Mjumbe wa kamati Tendaji CHADEMA Ilemela, Deus Thimos ahamia CCM

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
Mjumbe wa kamati Tendaji ya wilaya ya Ilemela CHADEMA Deus Thimos Shindika(Pichani) Ametangaza Kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kwa kile anachosema Viongozi wa CHADEMA KITAIFA Hawana malengo mazuri na wanachama wa CHADEMA..*

*#TUKUTANE SAA 16:15 KATIKA SWALAMA ZA MAMBO MAMBO NA RFA.*

1472645223222.jpg
 
Aliondoka Dr. Slaa mkadhani chadema inakufa kumbe ndo imeimarika zaidi. Hao wanaoondoka huko mwanza ndio waliosaliti chadema hadi ikapoteza majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
 
The worst thing in life is to live in illusions. Do you really believe CDM is stronger now or is on its death bed? Only the blind and fools would believe CDM is alive.
 
AHAME TU ...TUNAJUA NJAA TU HIYO

OVA
Mjumbe wa kamati Tendaji ya wilaya ya Ilemela CHADEMA Deus Thimos Shindika(Pichani) Ametangaza Kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kwa kile anachosema Viongozi wa CHADEMA KITAIFA Hawana malengo mazuri na wanachama wa CHADEMA..*

*#TUKUTANE SAA 16:15 KATIKA SWALAMA ZA MAMBO MAMBO NA RFA.*

View attachment 391034
 
Huko anakoenda CCM walishakata mirija ya ulaji, labda aendelee na ile biashara yake ya uvuvi wa samaki!
 
Back
Top Bottom