Elections 2010 Mkakati wa kumshinikiza Kikwete ashiriki kwenye mdahalo wa wagombea uraisi JMT

NADHANI INABIDI KWENYE HUO MDAHALO AJENGEWE GRILL KABISA....Maanake pamoja na uwezo mdogo wa hoja pia wanaogopa asije akapata tatizo kubwa kuliko kuanguka kwake kulikozoeleka.

Ebwana wana JF siwawezi, grill tena? ha ha ha ha ha ha
 
Mimi nadhani kwa usalama wa mheshimia rais asisimame kujibu lolote katika mdahalo maana kwa hakika ataanguka chini tu kwa hofu ya kushindwa kujibu maswali.

Nashauri January Makamba asimame kumsaidia raisi wake kumjibia maswali atakayouliza. Tumuurumie rais wetu jamani.
:smile-big:
 
hahaha we unasema media imshinikize jk kwenye mdahalo halafu wakale wapi we hujaona hadi wanavaa vizibao na kofia za ccm?kwanini tusiseme media yetu ni ccm?
 
eti makamba anasemajk anajulikana haitaji mdahalo nani kamdanganya huyu mzee wa bumbuli?jk anajulikana kwa mabaya,ukandamizaji,ubabe na ukosefu wa sera madhubuti wamlete kwenye mdahalo tumpime na wajue hatumpimi rais bali mgombea wa ccm so waache kutupga changa la macho
 
aje kwenye mdahalo aache kulialia sasa.

Madesa yataruhusiwa
 
Back
Top Bottom