Mkakati Kazi: Vita Dhidi ya Ufisadi

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
704
Waheshimiwa,

Nimeamua kuanzisha leo Mkakati Kazi (Action Plan) wa Vita Dhidi ya Ufisadi.

Mkakati huu unaanza kwanza kwa kufuta mazingira ambayo yanafanikisha ufisadi, kwa kupeleka kesi za kikatiba kwenye Mahakama Kuu, ili sheria zote ambazo zilithibitika kuwakandamiza na kuwapoka Watanzania haki zao zifutwe.

Mkakati huu unaanzia na Sheria ya Magazeti ya 1976.

Yeyote yule ambaye yuko tayari kutoa msaada wa kisheria, kuanzia ushauri hadi utetezi mahakamani, tafadhali tuwasiliane kupitia mwanahaki@jamiiforums.com.

Pamoja tutaweza.

Asanteni.

./Mwana wa Haki
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom