Mkakati wa CCM kuiua CHADEMA kwa kuitumia CUF na fitina chafu

Ndugu wadau,

nimekuwa nikijiuliza juu ya hawa wananchi wanaojifanya wanamapinduzi kupitia vyama vya siasa, ni kwanini hawa wapinzania wasiunganishe nguvu na kuunda chama kimoja chenye sera, nia dhabiti na viongozi imara wenye kujua na kutafakari hatima ya nchi kwa mapana yake kama kweli ni wanamapinduzi? cha kushangaza sijapata jibu la hili swali katika angle hiyo badala yake nimeipata katika angle nyingine.

Kuna taarifa za kuaminika kutoka jikoni kuwa, chama tawala kinatumia nguvu nyingi sana, kisheria, kifedha na hata mbinu chafu kuhakikisha chama kikuu cha upinzani kinaanguka kabla 2015.

Vilevile kuna taarifa za kuaminika za ccm kuitumia CUF,kwa kuwapa pesa nyingi ili kuzunguka nchini kwa lengo hasa zauneutralize nguvu ya chadema, kuna haja gani sasa ya kuwa na vyama vya upinzania? mheshimwa Lipumba tumemuona, tumemuona Julius Mtatiro jangwani anatumia mda mwingi wa hotuba yake kuikandia chadema badala ya sera za chama chake, wameenda mbali sana ili kutimi mkakati wao fedhuri na kuazisha the same operation called VISION FOR CHANGES (V4C) pamoja na kuchangisha pesa kama wenzao wa chadema wanavyofanay.

Watanzania lazima tutambue kuwa, ukombozi wa nchi si kazi lelemama, ni kazi ngumu sana inayohitaji uvumilivu na nguvu ya ziada kwani tunapambana na watu wenye dola, walioingizwa kwa mfumo mgumu sana uliotengenezwa na mtu mwenye akili nyingi mwalimu nyerere!lakini hatutakiwa kukataa tamaa, pamoja na mbinu zao chafu hakika tutashinda! nchi kama hii yenye kila dalili zote mbaya dunia kuanzia kwenye elimu duni, afya ovyo, democrasia mbovu,haiwezekani kuwa vyama vya siasa 20! huu ni mpango maalumu wa ccm kuzorotesha mabadiliko!kazi yetu lazima tuimarishe vijana kisiasa ili wanakoenda wafanya kazi ya kuwafundisha wengine ili elimu ya urai iwafikie wengi kama kweli tuna nia ya dhati ya luleta mabadiliko!

Hao wanafiki wala hawatunyimi usingize. Chadema hatupumbazwi na wali. Tumeamua na haturudi nyuma
 
Luckman,

Ni kweli kwa vitendo na mwenendo hapakuwa na haja ya unafiki wa kuingia ktk siasa shindanishi za vyama.

Lakini kwanini hawakuweza kuzuia? Of coz, walichelewesha mageuzi, lakini mabadiliko hayahitaji mjadala wala mbadala! Leo tuna mfumo ngeu wa vyama vingi na ndipo tulipo, tunataka tusonge mbele kwa faida ya kila mtanzania.

Kutumika kwa CUF hilo liko wazi tu. Nadhani Bububu ni ushahidi wa wanandoa mbumbumbu. Utter Comedy!

Lakini hakuna mchezo wowote mpya mchafu wananoweza kuufanya tusijue, na hakuna hila chafu yoyote watakayofanya itakayofanikiwa. Kwa sababu kwa sasa wananchi wanajua na wanataka mabadiliko ya dhati nchini na hakuna mbadala wala mjadala. CCM out!
 
Kikubwa CDM isonge mbele ata isitishike na hao ccm B kwani hao wanafahamika ni wapiga kelele tu na wahenga walishasema kuwa debe tupu haliachi kupiga kelele so ata hao CUF wasiwatishe kwa hizo kelele zao kwani mbio za sakafuni huishia ukingoni.
CDM tuzidi kujipanga kwa kufungua matwi mengi na kutangaza sera zetu at last wanachi wenyewe watachagu chama kilicho makini na chenye uwezo wa kuiongoza nchi hii iliyojaa utajiri wa kila namna.
 
