Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
umesahau hao hapo Lumumba wakiona mike wanawehuka na mizuka mingiLowassa anapenda sana kamera
Lakini hawezi kumfikia malaika mkuuLowassa anapenda sana kamera
umesoma waraka wa Maskofu baado Malaika anawaza Mbinguni au kugeuka kuwa jiwe?Sema mwanahisa mkuu wa chadema.
Kuliko nani?Lowassa anapenda sana kamera
Huku Makonda huwa analazimishwa kupiga picha lakini wapi anakataaumesahau hao hapo Lumumba wakiona mike wanawehuka na mizuka mingi
yule aliyevamia clouds kwakukosa promo?Huku Makonda huwa analazimishwa kupiga picha lakini wapi anakataa
Lowassa kazidi kuna nyingine leo alikuwa kanisani kiti cha mbeleLakini hawezi kumfikia malaika mkuu
Maaskofu na Lowasa wapi na wapi. Au naye ana hisa huko?umesoma waraka wa Maskofu baado Malaika anawaza Mbinguni au kugeuka kuwa jiwe?
malaika mkuu sikuhizi aendi na kamera makanisani na kwenye kushtukiza?Lowassa kazidi kuna nyingine leo alikuwa kanisani kiti cha mbele
naona umepita kule kimya kimya au michicha aijatoa povu leo?Maaskofu na Lowasa wapi na wapi.
Baba wa watu yuko ofisini kuinyoosha nchimalaika mkuu sikuhizi aendi na kamera makanisani na kwenye kushtukiza?
asisahau kumnyosha na yule aliyeuza nyumba za serikali na aliyetengeneza barabara za lami ya Big gBaba wa watu yuko ofisini kuinyoosha nchi
Sasa hicho kinyago cha mwananke wangekitoa hapo jamani hakiendani na tukio. Any way RIP kamanda Victor Kimesera