Mjukuu wa Mohamedi Ali ni Myahudi - Times of Israel!

Status
Not open for further replies.

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar Ali-Wertheimer amezaa na Myahudi ajulikanaye kama Spencer Wertheimer, kulingana na Uislamu dini hupasishwa ktk kwa baba kwenda kwa mtoto hivyo huyo mtoto ni Myahudi au tuseme siyo Muislamu!

==============

Muhammad Ali’s Jewish grandson

It is unlikely that even Billy Crystal could have guessed how closely life would prove to imitate the art of his comedy.

On July 11, 1977, Crystal appeared on “The Tonight Show” and performed a dead-on impersonation of then-world heavyweight boxing champion Muhammad Ali, a role that he re-introduced on his 1985 comedy album “Mahvelous.”

In each of these skits, Billy Crystal/Ali claimed to have found “new religious beliefs.” On the album “Mahvelous,” he told interviewer Howard Cosell (also played by Crystal): “From now on, I want to be known as Izzy Itzkowitz.” This of course, was playing on the fact that Ali, whose original name was Cassius Clay and who was raised as a Baptist, revealed in 1964 that he was a member of the Nation of Islam, changing his moniker to the now-household name Muhammad Ali. In 1975 he converted again, this time to the more mainstream Sunni Islam.

Throughout his career and since his retirement from the ring, Ali has been known as a social activist, espousing the message of peace, love and understanding, an ironic message for a man widely revered as the world’s greatest boxer. Now it would appear as though his own progeny has taken that message to heart.

The boxing website thesweetscience.com reported on Wednesday that Ali attended Shabbat services at Congregation Rodeph Shalom in Philadelphia, Pennsylvania, in April, to celebrate the bar mitzva of his grandson, Jacob Wertheimer.

The former champion’s biographer Thomas Hauser wrote on the website that Ali’s daughter, Khaliah Ali-Wertheimer, was raised as a Muslim, but described herself to Hauser as “not into organized religion” and “more spiritual than religious.” Her husband, attorney Spencer Wertheimer, is Jewish and their son, according to Khaliah, chose to have a bar mitzva because he “felt a kinship with Judaism and Jewish culture,” the Inquirer reported.

According to Islam, a child’s religion is passed down from the father, while according to traditional Judaism it is passed down through the mother. This means that Islam, the religion of Jacob’s mother, considers him to be Jewish, and his father’s Jewish religion considers him to be a Muslim.

Chanzo: Timesofisrael

Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar Ali-Wertheimer alimezaa na Myahudi ajulikanaye kama Spencer Wertheimer, kulingana na Uislamu dini hupasishwa ktk kwa baba kwenda kwa mtoto hivyo huyo mtoto ni Myahudi!

Muhammad Ali’s Jewish grandson
Ebu nielekeze shida kwenye hili mkuu!!
 
Katika uislam,mtoto yoyote ananapozaliwa ni muislam,ila wazazi wake ndio wanamuingiza katika dini nyingine,diyo maana katika uislamu (tofauti na dini nyingine,mtoto hatamkishwi shahada)tofauti na wanaowabatiza watoto,pale anapobatizwa kwa hizo dini nyingine,wanajuwa wazi kwamba huyu mtoto alizaliwa si wa dini hiyo waliyonayo wazazi,ndio maana anabatizwa.Halafu umejisahau umeweka ubini wa babu mzaa mama,mtoto hapewi ubini wa babu mzaa mama.Huwenda habari ikawa ya kutunga.Habari ya kutunga,lazima iwe na makosa.
 
Ebu nielekeze shida kwenye hili mkuu!!

Kwa jicho la haraka haraka na kwa mimi na wewe ambao tuko mbali na haya tunaweza tusione chochote hapo, lkn kwa wenyewe haya mambo yanakwenda mbali sana na kuna sababu hata kwa nini hii wameitoa leo hii baada ya Mohamed Ali kufariki na siyo kabla!

Kila jambo lina sababu!
 