Proffessor Lipumba rudi darasani ukafundishe vijana wetu uchumi kwani kazi uayoifanya hivi sasa imekushinda.Wewe proffessor mzima umeshindwaaje kuziona mbinu chafu za CCM.Angalia ulivyoingizwa CCM bila hata kijitambua.Siasa siyo taaluma yako,ya kwako ni kushika chaki darasani.
 
Kama unatambua kwamba CDM haikufika hapa ilipo kwa bahati tu,bali kuna kazi kubwa ya siasa imefanyika,basi sioni kwanini upate woga na CUF chama ambacho ukiondoa nyumbani kwa waasisi wake Pemba,na baadhi ya maeneo ya Unguja na Pwani ya Tanganyika,kwingine kimebaki jina! Uongozi wake kama ilivyo CCM unaonekana wazi umechoka. Hakuna ubunifu tena!
 
Prof lacks creativity tulifikiri anakuja na new idea kumbe kacopy na kupaste hakuna haja ya kuwadiscuss hawa tutakuwa tunapotenza mda wetu bure. Ni vigumu sana kumaintain uongo coz ipo siku tu ukweli utajulikana. Hicho ndicho kinacho wasumbua walioshika dola na wapambe wao. Watanzania wa sasa washaanza kujua ukweli ni upi na uongo upo wapi, hapo ndipo walipojichanganya. Tuendelee tu kutoa elimu ya uraia mpaka kitakapoeleweka.
 
It wont work! Imeibidi CCM kufa ili taifa hili liweze kusonga mbele, hakuna wa kuzuia hilo
 
Mbichi na mbivu huwa ni tofauti siku zote, na genuine from counterfeit will never be the same. Big up CDM, it is getting rough

NOKIA-NOKLA.
PANASONIC-PANASOANIC.
SEIKO 5 - SEKIKO 5,
M4C-M4V
Mwananchi kazi kwako chagua genuine au fake!
 
Ndugu wadau,

nimekuwa nikijiuliza juu ya hawa wananchi wanaojifanya wanamapinduzi kupitia vyama vya siasa, ni kwanini hawa wapinzania wasiunganishe nguvu na kuunda chama kimoja chenye sera, nia dhabiti na viongozi imara wenye kujua na kutafakari hatima ya nchi kwa mapana yake kama kweli ni wanamapinduzi? cha kushangaza sijapata jibu la hili swali katika angle hiyo badala yake nimeipata katika angle nyingine.

Kuna taarifa za kuaminika kutoka jikoni kuwa, chama tawala kinatumia nguvu nyingi sana, kisheria, kifedha na hata mbinu chafu kuhakikisha chama kikuu cha upinzani kinaanguka kabla 2015.

Vilevile kuna taarifa za kuaminika za ccm kuitumia CUF,kwa kuwapa pesa nyingi ili kuzunguka nchini kwa lengo hasa zauneutralize nguvu ya chadema, kuna haja gani sasa ya kuwa na vyama vya upinzania? mheshimwa Lipumba tumemuona, tumemuona Julius Mtatiro jangwani anatumia mda mwingi wa hotuba yake kuikandia chadema badala ya sera za chama chake, wameenda mbali sana ili kutimi mkakati wao fedhuri na kuazisha the same operation called VISION FOR CHANGES (V4C) pamoja na kuchangisha pesa kama wenzao wa chadema wanavyofanay.

