Elections 2010 Mkakati wa kumshinikiza Kikwete ashiriki kwenye mdahalo wa wagombea uraisi JMT

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Kuna kitu kimoja kimenifurahisha sana kwenye kampeni za uchaguzi wa congress wa marekani mwaka huu. Kuna mgombea mmoja wa senate toka jimbo la Nevada anaitwa Sharon Angle. Mrs Angle bana alikuwa na tabia ya kuchemsha kiaina akikutana na vyombo vya habari. Viongozi na waandamizi wa chama cha Republican wakamshauri asiongee na vyombo vya habari (ili kuficha aibu).

Jamaa wa media ya NV wakaanza kumshikia bango ili aongee na media. Kuna wakati hadi alikimbia mbio kuelekea kwenye gari yake na waandishi wa habari walichofanya ni kuonyesha hiyo story live kwenye news zao. Presha nyingine ilitoka kwa liberal groups ambazo zilianza kurusha matangazo kwenye media kumshinikiza Mrs Angle aongee na media ya NV.

Presha imekuwa kubwa hadi Mrs Angle ameakubali kuongea na media...... ili kukwepa aibu.

Utagundua kuwa Kikwete amekataa kukutana na wapinzani wake kwenye mjadala. Jamaa anajificha kwenye mgongo wa Kinana kila inapokuja issue nzito inayomhusu.

Kwa vile media ya Tanzania iko kwa upande wa ccm (kwa asilimia kubwa), sitegemei kama watu wa media Tanzania watamshinikiza Kikwete ashiriki kwenye mdahalo. Ningewashauri CHADEMA watengeneze matangazo (hata flyers) za kuuliza kwa nini Kikwete hataki kushiriki kwenye mdahalo ili kuelezea sera na mipango yake!

Sidhani kama hili nalo litakuwa tusi (kwa tafsiri ya Mhando na Kinana)
 
Kwa kumrahisishia kazi mkuu wa nchi, madesa yaruhusiwe kwenye mdahalo:

300px-Rais-obama-na-rais-kikwete-mei2009.jpg
 
Kwa kumrahisishia kazi mkuu wa nchi, madesa yaruhusiwe kwenye mdahalo:

300px-Rais-obama-na-rais-kikwete-mei2009.jpg
Kikwete aruhusiwe hata aje na wasaidizi na maswali apewe kabisa! Uwezo wake unajulikana. Kwanini anaogopa kiasi hicho, ninaamini Prof Lipumba na Dr Slaa watamwaibisha sana.
 
kuna kitu kimoja kimenifurahisha sana kwenye kampeni za uchaguzi wa congress wa marekani mwaka huu. Kuna mgombea mmoja wa senate toka jimbo la nevada anaitwa sharon angle. Mrs angle bana alikuwa na tabia ya kuchemsha kiaina akikutana na vyombo vya habari. Viongozi na waandamizi wa chama cha republican wakamshauri asiongee na vyombo vya habari (ili kuficha aibu).

Jamaa wa media ya nv wakaanza kumshikia bango ili aongee na media. Kuna wakati hadi alikimbia mbio kuelekea kwenye gari yake na waandishi wa habari walichofanya ni kuonyesha hiyo story live kwenye news zao. Presha nyingine ilitoka kwa liberal groups ambazo zilianza kurusha matangazo kwenye media kumshinikiza mrs angle aongee na media ya nv.

Presha imekuwa kubwa hadi mrs angle ameakubali kuongea na media...... Ili kukwepa aibu.

Utagundua kuwa kikwete amekataa kukutana na wapinzani wake kwenye mjadala. Jamaa anajificha kwenye mgongo wa kinana kila inapokuja issue nzito inayomhusu.

Kwa vile media ya tanzania iko kwa upande wa ccm (kwa asilimia kubwa), sitegemei kama watu wa media tanzania watamshinikiza kikwete ashiriki kwenye mdahalo. Ningewashauri chadema watengeneze matangazo (hata flyers) za kuuliza kwa nini kikwete hataki kushiriki kwenye mdahalo ili kuelezea sera na mipango yake!