Katika uislam,mtoto yoyote ananapozaliwa ni muislam,ila wazazi wake ndio wanamuingiza katika dini nyingine,diyo maana katika uislamu (tofauti na dini nyingine,mtoto hatamkishwi shahada)tofauti na wanaowabatiza watoto,pale anapobatizwa kwa hizo dini nyingine,wanajuwa wazi kwamba huyu mtoto alizaliwa si wa dini hiyo waliyonayo wazazi,ndio maana anabatizwa.Halafu umejisahau umeweka ubini wa babu mzaa mama,mtoto hapewi ubini wa babu mzaa mama.Huwenda habari ikawa ya kutunga.Habari ya kutunga,lazima iwe na makosa.

Ukisoma Habari yote utaona yote yameelezwa, ni kwamba huyo mtoto Baba yake ni Myahudi, Mama yake ni Muislamu ingawaje mwenyewe mama yake alijitambulisha kama asiye na dini, hivyo basi Kiuislamu mtoto huchukuwa Dini ya baba na Kiyahudi huchukuwa ya mama, sasa kuna na mkanganyiko kwenye mjukuu, lkn kwa Kiislamu huyo mtoto ni Myahudi kwa maana Baba yake siyo Muislamu na Uislamu mtoto huchukuwa kwa Baba lkn Kiyahudi hapo pia kuna shida kwa maana mama yake siyo Myahudi na Kiyahudi Dini hupasishwa na mama!
 
Umeropoka blaza. tena umeshadadia mambo usiyoyajua. kwa waislamu mtoto wa nje ya ndoa ni mali ya mama. kila kitu hadi jina hachukui la baba. ataitwa FULANI ABDALLAH UBINI WA MAMA YAKE. pia katika Uislamu hakuna ndoa kati ya mwanamke muislamu na mwanaume asiye muislam. so kama hawajaoana mtoto ni mali ya mama na kama wameoana bado hakuna ndoa na mtoto ni mali ya mama. vinginevyo mwanaume abadir dini na tutakosa hoja na hii mada itakua as useless as a p in psycho
 
Sasa nilichoropoka hapo ni kipi? Wewe mwenyewe umesema Kiislamu hakuna ndoa, ina maana Kiislamu huyo mtoto hawamtambui lkn haibadilishi ukweli kwamba huyo mtoto ni mjukuu wa Mohamed Ali na kwa kuwa Uislamu kama ulivyosema haumtambui ina maana basi mtoto ni Myahudi kama Habari ilivyoandika, sasa kuropoka kwangu kunatokea wapi?
 
Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar Ali-Wertheimer amezaa na Myahudi ajulikanaye kama Spencer Wertheimer, kulingana na Uislamu dini hupasishwa ktk kwa baba kwenda kwa mtoto hivyo huyo mtoto ni Myahudi!

Muhammad Ali’s Jewish grandson
Mkuu.., Mbona mitume wengi walikuwa wayahudi na hadi sasa WAISLAMu wana waamini na kufuata teremsho la elimu zao!! Hakuna shida hapo......
Allah says:-
"Umma wenu huu ni Umma mmoja, Na mimi ni Mungu wenu muniabudu"
 
Sasa nilichoropoka hapo ni kipi? Wewe mwenyewe umesema Kiislamu hakuna ndoa, ina maana Kiislamu huyo mtoto hawamtambui lkn haibadilishi ukweli kwamba huyo mtoto ni mjukuu wa Mohamed Ali na kwa kuwa Uislamu kama ulivyosema haumtambui ina maana basi mtoto ni Myahudi kama Habari ilivyoandika, sasa kuropoka kwangu kunatokea wapi?
Hana nasaba na Ali. hawahusiani kivyovyote. (KIISLAM LAKINI) aidha kidunia hakuna shida wala hakuna tofauti ya myahud na mnyalu.
 
Ukisoma Habari yote utaona yote yameelezwa, ni kwamba huyo mtoto Baba yake ni Myahudi, Mama yake ni Muislamu ingawaje mwenyewe mama yake alijitambulisha kama asiye na dini, hivyo basi Kiuislamu mtoto huchukuwa Dini ya baba na Kiyahudi huchukuwa ya mama, sasa kuna na mkanganyiko kwenye mjukuu, lkn kwa Kiislamu huyo mtoto ni Myahudi kwa maana Baba yake siyo Muislamu na Uislamu mtoto huchukuwa kwa Baba lkn Kiyahudi hapo pia kuna shida kwa maana mama yake siyo Myahudi na Kiyahudi Dini hupasishwa na mama!
Elewa vizuri katika uislam,hakuna mtoto kuchukuwa dini kwa baba wala kwa mama.Mtoto wa dini yoyote ,katika uislamu,anapozaliwa anakuwa muislam,ndio maana dini zote zilizobakia (sio uislam),wazazi wanapopata mtoto anabatizwa ,maana anaingizwa katika dini ya wazazi wake.
Hata wahindu,kama mtoto amefariki hajaingizwa katika uhindu(mtoto mchanga),huzikwa katika kaburi ,hawachomi.