Watanzania lazima tutambue kuwa, ukombozi wa nchi si kazi lelemama, ni kazi ngumu sana inayohitaji uvumilivu na nguvu ya ziada kwani tunapambana na watu wenye dola, walioingizwa kwa mfumo mgumu sana uliotengenezwa na mtu mwenye akili nyingi mwalimu nyerere!lakini hatutakiwa kukataa tamaa, pamoja na mbinu zao chafu hakika tutashinda! nchi kama hii yenye kila dalili zote mbaya dunia kuanzia kwenye elimu duni, afya ovyo, democrasia mbovu,haiwezekani kuwa vyama vya siasa 20! huu ni mpango maalumu wa ccm kuzorotesha mabadiliko!kazi yetu lazima tuimarishe vijana kisiasa ili wanakoenda wafanya kazi ya kuwafundisha wengine ili elimu ya urai iwafikie wengi kama kweli tuna nia ya dhati ya luleta mabadiliko!

Umeandika haya kwa uchungu sana na kwa hisia kali lakini naomba niku hakikishie alilopanga Mungu mwanadamu awezi pangua, hii nchi inakwenda mikononi mwa chadema na akuna pingamizi juu ya hilo tumuache Mungu afanye kazi yake ya kuwakomboa wanyonge
 
Ndugu wadau,

nimekuwa nikijiuliza juu ya hawa wananchi wanaojifanya wanamapinduzi kupitia vyama vya siasa, ni kwanini hawa wapinzania wasiunganishe nguvu na kuunda chama kimoja chenye sera, nia dhabiti na viongozi imara wenye kujua na kutafakari hatima ya nchi kwa mapana yake kama kweli ni wanamapinduzi? cha kushangaza sijapata jibu la hili swali katika angle hiyo badala yake nimeipata katika angle nyingine.

Kuna taarifa za kuaminika kutoka jikoni kuwa, chama tawala kinatumia nguvu nyingi sana, kisheria, kifedha na hata mbinu chafu kuhakikisha chama kikuu cha upinzani kinaanguka kabla 2015.

Vilevile kuna taarifa za kuaminika za ccm kuitumia CUF,kwa kuwapa pesa nyingi ili kuzunguka nchini kwa lengo hasa zauneutralize nguvu ya chadema, kuna haja gani sasa ya kuwa na vyama vya upinzania? mheshimwa Lipumba tumemuona, tumemuona Julius Mtatiro jangwani anatumia mda mwingi wa hotuba yake kuikandia chadema badala ya sera za chama chake, wameenda mbali sana ili kutimi mkakati wao fedhuri na kuazisha the same operation called VISION FOR CHANGES (V4C) pamoja na kuchangisha pesa kama wenzao wa chadema wanavyofanay.

Watanzania lazima tutambue kuwa, ukombozi wa nchi si kazi lelemama, ni kazi ngumu sana inayohitaji uvumilivu na nguvu ya ziada kwani tunapambana na watu wenye dola, walioingizwa kwa mfumo mgumu sana uliotengenezwa na mtu mwenye akili nyingi mwalimu nyerere!lakini hatutakiwa kukataa tamaa, pamoja na mbinu zao chafu hakika tutashinda! nchi kama hii yenye kila dalili zote mbaya dunia kuanzia kwenye elimu duni, afya ovyo, democrasia mbovu,haiwezekani kuwa vyama vya siasa 20! huu ni mpango maalumu wa ccm kuzorotesha mabadiliko!kazi yetu lazima tuimarishe vijana kisiasa ili wanakoenda wafanya kazi ya kuwafundisha wengine ili elimu ya urai iwafikie wengi kama kweli tuna nia ya dhati ya luleta mabadiliko!
pilipili shambani, kinachokuwasha ni nini? au ndo mfa maji? kama CUF wanafanya si kivyao? na nyinyi chadema simuendelee kivyenu? ujinga.
 
kila mtu mwenye akili anajua CUF ni vibaraka wa ccm,ila ccm hawatafanikia kwa hilo,ingekuwa ni miaka kadhaa iliyopita wangefanikiwa lakini watanzania wa sasa sio wajana,cuf waende pemba ,ambako pia nasikia wanazidi kupoteza wanachama,na najua watu kibao walio cuf kwa ajili ya hela za ccm ila moyoni ni watu wa chadema
 
Back
Top Bottom