Mkakati wa kulifunga MwanaHalisi, Kumziba Mengi na kumfukuza Sitta Waanza

ni bora sana wewe umeliona hilo,kuna serikali zingine ni mkono wa chuma wala huwezi kuiongea hiyo serikali au viongozi wake vibaya lakini cha kupendeza hao hao viongozi wako mbele kwa maslahi ya taifa na wananchi, hivyo hata ukiwa huwa pendi itakulazimu tu uwapende kwani wanakuletea na kukusaidia karibu kila kitu.
Sasa sisi serikali yetu hata kutoa tu huduma za mhimu kabisa kama umeme, maji,chakula etc ni kazi , sasa mambo gani watakayooyaweza?
Tatizo la hawa watu nguvu zote wanamalizia kwenye mikakati ya kijinga badala ya kutatua matatizo ya wananchi, mapimbi kweli yani hayajui hata kula na kipofu
 
"Isitoshe ,Sitta anatuhumiwa kwamba anatumia uwepo wake kwenye CCM na Kamati kuu ili kumdoofisha JK, kwa kutoa siri za ndani ambazo Mwandishi anasema ni za kupikwa".

Hivi hii imekaaje kwamba Sitta yuko kwenye kamati kuu anatoa siri kwa ajili ya kumdhoofisha Jk lakini hizo siri ni za "kupikwa"!
 
Hivi RAI linachapishwa wapi?
Kumbukumbu zangu ni kwamba RAI lilihamia Uganda!!!
DO WE STILL HAVE THIS NEWSPAPER IN TANZANIA?!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Magazeti yana vsion, sasa wewe inaonekana RAI haikufai. Mimi siwezi kusoma RAI. Sijui kwanini kila mara ninapo fall in relation na gazeti fulani, husifiwa hata nje ya mipaka ya nchi, Mwanhalisi, tanzania Daima na haw Mwananchi wamekomaa, na refarii wao Nipashe.

Haya mengine yamekaa kama hayajavuka msitari wa Glaastnost and Perstroika.
 
Back
Top Bottom