Mkaanganyiko kati ya Wizara ya Elimu vs Bodi ya Mikopo.

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
243
Hii serikal yetu inajikanganya yenyewe,leo naibu wazir wa elimu kwenye kipindi cha MIAKA 50 YA UHURU NA MAENDELEO KTK ELIMU chanel 10 amesema kigezo muhimu cha kupata mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni kuwa na div.1 au div.2 then ndo wanaangalia wale wenye div.3 na wakachagua course zenye vipaumbele, wakat huo huo bodi ya mikopo wanasema kigezo cha ufaulu kimefutumwa kwa mwanafunz kupata mkopo. TUMUAMINI NAN? MNATUCHANGANYA!!!!
 
Tangu lini serikali hii ikawa na msemaji. Mpanga sasa haijulikani ni nani kati ya BODI na WIZARA ni mtunga sera na mtekeleza sela. Serikali hii watu hawajui majukumu yao. Siasa zimetawala sana sera ya mikopo ya elimu ya juu kiasi kwamba watanzania hatujui sera inasimamia nini. Tangu itungwe inabadilika kila kukicha. Damn!
 
Hawana hata dalili ya kutupa relief! Eeh. Baba mungu nilijua, maisha ya kushinda na mihogo miwil shule yameisha. Nakuja kumiliki Laptop yangu mwnyw. Ha ha ha! Kwishnei babu G, tutaisoma namba.
 
Hivi jamani ni wanafunzi wote wa chuo wana laptop? Kama ndo hivyo basi wategemee mabadiliko makubwa kwa mwaka wetu.
 
Wewe sikiliza maneno ya bodi ya mikopo. Hizo ni idara mbili tofauti, zina mamlaka tofauti. Ila zinafanya kazi kazi kwa ukaribu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom