Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Wana jf naomba mnijuze kazi ya mkaguzi wa mahesabu katika chama anatakiwa awe ni sifa ipi? Na vile vile halmashauri kuu inaweza kuchagua wajumbe wa kamati ya nidham ili hali viongozi wote wa chama hawapo?