TANZIA Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, Aboubakar Khamis Bakar afariki dunia mjini Zanzibar

Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
4,084
2,000
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun.

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,916

Polisi wameua mtu wa 14 kutokana na uchaguzi wa Zanzibar.

Cc: Maria Sarungi.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,987
2,000
Screenshot_20201111-113003_Chrome.jpg

Tazama media zetu zinaogopa hata kusema amekufa kwa kipigo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom