Mkakati Wa Kuchangia WanaArusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati Wa Kuchangia WanaArusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yona F. Maro, Jan 9, 2011.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .


  Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao .


  Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
  ZAP – 0786 806028
  MPESA – 0766334049
  Email : friendsofslaa@gmail.com


  Ni vizuri ukaweka na jina lako kwenye mchango wako kama utapenda liwepo kwenye kumbukumbu .


  Tunashukuru sana kwa wale wote wanaoendelea kutoa msaada wa hali na mali kwa FOS katika kutekeleza majukumu yake .


  Mwanzo wa wiki Ijayo wawakilishi wa FOS toka Dar es salaam watakuwa Arusha kwa ajili ya Kuona Majeruhi Na kuendelea na jitihada za majadiliano .
   
Loading...