Sidhani kama hili nalo litakuwa tusi (kwa tafsiri ya mhando na kinana)

kwa kitendo cha jk na ccm kukacha mdahalo wa masaa 3 tu, ni ukandamizaji wa demokrasia, so watanzania tutengeneze mabango na tuwapigie simu ccm makao makuu kushinikiza jk akubali kuhudhulia mdahalo na kama hataki chadema na vyama vingine vitumie hiyo platform ya mdahalo kuimaliza ccm, that is very big opportunity chadema need to use with or without ccm
 
Kikwete aruhusiwe hata aje na wasidizi na maswali apewe kabisa! Uwezo wake unajulikana. Kwanini anaogopa kiasi hicho, ninaamini Prof Lipumba na Dr Slaa watamwaibish sana.

yaani hapa nilipo ninasalivate big tyme ...ajaribu tu aone cha moto.

Rev, nimecheka hiyo ya kupewa maswali in advance.
 
Hiyo aibu itakaympata mtu mzima mimi hata sitaki kuwa shahidi na wala sitotaka hata kujua kilichoendelea.
 
Kuna kitu kimoja kimenifurahisha sana kwenye kampeni za uchaguzi wa congress wa marekani mwaka huu. Kuna mgombea mmoja wa senate toka jimbo la Nevada anaitwa Sharon Angle. Mrs Angle bana alikuwa na tabia ya kuchemsha kiaina akikutana na vyombo vya habari. Viongozi na waandamizi wa chama cha Republican wakamshauri asiongee na vyombo vya habari (ili kuficha aibu).

Jamaa wa media ya NV wakaanza kumshikia bango ili aongee na media. Kuna wakati hadi alikimbia mbio kuelekea kwenye gari yake na waandishi wa habari walichofanya ni kuonyesha hiyo story live kwenye news zao. Presha nyingine ilitoka kwa liberal groups ambazo zilianza kurusha matangazo kwenye media kumshinikiza Mrs Angle aongee na media ya NV.

Presha imekuwa kubwa hadi Mrs Angle ameakubali kuongea na media...... ili kukwepa aibu.
Analysis na comparison za Mrs. Angle hazitusaidii katika siasa za uchaguzi Tanzania.

Kwetu huwezi kuingia matatizoni kwa kuogopa kuongea na press, wewe upo, lakini wapiga kura hawapo, Nevada!

All politics is local.
 
Atajibu nini kwenye mdahalo anajipya kwani?

sim-suport JK wala CCM, lakini hili la mdahahlo siku zote huwa silikubali na sababu kubwa ni power ya CCM kwenye hizi media, Tatizo wanaweza kutafutwa watu maalumu wa kuuliza maswali ambayo yatakuwa yapo zaidi kumjenga JK na Kumbomoa Slaa
 
Analysis na comparison za Mrs. Angle hazitusaidii katika siasa za uchaguzi Tanzania.

Kwetu huwezi kuingia matatizoni kwa kuogopa kuongea na press, wewe upo, lakini wapiga kura hawapo, Nevada!

Nimekupa thanks kwa vile umenikumbusha kuwa nilitakiwa kuweka kituo baada ya Mrs (darn you guys ... i kinda like this)

Hayo mengine nakubaliana nawe up to a certain point.
 
Hata kama hazisaidii sasa anachoogopa ni nini? Basi hata kuja hapa Houston pia anagwaya.! Anaogopa nini? Mbona Obama alienda kuongea na Republicans ndani ya kikao chao?
Ama anaogopa kuanguka na kifafa issues zikiongewa?
 
Sioni sababu ya Raisi kuogopa mdahalo,miaka kumi waziri wa mambo ya nchi za nje,miaka 5 Raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania,labda kama kuna kitu kingine.
 
Kikwete aje Houston kufanya mdahalo na nani wewe disconnected non-voter wewe?

Ya Obama kuongea na Republicans hayatuhusu hapa, sio jukwaa la kimataifa, ni la uchaguzi wa Tanzania.
 
NADHANI INABIDI KWENYE HUO MDAHALO AJENGEWE GRILL KABISA....Maanake pamoja na uwezo mdogo wa hoja pia wanaogopa asije akapata tatizo kubwa kuliko kuanguka kwake kulikozoeleka.
 
Sioni sababu ya Raisi kuogopa mdahalo,miaka kumi waziri wa mambo ya nchi za nje,miaka 5 Raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania,labda kama kuna kitu kingine.

Afya, akili, roho na mwili wake havimwezeshi kukumbana na maswahibu ya kujibu maswali. Kwa sasa anaweza tu kuhutubia bila kuulizwa na kwa muda fulani. Ukimvuta kwenda saa 3 na tension ya maswali hatafika.
 
Huyu jamaa kichwani zimo kweli? Ameropoka Mbeya anampango wa kununua Bajaj 400...tenda kwa akina Jeetu na Ramesh Patel
 
Back
Top Bottom