Mkaguzi mkuu wa mahesabu katika chama!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Wana jf naomba mnijuze kazi ya mkaguzi wa mahesabu katika chama anatakiwa awe ni sifa ipi? Na vile vile halmashauri kuu inaweza kuchagua wajumbe wa kamati ya nidham ili hali viongozi wote wa chama hawapo?
 
Chama gani; Cha siasa, kipi? Cha ushirika? cha kufa na kuzikana?
 
Back
Top Bottom