badala ya yale ya awali ambayo iligunduliwa "yamechakachuliwa"

  Uchakachuaji huo umekuja kwenye somo la "Islamic Knowledge" ambalo kawaida hua Lina "paper" 2.

  Kuna tetesi kua Katika usahihishaji wa somo hilo, uchakachuzi umefanyika kwa kujumlisha paper zote mbili lakin "wastani" ukapatikana kwa kuchukua jumla ya alama na "kugawa kwa 3" jambo ambalo limepelekea wastani uwe mdogo kuliko uhalisia.

  Hii imekuja baada ya kutopatikana angalau A moja tu.

  Simply ukipata 80 na 82 wastani utakuja 81 tu.
  But kama jumla (162) inagawanywa kwa 3 badala ya 2 ni wazi kua wastani utashuka kua 54 badala ya 81 (27 less).
   
 2. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Hiyo hujuma inafanyika ili iweje? Nani anafanya hujuma hiyo?
  Sounds childish!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mna mahangaiko nyie? Na kuimagine hata yasiyokuwepo....
   
 4. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawa hawana lolote.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,324
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  Wito wangu kwa Waislam wenzangu:-
  Mwenyezi Mungu ndiye mtoaji wa kudra kubwa kubwa na ndogondogo. Someni kwa bidii mpate kudra kubwakubwa. Msipotia juhudi ni kupata zero tu
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  What sound childish??
  Story or the aim of uchakachuzi??


  Anyway,
  Kama huamini basi chukua matokeo yao sasa ya somo la Islamic Knowledge kisha usubiri kama wiki hivi uone kama hayajabadilika.
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yale yale Mod andaa jukwaa la Udini la Wakristo na Waislamu manake unaruhusu haya mambo.
   
 8. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  So wat,kwani qualification za chuo ni pamoja na mitihan ya dini? au ni ili kupunguza idadi ya mashehe? Acheni kulalamika nyie watu
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,324
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  Swali la kizushi. Islamic knowledge inasahishwa na mapadre na wachungaji?
   
 10. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Kwa hiyo hapo pekundu ndo mlipoishia kufikiria?
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Mnaweza msiamini but ndo ukweli wenyewe huu!!
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Kaka hujaelewa mchezo ulivyoenda.
  Masheikh walisahihisha wakaenda zao,
  Kazi ya ku- compile ni ya NECTA, na hapo ndipo mchezo ulipochezeka!!
   
 13. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unawaza kama mimi.
   
 14. D

  Dina JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Assuming ni kweli, malengo ya waislam kufelishwa somo la Islamic knowledge ni nini? Nashindwa kuunganisha dots, mtoa mada utakuwa una idea?
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hivi hakuna wanafunzi wa kikristo wanaofanya somo la islamic knowledge?swali la ufahamu tu.
   
 16. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  nawahusia jamani jipangeni....mnamwaibisha ostaz jk na makamu wake....sasa anaesahihisha hiyo mitihani ya kiislam ni wakristo....??? Pole jk pole ghalib bilal pole shein pole iddy pole sharif hamad...
   
 17. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Jamani hili swala nafikiri linahitaji kujadiliwa kwa mapana kidogo hasa wakati huu ambao waislam wanadai kuchakachuliwa. Mimi ni mkristo, tena mkatiliki na nampenda sana Bwana na mwokozi wangu Yesu, lakini hili la waislam linanishawishi nifikirie mara mbilimbili madai yao:
  1. Kwanini hoja hii inakuja wakati kama huu?! - Mtoto wa Kikwete alipokuwa wa mwishi katika shule ya kikristo, ambapo ni yeye peke yake aliye feli, na pili ni wakati ambapo shule nyingi za Zenji zemeshika mkia
  2. Najiuliza, hivi tangu baraza la mitihani liwepo, au awepo huyu mdada wetu (Dr, Jane Ndalichako), trend ya ufaulu umekuwaje? hasa kwa shule hizi za wakristo na waislam, au hata za bara na visiwani? maana binti wa watu anaweza kuhukiwa bure kwasababu tu ni mkristo!!! - hapa panahitaji comparative research
  3. Mimi ni mkufunzi wa chuo kikuu huku bara, na nimefundisha wanafunzi wanaotoka vyuo vikuu vya Zenji (wanapokuja kwa shahada ya pili), ki-ukweli mbele za Mungu na wanadamu, hawa wajamaa wengi huwa na uwezo mdogo sana darasani ukilinganisha na wengine (hapa naongelea wazenji na wabara, na si waislam na wakristo jamani), na pia huwa ni wabishi mno kwa ku-meet deadlines, structure and content in academic works, na pia unapoomba kwa mfano kufundisha kipindi mchana au jioni, mara nyingi hawako tayari
  4. Kwa kufanya kazi kwenye makundi (group works), wana-kundi hulalamika mara nyingi kuhusu ushiriki wao, hivyo njia mbadala huwa ni kuwaweka kundi moja, hapo watafanya kazi, ingawa kitaaluma ni mbaya kwasababu hawatajifunza kutoka kwa wengine, wataendelea kuwa na mawazo yaleyale ya zanzibar (localized thinking)
  5. Mara nyingi hulalamika kwa wakuu wa idara kuwa wanaonewa au waalimu hawawafundishi vizuri, kana kwamba wanafundishwa separately na wenzio, kumbe wanashindwa kuelewa tu kuwa masters ni kujisomea kwa 70% na kufundishwa kwa 30%

  hiyo ni tadhmini yangu kwa upande wa elimu wa juu, hasa kwa chuo nilichopo. Kwa upande wa sekondari, na hata vyuo vingine jamani tunaweza kufanya ulinganifu (comparizon), kwa mfano Chuo kikuu cha waislam cha morogoro, na vyuo vya makanisa (SAUT, RUCO, TUMAINI, ST,John, Theofilo Kisanji, St,Joseph, Bugando, KCMC) unaweza kuvilinganishaje?

  Naamini kila kitu hujengwa kwa muda mrefu, Waholanzi walipigania uhuru tangu miaka ya 1500, marekani walipata uhuru miaka ya 1700, Roma ilianza kujengwa tangu enzi za kabla ya Yesu, leo ndiyo wanamafanikio haya waliyo nayo. Naamini na wao hawajachelewa, waangalie tu wanajikongi=oja wapi kisha warekebishe

  Waislam wengi wamesoma kwenye shule za wamisionari wa kikristo, na wamefika hapo walipo, so badala ya kulalamika, wangechukua yale mazuri waliyoyaona kwa wakristo na kuyafanyia kazi
  Nawasilisha
   
 18. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi hii sasa imefikia pabaya kweli. TUMESHINDWA KILA KITU na sasa kila mmoja anajitahidi kuwa mjinga mjinga.si mwalimu si mwanafunzi,si kiongozi si raia wa kawaida,si viongozi wa dini si waumini wao,siasa[chama dume] ndo kabsaa..,sijui hata tumefikia wp kwnye hii direction ya ujinga ujinga tuliyochagua
   
 19. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  good kamanda,swal zur sana hilo! ajibu bac
   
 20. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,201
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  None sense! What NECTA want to do with Islamic study!? What the value of Divinity and Islamic knoweledge to higher learning if that is your dought!? This is none sense!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...