Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 760
Wakuu wa jamvi naomba msaada kwa mtu anaejua,Kuna taasisi inauza huu MKAA mbadala Wana uita MKAA MKOMBOZI. Kama wanaweza wakasoma uzi huu tunaomba waache uboya wafanye biashara kisasa how come Wana website,wanafacebook page lakini hata hawajaweka gharama za bidhaa zao,Je kwanini wanaficha? Wanatuaminisha ni nafuu ila bei hawaweki wazi. Mwenye kujua naomba atusaidie kwa uzito wa kg4 na hizo Kg 25