MK Music Gallaxy- Kulikoni?

Status
Not open for further replies.

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
I must admit kuwa toka hiyo site ya MK Gallaxy itangazwe kwa michuzi, nimekuwa addicted nayo, wana collection nzuri sana ya zilipendwa, kuna nyimbo za Marquiz original, Bima Lee, Nguza Vickings, etc , yani tunes flani ambazo nilikuwa sijazisikia zaidi ya miaka hata 20! Ghafla hii site imepotea hewani toka juzi, kuna mwenye taarifa kipi kimewasibu hawa mabwana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom