Mjumbe wa BASATA, Mwana Fa kudai hawezi kumtetea Rosa Ree kwani nafsi inamsuta. Ni sawa?

Udakuz

Member
Feb 4, 2013
85
51
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya wa muondoko wa Hop Hip, Hamis Mwinjuma maarufu MwanaFa amesema msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania, Rosa Ree amestahili adhabu ya BASATA, hivyo hawezi kujitokeza kumtetea

1.PNG

Asema "Rosa Ree ni mdogo wangu lakini nafsi yangu itanisuta kama ntaenda kumtetea kutokana na video yake, nafkiri hata yeye hadhani kama ameonewa, me nafkiri tumuache atumikie adhabu yake"

Mwana FA ni Mjumbe wa Bodi ya BASATA kwa upande wa kuwakilisha wasaniii

Je, kafanya sawa?
 
Back
Top Bottom