Elewa vizuri katika uislam,hakuna mtoto kuchukuwa dini kwa baba wala kwa mama.Mtoto wa dini yoyote ,katika uislamu,anapozaliwa anakuwa muislam,ndio maana ndio zote zilizobakia (sio uislam),wazazi wanapopata mtoto anabatizwa ,maana anaingizwa katika dini ya wazazi wake.
Hata wahindu,kama mtoto amefariki hajaingizwa katika uhindu(
 
Mkuu.., Mbona mitume wengi walikuwa wayahudi na hadi sasa WAISLAMu wana waamini na kufuata teremsho la elimu zao!! Hakuna shida hapo......
Allah says:-
"Umma wenu huu ni Umma mmoja, Na mimi ni Mungu wenu muniabudu"

Elewa vizuri katika uislam,hakuna mtoto kuchukuwa dini kwa baba wala kwa mama.Mtoto wa dini yoyote ,katika uislamu,anapozaliwa anakuwa muislam,ndio maana dini zote zilizobakia (sio uislam),wazazi wanapopata mtoto anabatizwa ,maana anaingizwa katika dini ya wazazi wake.
Hata wahindu,kama mtoto amefariki hajaingizwa katika uhindu(mtoto mchanga),huzikwa katika kaburi ,hawachomi.

Elewa vizuri katika uislam,hakuna mtoto kuchukuwa dini kwa baba wala kwa mama.Mtoto wa dini yoyote ,katika uislamu,anapozaliwa anakuwa muislam,ndio maana ndio zote zilizobakia (sio uislam),wazazi wanapopata mtoto anabatizwa ,maana anaingizwa katika dini ya wazazi wake.
Hata wahindu,kama mtoto amefariki hajaingizwa katika uhindu(
Huyo mtoto anakuwa muislam,na hilo dini zote zilizobakia zinajuwa kama huyu mtoto si wa dini ya wazazi,ndio maana anabatizwa,kuingizwa dini ya wazazi.
 
Elewa vizuri katika uislam,hakuna mtoto kuchukuwa dini kwa baba wala kwa mama.Mtoto wa dini yoyote ,katika uislamu,anapozaliwa anakuwa muislam,ndio maana dini zote zilizobakia (sio uislam),wazazi wanapopata mtoto anabatizwa ,maana anaingizwa katika dini ya wazazi wake.
Hata wahindu,kama mtoto amefariki hajaingizwa katika uhindu(mtoto mchanga),huzikwa katika kaburi ,hawachomi.

Elewa vizuri katika uislam,hakuna mtoto kuchukuwa dini kwa baba wala kwa mama.Mtoto wa dini yoyote ,katika uislamu,anapozaliwa anakuwa muislam,ndio maana ndio zote zilizobakia (sio uislam),wazazi wanapopata mtoto anabatizwa ,maana anaingizwa katika dini ya wazazi wake.
Hata wahindu,kama mtoto amefariki hajaingizwa katika uhindu(

Sasa unanisahihisha mimi au unalisahihisha Gazeti lililoandika hiyo Habari? Mimi nimenukuu tu kilichoandikwa na wala siyo mtaalamu wa Uislamu au Uyahudi!
 
Mkuu.., Mbona mitume wengi walikuwa wayahudi na hadi sasa WAISLAMu wana waamini na kufuata teremsho la elimu zao!! Hakuna shida hapo......
Allah says:-
"Umma wenu huu ni Umma mmoja, Na mimi ni Mungu wenu muniabudu"

Kama nilivyokwisha sema mimi siyo mtaalamu wa Dini (Uislamu/Uyahudi) ni kwamba tu nilikuwa najaribu kutafsiri kama nilivyosoma kwenye Gazeti na kushangaa kwa nini hata Habari iandikwe leo hii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom